Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Na uzee wangu huu siwezi kuwa na tamaa za kijinga hivyoau pengine alikuwa anataka kusave akaamua apite short cuts... ili abakiwe na kibunda kikubwa 🤣🤣🤣
Mkuu sikuhizi hakunaa unafuuu umexee wanakudakaaa kuna sehemu sioo za kupita uziogope kma jehanumnahisi kwakuwa ali meza akajua mashine zao ni kama za bongo... huyo mashine ndio imeditect kuwa anao mzigo...!
Na uzee wangu huu siwezi kuwa na tamaa za kijinga hivyo
Naona aliwewesuka alipohojiwa hojiwa
Kutoka Brazil halafu transit Addis then Kampala wanaangalia ulikaa mda gani Brazil
Mzee mwenzangu ameshindwa kuyadhibiti matamanio yake na nguvu ya nafsi......... matokeo yake anakwenda kuozea jela...........
Hakika ni mwisho mbaya kwake.......kuna umri ukifika unatakiwa tu upumzike na kuangalia dunia inavyoenda huku ukiwapa nasaha na njia vijana kwenye mambo ya maisha..........
Kuanzia miaka 50 na kuendelea sio umri wa kulazimisha maisha hasa katika njia za panya.......
Niwe mkweli tu huyo mzee kajichanganyamkuu maisha hayajawahi kuwa RAHISI kabisa.... ila huyo tumchukulie sawa na mwanajeshi alie fia vitani...!
Mzee nyokooo kg 1.34 ufike salama na umri huu maviiyakeeA TANZANIAN NATIONAL ARRESTED AT BOLE AIRPORT WITH 1.34KG OF COCAINE On 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a suspicious Passenger SADICK ABRAHAMAN ALLY , Tanzanian, 60 yearS Old, Born and Grew up in Tanga ,Passport number TAE 266469.
The passenger was travelling from Sao Paulo ( GRU ) transiting at Bole International airport to Entebbe International Airport on Flight ET 5O7 and then on flight ET 334 to EBB and took the suspicious passenger to X ray where indicated Positive and on interrogation he admitted to have swallowed about Kg of Cocaine . The passenger is beeing held by Ethiopia police for discharge of the Pellets and further Investigation and Legal action .
Punda amekataa kustaafu kazi yake, mwenye mzazi wake aende rumande za Addis Ababa kumpelekea sabuni na maji
View attachment 2971479View attachment 2971480
Nashukuru sana mkuu.baadhi ya ruti ,ukichanganya na njia za kichovu alizotumia kusafirisha bila kusahau muonekano wa huyo mzee. Hivyo vitatu ndivyo vimemfanya iwe rahisi yeye kushtukiwa.
Ndicho alichomaanisha mwandishi
Kwamba ni tamu sana!!Mara ya mwisho nilisikia cha ukucha ilikiwa 2000 tena zamani kidogo na sio pure... sasa imagine kilo moja ina nusu kucha ngapi ndani yake? Ile ni starehe ya matajiri.
Ndugu iwe wa kwanza au wa mwisho lakini huo ni umri ambao unatakiwa uwe mbali na misuko suko na harakati za kiutafutaji zinazotumia nguvu.......huo ni umri ambao vipaumbele vyako vinatakiwa viwe familia na afya yako kwa maana kujitunza na kufurahia maisha kwa kile ambacho umejaaliwa..........itakuwa labda ndio ulikuwa mzigo wake wa mwisho... ili achukue pension yake akale na wajukuu zake...!
Niwe mkweli tu huyo mzee kajichanganya
Tamaa za hivyo wengi ni vijana ila wazee huwa ni nadra sana
Sasa imagine akihukumiwa miaka 30
Unawaza pia kama utapita au utakamatwa yote yanawezekana
Bora angekuwa dereva wa V8 akabeba wakimbizi angezabwa makofi tu
ZAMANI PALEE AIRPORT WAKIKUHISI TU UNAINGIXWA CHUMBA MOJA YA MAJERAHAA UNAPEWA UJI MOTOOO PAMBAVU UKISURVIVE DK 10 UJAENDA CHOON KUZITOA UNAFIA HUKOOA TANZANIAN NATIONAL ARRESTED AT BOLE AIRPORT WITH 1.34KG OF COCAINE On 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a suspicious Passenger SADICK ABRAHAMAN ALLY , Tanzanian, 60 yearS Old, Born and Grew up in Tanga ,Passport number TAE 266469.
The passenger was travelling from Sao Paulo ( GRU ) transiting at Bole International airport to Entebbe International Airport on Flight ET 5O7 and then on flight ET 334 to EBB and took the suspicious passenger to X ray where indicated Positive and on interrogation he admitted to have swallowed about Kg of Cocaine . The passenger is beeing held by Ethiopia police for discharge of the Pellets and further Investigation and Legal action .
Punda amekataa kustaafu kazi yake, mwenye mzazi wake aende rumande za Addis Ababa kumpelekea sabuni na maji
View attachment 2971479View attachment 2971480
Mpwaaa waleee wafanyakazi wa ndege wenge 60 plus unawaoanagaa??wakati mwingjne wanachangja ndege kudondoka zipaatikanee ajira...kazikazi mkuuNdugu iwe wa kwanza au wa mwisho lakini huo ni umri ambao unatakiwa uwe mbali na misuko suko na harakati za kiutafutaji zinazotumia nguvu.......huo ni umri ambao vipaumbele vyako vinatakiwa viwe familia na afya yako kwa maana kujitunza na kufurahia maisha kwa kile ambacho umejaaliwa..........
Huo ni umri ambao mwili na akili yako havihitaji mambo magumu magumu yanayotumia nguvu za mwili bali matumizi tu akili..........
Baada ya tukio hilo naamini mzee mwenzangu hana maisha marefu kutokana na sonona itakayopandisha sukari na presha........na anavyoonekana kwa mwili wake hayo maradhi hayapo mbali naye..........
Hata hivi sasa yeye mwenyewe akili yake na mwili wake vinamshuhudia kuwa AMEZINGUA PAKUBWA.........
Hakika mjomba.......habari za masiku lakini.... mjombaaaa???Mpwaaa waleee wafanyakazi wa ndege wenge 60 plus unawaoanagaa??wakati mwingjne wanachangja ndege kudondoka zipaatikanee ajira...kazikazi mkuu
Ndugu iwe wa kwanza au wa mwisho lakini huo ni umri ambao unatakiwa uwe mbali na misuko suko na harakati za kiutafutaji zinazotumia nguvu.......huo ni umri ambao vipaumbele vyako vinatakiwa viwe familia na afya yako kwa maana kujitunza na kufurahia maisha kwa kile ambacho umejaaliwa..........