Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima Everest akaribia kufika kileleni

Parody

Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
24
Reaction score
69
Mtanzania wa kwanza binti mwenye umri wa miaka 20, Rawan Dakik na pia mdogo kabisa Barani Afrika kupanda mlima mrefu zaidi duniani amefanikiwa kumaliza mzunguko wake wa pili wa mita 7,200 juu ya usawa wa bahari bila oksijeni ya nyongeza

Rawan atapumzika kwa siku tano katika kambi ya mlima Everest kabla ya kuanza mzunguko wake wa mwisho kuelekea kilele cha mita 8,850.

"Leo ilikuwa ngumu, nilihisi oksijeni inaniishia na zoezi la kupanda mlima kuwa gumu lakini ilikuwa nzuri," - Rawan binti ambaye alipima covid 19 wakati wa kupanda mlima.

Chanzo: Michuzi TV

 
Mtanzania mwenye asili ya wapi huyu? Maana kwa hakika si mbantu
 

Siyo mtanzania
 
Watanzania Sasa komenti zao..😂
 
mhamiji kama sio kanjubai ni mtoto wa beperu la kizungu linalo ishi hapa tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…