Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu ni raia wa nchi siyo vyama ewe Mburumundu. Hujamsikia waziri Tax akiwajibika na suala la mtanzania mwenzetu huyu?Ieleweke alikuwa ni mfungwa hapo wa kujibu ni CHADEMA
Acha kujifanya hujui mpaka tukazie kama tupo darasani, zaidi ya kuwa mtanzania pia ni mwanaCHADEMA hivyo kama mwanachama Chama kina mengi ya kusema juu yake.Watu ni raia wa nchi siyo vyama ewe Mburumundu. Hujamsikia waziri Tax akiwajibika na suala la mtanzania mwenzetu huyu?
Waziri husika anatoa majibu mepesi, inasikitisha sana.Hii taarifa nimeiona leo kwa upana toka kwa waziri husika, anadai mtanzania alikuwa gerezani, ndio akaahidiwa kuachiwa huru endapo angepigana vita mpaka mwisho.
Bahati mbaya hawatuambii kosa gani alitenda lililompeleka gerezani, hizi taarifa nusu nusu sio nzuri kupeleka kwa umma, kwani zinaacha maswali zaidi badala ya kuyamaliza.
Kwani hujui Putin mwenyewe au hata warusi wa buza wamemtambulisha je huyu ndugu ewe chawa wa Mama?Acha kujifanya hujui mpaka tukazie kama tupo darasani, zaidi ya kuwa mtanzania pia ni mwanaCHADEMA hivyo kama mwanachama Chama kina mengi ya kusema juu yake.
Uwepo wa serikali madarakani yenye kuwakilisha maslahi ya watu wake si la kufanyia mzaha. Chawa wanaturudisha sana nyuma.Waziri husika anatoa majibu mepesi, inasikitisha sana.
Sema mashoga wana akili za kipumbavu sana!
Mamia ya wamarekani, Waingereza na wapoland wamefia Ukraine lakini huwezi kusikia wakitangaza wala kushtuka ila akifa mmoja tu akiipigania Urusi wanashika mabango kinoma.
Pumzika kwa amani shujaa wetu... Naamini umeua makumi kama sio mamia ya mashoga ya NATO ndio na wewe ukafa kishujaa.
Hatuna wawakilishi serikalini bali walamba asali tuwaziri ametuangusha.
Kwamba ulitaka aseme mhalifu na mfungwa ni shujaa?waziri ametuangusha.
Mtanzania mwenzetu kafia Ukraine Kwa niaba ya Russia.
Kulikoni serikali ya Urusi ikamfikisha mtanzania mwenzetu huko vitani ndani ya kombati zake?
Wako wapi wanasheria wetu?
Haipo fursa ya maana hapa dhidi Putin?
Waisrael wanathamini sana raia wao hawawezi kukubali raia wao afe then utolewe ufafanuzi finyu kama huo kutoka kwa waliompeleka vitani halafu waridhike never.Balozi wa urusi hapa tz angeitwa na kuambiwa atoe maelezo ya kina na nchi yake ilipe fidia kwa kukiuka mikataba ya kimataifa kuhusu haki za wafungwa
Aue mamia ana upepo huo?Sema mashoga wana akili za kipumbavu sana!
Mamia ya wamarekani, Waingereza na wapoland wamefia Ukraine lakini huwezi kusikia wakitangaza wala kushtuka ila akifa mmoja tu akiipigania Urusi wanashika mabango kinoma.
Pumzika kwa amani shujaa wetu... Naamini umeua makumi kama sio mamia ya mashoga ya NATO ndio na wewe ukafa kishujaa.
Mtu akifa kumbe huwa kuna fidia? Hebu tuambie tujue, maiti huwa inafidiwa kiasi gani cha pesa?
Aliambiwa achague kutumikia kifungo chake au atolewe akapigane mkabala na Wagner groupNchi zingine zimepeleka askari huko rasmi. Wetu kasokomezwa huko na mrusi. Wewe unaona kusokomezwa huko bila ridhaa ya nchi yako ni jambo la kishujaa?
Wekeni uchawa pembeni hata mmiliki chawa hili limemkera ila nyie?
Ni ujinga wake tu, nenda kadai fidia kwa taifa kubwa ndio utajua hujuiMtanzania mwenzetu kafia Ukraine Kwa niaba ya Russia.
Kulikoni serikali ya Urusi ikamfikisha mtanzania mwenzetu huko vitani ndani ya kombati zake?
Wako wapi wanasheria wetu?
Haipo fursa ya maana hapa dhidi Putin?