Mtanzania kwafukuta, Absalom Kibanda kupewa likizo ya lazima kupisha uchaguzi Mkuu

Muda wa kutumikia KAMA team lowasa umekwisha wacha aingie team mangufuli amalizie maja kwa moja .kutesa kwa zamu
 
Kura yako moja tu? Mimi ninazo zaidi ya 20 kwa Lowasa.
 
Mkuu kibanda si ndiye aliye pofuliwa na zile filamu za CCM za ugaidi????
 

Rostam ni mjanja! Kaona lowasa hashindi na kamtosa. Nje ya CCM lowasa hana faida.
 
Nina hakika Rostam pamoja na uswahiba wake na Lowassa yuko nyuma ya hili.
 

Taarifa za uhakika ni kwamba Dennis Msaki na Samson Mfalila waliokuwa mwananchi na kuamia New Habari ccoperation kwa minajiri ya kumjenga Lowassa katika harakati zake za kuusaka urais, sasa wanasakamwa sana mpaka Mfalila kakimbilia Nipashe na Msaki naye very soon atasepa.
Kumbuka Kibanda, Msaki, Mfalila, Meena na wengine kadhaa wamekwisha apa kufa na Rais wao Lowassa
 

Kibanda kutoka ni advantage sana kwa Ukawa, nyie ndio hamjui.....
 
Kibanda alitekwa na nani? Dr Ulimboka? Hii nchi lazima irudishwe kwenye mstari .....
Mambo ya msingi watu wanaingiza siasa kwa watu wanaoamua kusimamia maslahi ya nchi na utu wao ....
 


bado kura yangu iko kwa ukawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…