Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hukujua Nemes Tarimo alikuwa masomoni. Hata ulipojua alikuwa masomoni bado hukujua alikuwa masomoni wapi. Pamoja na yote bado umekomaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hujihurumii ndugu?
"Yesu alisema msinihurumie mimi jihurumieni wenyewe."
Why ujiunge na Urusi kupambana na Ukraine? kuna upumbavu zaidi ya huo? Kama wewe upo upande wake then wewe ni MPUMBAVU piaUpumbavu wake huo ni upi ambao serikali au wengine hatuujui ila wewe?
Kwetu serikali ina watu kama Naipendatz hao ndiyo mawaziri. Hao hawatuwakilishi sisi bali matumbo yao. Kujihusisha na lolote la raia kwao ni adha Isiyowahusu ila kutukamua kodi ili waendelee kulamba asali kwa raha zao.Waisrael wanathamini sana raia wao hawawezi kukubali raia wao afe then utolewe ufafanuzi finyu kama huo kutoka kwa waliompeleka vitani halafu waridhike never.Balozi wa urusi hapa tz angeitwa na kuambiwa atoe maelezo ya kina na nchi yake ilipe fidia kwa kukiuka mikataba ya kimataifa kuhusu haki za wafungwa
Jinga sana wewe jamaa, watu wako unaowaamini kuwapa nchii hii ni Mbowe, Lissu, na Heche!!! Walevi!! Hakuna mtu atawapa nchi hii walevi TAHIRA weweKwetu serikali ina watu kama Naipendatz hao ndiyo mawaziri. Hao hawatuwakilishi sisi bali matumbo yao. Kujihusisha na lolote la raia kwao ni adha Isiyowahusu ila kutukamua kodi ili waendelee kulamba asali kwa raha zao.
Una uhakika gani alijiunga na Urusi kupambana na Ukraine kwa ridhaa yake?Why ujiunge na Urusi kupambana na Ukraine? kuna upumbavu zaidi ya huo? Kama wewe upo upande wake then wewe ni MPUMBAVU pia
Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kukubali kuongozwa na Mbowe over Samia?? Wewe jamaa la hovyo sana, endelea kupambana na katiba ambayo italetwa na watu walio timamu kiakili na siyo hao wahuni wako ambao walisema Lowasa fisadi baadaye wakamchukua awe mgombea wao wa urais!!!!!!NYAMBAF, Sitokuja kukujibu tena wewe kilazaKwetu serikali ina watu kama Naipendatz hao ndiyo mawaziri. Hao hawatuwakilishi sisi bali matumbo yao. Kujihusisha na lolote la raia kwao ni adha Isiyowahusu ila kutukamua kodi ili waendelee kulamba asali kwa raha zao.
Nikukumbushe chawa wewe mliaswa kujibu kwa hoja si matusi. Ila sasa hoja mzipate wapi hali mkiwakumbuka hao uliowataja ni kama mnavyoonekana hapa chini?Jinga sana wewe jamaa, watu wako unaowaamini kuwapa nchii hii ni Mbowe, Lissu, na Heche!!! Walevi!! Hakuna mtu atawapa nchi hii walevi TAHIRA wewe
Hoja ipo kwenye uhalali wa Nemes Tarimo kupelekwa Ukraine kupigana kwa niaba ya Russia.Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kukubali kuongozwa na Mbowe over Samia?? Wewe jamaa la hovyo sana, endelea kupambana na katiba ambayo italetwa na watu walio timamu kiakili na siyo hao wahuni wako ambao walisema Lowasa fisadi baadaye wakamchukua awe mgombea wao wa urais!!!!!!NYAMBAF, Sitokuja kukujibu tena wewe kilaza
Ata kesi yake ina mashaka sidhani ukifanya criminal profiling ya wauza madawa ya kulevya duniani utapata sample ya watu wenye degree ya engineering na tena wanajiongeza na masters.Mtu ameamua kwa hiari yake kujiunga na Russia tatizo lipo wapi hapo?
