Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima Everest akaribia kufika kileleni

Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima Everest akaribia kufika kileleni

Usiseme mtanzania wa kwanza miaka ya 90‘s baba yangu mkubwa alipanda huo mlima na kufika kileleni, sio huo tu alipanda na milima mingine ya asia
 
Usiseme mtanzania wa kwanza miaka ya 90‘s baba yangu mkubwa alipanda huo mlima na kufika kileleni, sio huo tu alipanda na milima mingine ya asia
Alibeba bendera mkuu.. kama unauthubitisho tuma hata picha akiwa juu kileleni
 
Mkuu wenye roho mbaya wapo ila wenye roho nzuri wapo pia.. tena wengi sana, binafsi nimeshawahi shuhudia live mbongo akinyanyasa muhindi so hili swala lipo kotekote tuseme tabia ya mtu kwa sababu ya rangi yao mtu kama Shivji(kama sijakosea) amekua akijitolea sana kuonesha vile anauzalendo na hili taifa,
Nakupunga kuna kipindi nikiwa highschool alikuja akatoa semina flani hivi ambayo mpaka leo imenisaidia sana.. pasipo malipo yoyote.

Nimeona mengi mazuri kutoka kwa hawa Ndugu zetu.. ila bado sikatai bado kuna ubaguzi kwa kiasi flani hasa kwenye swala la Ndoa baina ya mtu mweusi na wao
 
Kuna makabila yamekuja hapa tz yamewakuta waarabu wapo kitambo,halafu wao ndio wanaonekana watz kuliko hao waarabu waliowakuta kisa wana rangi nyeusi
 
Alibeba bendera mkuu.. kama unauthubitisho tuma hata picha akiwa juu kileleni
Nenda keys hotel and tour company, Moshi inayomilikiwa na watoto wa Ndesa pesa ulizia tourguides wakongwe kuanzi 1889 wapo wengi walioongozana nae kipindi hicho.

Mtanzania wa kwanza kukwea kilele cha mlima kilimanjaro John lauwo akiongozana na mtafit Hance Mayor alijengewa nyumba na KINAPA miaka ya kukaribia kufa baada ya kupanda mlima zaidi ya miaka 70 alikufa akiwa na miaka 125 mwaka 1996
Mr. Mtui alieweka rekodi kuwa mwafrika wa kwanza kukwea kilele cha mt. Kilimanjaro bila kusaidiwa mizigo / summit free unaided person alitumia saa 9 kupanda na kushuka nimemshuhudia kwa macho na huyu kapanda .milima mingi sana pamoja na Everist wenye mwinuko 8k kipindi waziri wa maliasili na utalii akiwa. Lazaro Nyalandu hapo ni 2006 hakupewa airtime

kwa sasa kuna mtanzania mwingine wa kiraracha pale kinyange Gaudence Lekule nae kavunja rekodi ya mt. Kilimanjaro kwa waafrica katumia masaa 8 juzi tu 2017, alikuwa na ratiba za kukwea vilele v yote vikubwa duniani.

Tatizo vijana hawajui historia na nguvu ya vyombo vya habari katika zama na teknologia, upandaji mlima wa sasa ni rahisi sana tena sana. Mf. Kilimanjaro watu walikuwa wanapanda bila moutain gears za kutosha wanauguwa, altitude sickness kama high celebral oedema, pulmonaty oedema, shivering, tingling.

Watu walipikia kuni kwenye mapango miaka ya 1895-1930s. Baadae wakaanza kutum.ia jiko la mafuta ya taa, na baadae majiko ya gesi mpaka kufikia miaka ya 2000s ndipo wakaanza kutumia majiko ya gesi.

Wengi wamepoteza maisha kupanda mt. Everist sababu ya changamoto kama za kwetu, miaka ya 1970 kurudi nyuma hali ilikuwa ni mbaya sana kwa mlima everist, kule mtu ukifa unaachwa huko huko ni hatari sana. Unakuta mizoga kibao ya binadamu imezagaa sio kama sasa unapanda mlima na mtungi wa oxygen, kuna rescue plane, supply of equipments and emergence bottles, medical doctor in a climbing team.

Haya mambo hayakuwepo hapo zamani ni technologia mpya hizi, sasa unaweza kukwea na kushuka kwa parachute na mengine mengi
 
Back
Top Bottom