Mtanzania Melchior Dominic Mahinini anayesomea ukasisi nchini Nigeria atekwa na waasi

Yeye hajui kuwa kuna sehemu ni hatari?
 
Ndio mpaka ajue sasa kama hajui imekula kwake, anatakiwa kuwa na akili na kukimbia hatari
Tena hapo anaonyeshwa bisu na kaburi lake alafu anashikishwa msahafu soma hapa hizi Aya akishindwa tu anageuziwa kibra
 
We don't negotiate with terrorists,serikali isilipe hiyo pesa maana ni kuwapa ushindi. Bora tutumie billion 10 kumuokoa Kwa njia nyengine kuliko kuwalipa hao watekaji pesa,watazoea.
 
Hii haina msaada ameingia cha kike, siku nyingine asiwasikilize wanao mtuma maana sasa wamebaki kuomba tu wakati mwenzao kakamatwa
Hapo zinapigwa salamu Maria 2000 na baba yetu 10,000 hapatoshi wakati huko mwenzao kavuliwa ubingwa
 
Nigeria wanahangaika kutishia kuishambulia NIGER badala ya kushughulika na magaidi kibao nchini mwake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…