Hivi angefanikiwa kurudi Salama na kulipwa mkwanja $ ndefu,.
Angeipa serikali ya Tanzania kiasi gani?
Kuna madai mengine ukidai utaonekana mwehu..
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Hii hiari yake uthibitisho uko wapi? Hivi Russia inao askari wengine watanzania wangapi jeshini kwake au kututaarifu tu wakifa ndipo unapoishia wajibu wake?Mtu ameamua kwa hiari yake kujiunga na Russia tatizo lipo wapi hapo?
Hivi angefanikiwa kurudi Salama na kulipwa mkwanja $ ndefu,.
Angeipa serikali ya Tanzania kiasi gani?
Kuna madai mengine ukidai utaonekana mwehu..
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Sheria zina kataza kujiunga na jeshi la nchi yoyote... tofauti na majeshi yetuWatu ni raia wa nchi siyo vyama ewe Mburumundu. Hujamsikia waziri Tax akiwajibika na suala la mtanzania mwenzetu huyu?
Kama alilazimishwa, uthibitisho upo wapi?Hii hiari yake uthibitisho uko wapi? Hivi Russia inao askari wengine watanzania wangapi jeshini kwake au kututaarifu tu wakifa ndipo unapoishia wajibu wake?
Kama serikali kuwajibika Kwa watu wake ni wehu ila kulamba asali serikali za hivi Zina umuhimu gani kwetu?
Yasemekana alikuwa mfungwa. Kama mfungwa alikuwa na uhuru gani wa maamuzi?Kama alilazimishwa, uthibitisho upo wapi?
Moja ya vitu watu huko nje hawa pendi kukaribisha watanzania wenzao ni hii shughuli ya madawa ili usije muingiza matataniAta kesi yake ina mashaka sidhani ukifanya criminal profiling ya wauza madawa ya kulevya duniani utapata sample ya watu wenye degree ya engineering na tena wanajiongeza na masters.
It just doesn’t add up kwa level ya elimu yake kushawishika kuuza madaya mtaani halafu nchi ya kigeni, it takes a lot to be a street dealer nchi za ugenini ata ukienda Kenya tu seuse huko Russia.
Sijiapizi kwa vitu na watu nisiowafahamu, ila common sense says it’s odd kwa elimu yake kuuza kete za mtaani kwa gram alizoshikwa nazo.
Zaidi ya madawa KWA wabongo huwa hawana kesi zingineHii taarifa nimeiona leo kwa upana toka kwa waziri husika, anadai mtanzania alikuwa gerezani, ndio akaahidiwa kuachiwa huru endapo angepigana vita mpaka mwisho.
Bahati mbaya hawatuambii kosa gani alitenda lililompeleka gerezani, hizi taarifa nusu nusu sio nzuri kupeleka kwa umma, kwani zinaacha maswali zaidi badala ya kuyamaliza.
Sheria zina kataza kujiunga na jeshi la nchi yoyote... tofauti na majeshi yetu
Kwa namna hiyo, marehemu kwanza ana kosa la kujibu kwa jamhuri
Au tuishitaki familia kwa niaba yake?
inasemekana alijiunga ba wergen group wa makubaliano akitoka vitani atakuwa kafutiwa hukumu yake.Mtanzania mwenzetu kafia Ukraine kwa niaba ya Russia.
Kulikoni serikali ya Urusi ikamfikisha Mtanzania mwenzetu huko vitani ndani ya kombati zake?
Wako wapi wanasheria wetu?
Haipo fursa ya maana hapa dhidi ya Putin?
Kwani mustakabali wako unaamuriwa na nchi au wewe binafsi.Nchi zingine zimepeleka askari huko rasmi. Wetu kasokomezwa huko na mrusi. Wewe unaona kusokomezwa huko bila ridhaa ya nchi yako ni jambo la kishujaa?
Wekeni uchawa pembeni hata mmiliki chawa hili limemkera ila nyie?