Mtanzania kwafukuta, Absalom Kibanda kupewa likizo ya lazima kupisha uchaguzi Mkuu


Kwahiyo kura zao watazipeleka kwa lowasa siyo?
 

Ccm lazima wajue kuwa wapiga kura ni watanzania
 
namkumbuka mh lissu aliwahi sema kila mabadiliko yana wahanga wake,mabadiliko 2015 tanzania wahanga ndio hawa absalom kibanda ila hayaepukiki hata mafisiem wafanye nini

Ccm ndio imeanza kukimbia kivuli chake
 
Mkuu hofu ondoa hiyo nisawa na homa ya DENGUE inayopona bila dawa Mh. Lowassa hata asipoandikwa na chombo chchote TZ bado atapeta tu, siri ni hii:- Jinma la Lowassa li mioyoni mwa watu......

Kweli kabisa mkuu hilo halina ubishi na makomeo analijua hilo
 

Ccm wanashindana na nguvu ya mungu jambo ambalo ni kufuru
 
Katiba ipi inaruhusu uanzishwaji wa hiyo mahakama?

Kati ya mafisadi 11 waliotangazwa Mwembeyanga, 10 wapo CCM akiwemo JK, hiyo mahakama itakuwa ni kwa ajli ya hao!

Nakushukuru sana mkuu BIGURUBE
 

Wanasubiri kuhamia the hague kwa gharama za mama Fatou Bensouda
 

Mkuu kumbuka ule usemi maarufu usemao SIKIO LA KUFA..............
SIKU YA KUFA NYANI..........
 

Maneno meeeengi... Scoop zimekutoa povu. Haya sasa uza wewe!
 

Kibanda kafanya maamuzi magumu.mzee hauziki na yeye hawezi kuaibisha taaluma kwa kuandika mafuriko hewa
 

Huyo ni Lowassa damu Ila anapima upepo maana haamini yanayotokea na ndugu yake Kibanda wamestukiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…