Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Wapi waislamu ndo wamemteka ?Halafu baadaye mna lia lia oooooh dini yetu ni ya amani....Rubbish
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi waislamu ndo wamemteka ?Halafu baadaye mna lia lia oooooh dini yetu ni ya amani....Rubbish
Awaambie Salama AlekuWasimbake tu ilo ndo lakuomba
Salama AlekuWapi waislamu ndo wamemteka ?
Kijana Mtanzania ametekwa huko Nigeria na watu wenye Silaha. Kijana huyu anayeitwa Melchior ni Mseminary aliyeenda Nigeria kwa ajili ya Mafunzo ya Upadri. Juzi Parokia ya Mt Luka aliyokuwa akiishi ilivamiwa akachukuliwa yeye na Padri Mwingine.
----
Mtanzania ambaye ni frateri wa Shirika a Wamisionari wa Afrika (White Fathers) mzaliwa wa Parokia ya Kabanga, Jimbo la Kigoma, Melkiori Mahinini (27) ametekwa nyara na watu wasiojulikana chini Nigeria.
Kwa mujibu wa taarifa ilivotolewa na Askofu wa Jimbo Katoliki la Kigoma, Joseph Mlola, mseminari huyo alikamatwa Agosti 4 mwaka huu katika jimbo la Minna huko Nigeria akiwa na mwenzake, Padri Paul Sanogo, raia wa
Burkina Faso.
"Walitekwa na kundi la watu wasiojulikana mapema usiku wa kuamkia Agosti 3, 2023 katika Parokia ya Mtakatifu Luka Gyedna, jimbo la Minna chini Nigeria. Mseminari wetu huyu alikuwa katika mwaka wake wa uchungaji kabla ya kuanza masomo ya teolojia.
Kufuatia ya taarifa hiyo ambayo imesambaa pia mitandaoni, gazeti hili lilimtafuta Balozi wa Tanzania chini Nigeria, Dk Benson Bana ambaye alikiri kuwepo kwa tukio hilo na kwamba wanachukua hatua mbalimbali kuhakikisha Mtanzania huvo pamoia na mwenzake wa Burkina Faso wanaachiwa huru.
Balozi Bana amesema taarifa alizozipata ni kwamba watekaji wanataka Naira 100 milioni (sawa na Sh325.1 milioni) ili kuwaachia huru wote wawili. Alisema wamepiga hesabu na kuona kwamba kila mmoia anatakiwa kulipiwa karibu Dola 70,000 za Marekani 70,000 (zaidi ya Sh170 milioni).
"Tunahitaji kuwa waangalifu katika jambo hili kwa sababu watu hawa si wazuri, wakijua kwamba Serikali italipa wataongeza dau hadi Naira 500 milioni. Kwa hiyo, tunaendelea kushirikiana na wenzetu wa Shirika la
Wamissionari wa Afrika ambao tayari wametoa taarifa polisi," alisema.
Mwananchi
===
The Catholic Diocese of Minna in Nigeria has sent out a prayer appeal for the safe release of a Priest and seminarian reportedly abducted from the Diocese on Thursday, August 3.
Fr. Paul Sanogo, a member of the Missionaries of Africa (M.Afr) and Seminarian Melchior are pastoral workers serving at St Luke's Catholic Church Gyedna, Niger State
In an August 3 statement shared with ACI Africa, the Local Ordinary of the Nigerian Episcopal See provides details about the abductions, saying, “I request for your prayers for Fr. Paul Sanogo (M.Afr) and Seminarian Melchior who were kidnapped by bandits in the early hours of August 3, 2023 at the Priest residence at Gyedna, Niger State.”
“We pray the Lord hears our prayers and brings them back in peace,” the Nigerian Catholic Bishop says in the statement.
Nigeria has been experiencing insecurity since 2009 when Boko Haram insurgency began with the aim of turning the country into an Islamic state.
Source: Prayer Appeal Sent for Missionary Priest, Seminarian Abducted from Nigerian Diocese
Salama AlekuYeye hajui kuwa kuna sehemu ni hatari?
Unaandika ukiwa chumbani , mwenzako kawekwa mtu katiUpanga haujawahi na hautawahi kushinda damu ya Yesu.
Ngoja wampasue mgongo, maana binadamu haelewi mpaka yamkuteSalama Aleku
Ona ulivyokuwa hujiaminiSalama Aleku
Akijua kusoma aya za Qur'an wanamuachaNgoja wampasue mgongo, maana binadamu haelewi mpaka yamkute
Ndio mpaka ajue sasa kama hajui imekula kwake, anatakiwa kuwa na akili na kukimbia hatariAkijua kusoma aya za Qur'an wanamuacha
😀😅Ndio unavyojifariji si ndio?
Tena hapo anaonyeshwa bisu na kaburi lake alafu anashikishwa msahafu soma hapa hizi Aya akishindwa tu anageuziwa kibraNdio mpaka ajue sasa kama hajui imekula kwake, anatakiwa kuwa na akili na kukimbia hatari
Kula Chuma hichoOna ulivyokuwa hujiamini
Hii haina msaada ameingia cha kike, siku nyingine asiwasikilize wanao mtuma maana sasa wamebaki kuomba tu wakati mwenzao kakamatwaTena hapo anaonyeshwa bisu na kaburi lake alafu anashikishwa msahafu soma hapa hizi Aya akishindwa tu anageuziwa kibra
Kula Chuma hicho
Hapo zinapigwa salamu Maria 2000 na baba yetu 10,000 hapatoshi wakati huko mwenzao kavuliwa ubingwaHii haina msaada ameingia cha kike, siku nyingine asiwasikilize wanao mtuma maana sasa wamebaki kuomba tu wakati mwenzao kakamatwa