Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa UN, Rais Samia ampongeza

Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa UN, Rais Samia ampongeza

Membe uteuzi wake ungetegemea kuwa kisiasa zaidi ; huyu mama Msuya uteuzi wake sio wa kisiasa na sio mwanasiasa ni mtendaji!!! Hata hivyo she will be well advised kujitahidi kuwapa nafasi watanzania wenzie pale nafasi zinapojitokeza; asije akawa kama AshaRose Migiro alipokuwa huko ambapo hakufanya jitihada zozote za kuwapatia nafasi Watanzania kama wafanyavyo mataifa mengine!!! Hongera zako mama.
..nafasi za kazi za UN huwa zinatangazwa ktk website yao.

..ziko wazi kwa mtu yeyote mwenye sifa toka nchi wanachama kupeleka maombi.

..jambo la msingi ni kuhakikisha kwamba Watz tunajinoa ili kuwa na sifa, na kuchangamkia kutuma maombi pale nafasi zinapojitokeza.
 
.jambo la msingi ni kuhakikisha kwamba Watz tunajinoa ili kuwa na sifa, na kuchangamkia kutuma maombi pale nafasi zinapojitokeza.
Let us not be naive, kweli kuwa na sifa ni lazima sana lakini sio SUFFICIENT!!! Kuna nchi nyingine ni more represented kwenye U.N. system; sidhani kama wao wana watu more qualified kuliko wa kutoka nchi nyingine!!! Wenye uzoefu na system hiyo wanaelewa nazungumzia nini.
Hata kwenye East African Community ilikuwa hivyo hivyo kabla ya sisi kuzinduka!!!
 
..huyu Maza hajawahi kufanya kazi hapa Tz.

..kabla ya kwenda UN, alikuwa mtumishi wa muda mrefu wa World Bank ambako alianza ngazi za chini.

..sasa serikali yetu inaweza vipi kuhusika ktk promotion yake huko UN?

..nafasi aliteuliwa sio ya kisiasa kiasi kwamba UN-SG alazimike kupata baraka za nchi anakotokea mteuliwa.

..Likwelile na Mulamula walikuwa watumishi wa serikali, ndio maana walipotafuta kazi huko nje ilibidi wawe na referee toka serikali ya Tanzania.
Mkuu JokaKuu, hivi unaweza kunisaidia kwanini JPM alikataa kuwa endorse Mulamula na Likwelile kwenye senior positions huko kwenye jumuiya za kimataifa ilhali ilikuwa ni kwa manufaa ya nchi?
 
Mkuu JokaKuu, hivi unaweza kunisaidia kwanini JPM alikataa kuwa endorse Mulamula na Likwelile kwenye senior positions huko kwenye jumuiya za kimataifa ilhali ilikuwa ni kwa manufaa ya nchi?

..Mhh.

..sijui kwanini alikataa kuwa-endorse.
 
Ukatibu Mkuu wa Commonwealth ma SADC unahitaji kuungwa mkono na nchi yako. Hiyo siyo kweli kwa nafasi ya Bi Msuya. Nafasi ya Bi Msuya, Samia kaisikia tu kwenye vyombo vya habari kama mimi na wewe. Siyo nafasi ya kisiasa. Ni nafasi ya kitaalam. Kama hauyajui haya mambo unaweza kujichoresha bure. Siyo kila kitu ni cha kusifia. Unaweza ishi bila kusifia.
Aisee, wewe jamaa unataka mzee wa kusifia afe njaa si bure. Jamaa hiyo ndiyo kazi inayomuweka mjini.
 
===
Rais Samia Suluhu Hassan ampongeza Bi Joyce Msuya kwa kuaminiwa kwake na kuteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ( UN ) Bw Antonio Guterres,

Bw Guterres amemteua kuwa Naibu katibu mkuu wake anayeshughulikia maswala ya Kibinadamu na Naibu mratibu wa misaada ya dharula Duniani,


View attachment 2045922


===
Naona Watanzania chini ya Mhe Rais Samia Suluhu Hassan tumeanza kuaminika tena Kimataifa,
View attachment 2047344
Hakika hakuna mwenye Upepo mzuri kama Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,

Hongera Sana Bi Joyce Msuya kwa heshima hii kubwa kwako na kwa Taifa la Tanzania,View attachment 2047347

#Uteuzi huu umeipaisha sana Tanzania Kimataifa,Kaziiendelee Kimataifa
Hongera Bi Mkubwa,
 
Enzi za mfuga ng'ombe Tanzania ilionekana takataka
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Back
Top Bottom