Mtanzania mbaya sana awamu hii ya Sita

Mtanzania mbaya sana awamu hii ya Sita

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,380
Reaction score
2,236
Ni yule aliye karibu na Rais wetu mpendwa na anasikilizwa na Rais na kumshauri kutochukua hatua au kuacha kutoa mwongozo wa kiutawala kwa haya yanaendelea. Ni kweli ushindi ni tayari kwa CCM mpaka sasa. Lakini majuto yake ni Mjukuu. Nina uhakika Mwenyezi Mungu atamlinda na kumweka sana Rais wangu hata baada ya kutoka madarakani. Ninaamini kwa kuyawekea pamba masikioni mwake kwa haya ambayo anatakiwa ayasemee leo atakuja kuwalaumu sana wasaidizi wake.
Ushindi wa CCM ungekuwa pale pale hata kama wangekubali reforms zinazopaswa kufanyika, wangeweka strategies nzuri na sisi wanaCCM wenyewe na wananchi wote tungewakubali tu. Yaani unamwacha Januari Makamba unamweka Amos Makala (juzi alipiga magoti mbele ya wananchi unnecessarily) kwenye kukisemea Chama, MBAYA SANA HII.
Ukiacha Nchimbi ambaye anapata shida tu kujaribu kuwaweka sawa wanaCCM, wengine wote huko juu Mama na Rais wangu huna Timu kabisa!
 
Aombewe maisha marefu ili aje kutubu madhambi na kuomba msamaha uzeeni kama ilivyo kawaida yao.
 
Back
Top Bottom