Toofast
JF-Expert Member
- Dec 23, 2015
- 522
- 942
Kwa hiyo suala unalolisema Kwa vijana halihitaji ujasiri peke yake bali,linahitaji kujitambua na umoja pia ,wakati wewe unasema unataka kupambana sijui ,wakati huo huo Kuna kijana mwenzako ambaye ni mnufaika wa hali ilivyo au ambaye hajui umuhimu wa unachokipambania , akisia unaleta upinzani lazima atakuzuia tusio mchezo manake imebidi nicheke kwasauti 🤣🤣🤣 malinda yangu nayapenda kwakweli... ngoja tu huo ujasiri unitoke... nibaki na uoga wangu