Kwa hiyo suala unalolisema Kwa vijana halihitaji ujasiri peke yake bali,linahitaji kujitambua na umoja pia ,wakati wewe unasema unataka kupambana sijui ,wakati huo huo Kuna kijana mwenzako ambaye ni mnufaika wa hali ilivyo au ambaye hajui umuhimu wa unachokipambania , akisia unaleta upinzani lazima atakuzuia tusio mchezo manake imebidi nicheke kwasauti 🤣🤣🤣 malinda yangu nayapenda kwakweli... ngoja tu huo ujasiri unitoke... nibaki na uoga wangu
Huyo ndio group la akina omary yanga ukumbuke,Na unaambiwa huyu mzee ni mzoefu wa kazi hiyo,ashafungwafungwa sana
Ova
Nilikua najaribu kumjibu kijana pale juu,alisema watu kama hawa huwa hawafungwiUnaturudisha machunguu nduguu
Sasa kama hutaandika akitoka tutajuwaje katoka? Wewe mzushi tu ila unajifanya mjuwaji. Acha umbwiga andika akitokaNa huwezi kuona naandika uzi kuhusu hawa jamaa. Ila kama mfatiliaji wewe mwenyewe utajua.
Nina taarifa ya hiyo issue, na nazijua issue nyingi ziinazotokea kwenye interchange hiyo, Mungu si athumani nazifahamu.
NB; Ya ngoswe muachie ngoswe
Hivi ndio ulitaka kuandika you wanted to insult. Sina muda huo. Utapata taarifa mtu akidakwa hutopata akitoka that's nature. Ww mgeni zishakuja habari nyingi kama hizo, na tupo na vijana wetu mtaani. Mtu natoa taarifa za mwisho mtanzania mwenzetu una leta hate. Bongo bwana.Sasa kama hutaandika akitoka tutajuwaje katoka? Wewe mzushi tu ila unajifanya mjuwaji. Acha umbwiga andika akitoka
Ethiopia wanakufunga na Kwa kulala Kwa mabalozi wetu hao hufia jela tuuzuri hizi kesi hafungwi mtu
watamrudisha tu apa hom tz zitaanza ping-pong za mahakamani
apo zitapigwa is na was mara shwaa jamaa yuko zake kitaa
juzi kati nmemwona yule hasano wa madunduka aliwahi kamatwa na ngada yuko zake anagonga chiaz na wakuu wenzake hana waswas mwenyewe
Hasanoo hazikua Ngada,ni Walikua wanaiba Shaba zile kutoka Zambia! Pia Hasanoo na Msoga ni Family friend ndiyo maana alitokauzuri hizi kesi hafungwi mtu
watamrudisha tu apa hom tz zitaanza ping-pong za mahakamani
apo zitapigwa is na was mara shwaa jamaa yuko zake kitaa
juzi kati nmemwona yule hasano wa madunduka aliwahi kamatwa na ngada yuko zake anagonga chiaz na wakuu wenzake hana waswas mwenyewe
Umechinja wangapi ndugu? Yaani nikuogope kukuuliza kwa kuwa wewe ni muuza madawa? Damn shit!!Hivi ndio ulitaka kuandika you wanted to insult. Sina muda huo. Utapata taarifa mtu akidakwa hutopata akitoka that's nature. Ww mgeni zishakuja habari nyingi kama hizo, na tupo na vijana wetu mtaani. Mtu natoa taarifa za mwisho mtanzania mwenzetu una leta hate. Bongo bwana.
Nikwambie tu kuna sehemu huku ungekuepo na. Hizo kejeli ushachinjwa(tunakuchinja)
Nakueleza tu, tuishie hapo maana haiwezekani ila nakueleza tu, maana ushaniita mpaka muuza madawa. SawaUmechinja wangapi ndugu? Yaani nikuogope kukuuliza kwa kuwa wewe ni muuza madawa? Damn shit!!
Nadhani Kuchomana ni rahisi kama Muhusika wanamvizia mwisho wa safari yake, kama vile ingekua Uganda....!UMESAHAU KUCHOMANAA KUMO SANA MKUU NILIWAHJ KUWA SEHEMU FLAN JAMAA WANAKUJA ULIZA NAOMBA LIST YA ABIRIA WA NDEGE HIII INATOKEA SEHEMU MWANZO UNAHISI ANAANGALIA SHANGAZI YAKE KAMA ANARUDI AAGIZE TAX WEEEEEE......UKIJIBU NDIO ANAENDA CHOMOLEWA KIROHOSAFII KUTOKA PALE UNASIKIA...AKAMATWA. KG. ....HATAREE SANA.....
OGOPA WAUZA UNGA WA TZ WANAOISHI 🇪🇹 HAWAFAI
UUU
Subiri siku yako na wewe udakwe, na utakumbuka kuwa kuna siku watu walinionya JF nikawakejeli. Hamna muuza ngada anaye flourish forever!! Either face jail term or perishNakueleza tu, tuishie hapo maana haiwezekani ila nakueleza tu, maana ushaniita mpaka muuza madawa. Sawa
Amekokotolewa mpaka hakotoleki tena😌.Alikuwa kwenye kutafuta pension,
[emoji16][emoji16][emoji16]Mzee wa kataa ndoa anatafuta mahari
Watu wanapiga mbwa ,mbuzi sembuse huyo mzee ..kuna watu ni mashetani aiseeMatako ya mzee aliyekongoroka nayo mnayapiga?
[emoji16][emoji16]Muislamu na dawa za kulevya haviachani
Waxhaga pmj na kupenda fedha Ila dili la madawa ya kulevya humkuti nalo
Kwa hiyo suala unalolisema Kwa vijana halihitaji ujasiri peke yake bali,linahitaji kujitambua na umoja pia ,wakati wewe unasema unataka kupambana sijui ,wakati huo huo Kuna kijana mwenzako ambaye ni mnufaika wa hali ilivyo au ambaye hajui umuhimu wa unachokipambania , akisia unaleta upinzani lazima atakuzuia tu
ndo umoumo kiongoziHasanoo hazikua Ngada,ni Walikua wanaiba Shaba zile kutoka Zambia! Pia Hasanoo na Msoga ni Family friend ndiyo maana alitoka
Ulikuwa wizi wa copper mzee sio hiki unachotaka tuamini hapa uzuri na value iliwekwa wazi kama 400million.ndo umoumo kiongozi
izo unazoziita "shaba" ndo "is" na "was" zenyewe sasa[emoji38]
mzigo unatafutiwa jina tu shughuli inaishia apo
iyo bznes ina pesa nono sana