Mtanzania kufia Ukraine Tanzania iidai Urusi fidia

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Mtanzania mwenzetu kafia Ukraine kwa niaba ya Russia.

Kulikoni Serikali ya Urusi ikamfikisha Mtanzania mwenzetu huko vitani ndani ya kombati zake?

Wako wapi wanasheria wetu?

Haipo fursa ya maana hapa dhidi ya Putin?
 
Hii taarifa nimeiona leo kwa upana toka kwa waziri husika, anadai mtanzania alikuwa gerezani, ndio akaahidiwa kuachiwa huru endapo angepigana vita mpaka mwisho.

Bahati mbaya hawatuambii kosa gani alitenda lililompeleka gerezani, hizi taarifa nusu nusu sio nzuri kupeleka kwa umma, kwani zinaacha maswali zaidi badala ya kuyamaliza.
 
Waisrael wanathamini sana raia wao hawawezi kukubali raia wao afe then utolewe ufafanuzi finyu kama huo kutoka kwa waliompeleka vitani halafu waridhike never.Balozi wa urusi hapa tz angeitwa na kuambiwa atoe maelezo ya kina na nchi yake ilipe fidia kwa kukiuka mikataba ya kimataifa kuhusu haki za wafungwa
 
Watu ni raia wa nchi siyo vyama ewe Mburumundu. Hujamsikia waziri Tax akiwajibika na suala la mtanzania mwenzetu huyu?
Acha kujifanya hujui mpaka tukazie kama tupo darasani, zaidi ya kuwa mtanzania pia ni mwanaCHADEMA hivyo kama mwanachama Chama kina mengi ya kusema juu yake.
 
Waziri husika anatoa majibu mepesi, inasikitisha sana.
 
Acha kujifanya hujui mpaka tukazie kama tupo darasani, zaidi ya kuwa mtanzania pia ni mwanaCHADEMA hivyo kama mwanachama Chama kina mengi ya kusema juu yake.
Kwani hujui Putin mwenyewe au hata warusi wa buza wamemtambulisha je huyu ndugu ewe chawa wa Mama?
 
Waziri husika anatoa majibu mepesi, inasikitisha sana.
Uwepo wa serikali madarakani yenye kuwakilisha maslahi ya watu wake si la kufanyia mzaha. Chawa wanaturudisha sana nyuma.
 
Sema mashoga wana akili za kipumbavu sana!

Mamia ya wamarekani, Waingereza na wapoland wamefia Ukraine lakini huwezi kusikia wakitangaza wala kushtuka ila akifa mmoja tu akiipigania Urusi wanashika mabango kinoma.

Pumzika kwa amani shujaa wetu... Naamini umeua makumi kama sio mamia ya mashoga ya NATO ndio na wewe ukafa kishujaa.
 
Nchi zingine zimepeleka askari huko rasmi. Wetu kasokomezwa huko na mrusi. Wewe unaona kusokomezwa huko bila ridhaa ya nchi yako ni jambo la kishujaa?

Wekeni uchawa pembeni hata mmiliki chawa hili limemkera ila nyie?
 
Mtanzania mwenzetu kafia Ukraine Kwa niaba ya Russia.

Kulikoni serikali ya Urusi ikamfikisha mtanzania mwenzetu huko vitani ndani ya kombati zake?

Wako wapi wanasheria wetu?

Haipo fursa ya maana hapa dhidi Putin?

Mtu akifa kumbe huwa kuna fidia? Hebu tuambie tujue, maiti huwa inafidiwa kiasi gani cha pesa?
 
Maiti huwa anafidiwa kwa shilingi ngapi eti?
 
Aue mamia ana upepo huo?
 
Nchi zingine zimepeleka askari huko rasmi. Wetu kasokomezwa huko na mrusi. Wewe unaona kusokomezwa huko bila ridhaa ya nchi yako ni jambo la kishujaa?

Wekeni uchawa pembeni hata mmiliki chawa hili limemkera ila nyie?
Aliambiwa achague kutumikia kifungo chake au atolewe akapigane mkabala na Wagner group
 
Mtanzania mwenzetu kafia Ukraine Kwa niaba ya Russia.

Kulikoni serikali ya Urusi ikamfikisha mtanzania mwenzetu huko vitani ndani ya kombati zake?

Wako wapi wanasheria wetu?

Haipo fursa ya maana hapa dhidi Putin?
Ni ujinga wake tu, nenda kadai fidia kwa taifa kubwa ndio utajua hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…