Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima Everest akaribia kufika kileleni

Rawan Dakik baba yake ni mpogoro mama yake mgogo wa Mpunguzi Dodoma.

Kidding
 
Mtanzania wa kwanza binti mwenye umri wa miaka 20, Rawan Dakik na pia mdogo kabisa Barani Afrika kupanda mlima mrefu zaidi duniani amefanikiwa kumaliza mzunguko wake wa pili wa mita 7,200 juu ya usawa wa bahari bila oksijeni ya nyongeza

Rawan atapumzika kwa siku tano katika kambi ya mlima Everest kabla ya kuanza mzunguko wake wa mwisho kuelekea kilele cha mita 8,850.

"Leo ilikuwa ngumu, nilihisi oksijeni inaniishia na zoezi la kupanda mlima kuwa gumu lakini ilikuwa nzuri," - Rawan binti ambaye alipima covid 19 wakati wa kupanda mlima.

Chanzo: Michuzi TV

Anataka kufa huyu
 
nilijua tu atakua na asili ya kiarabu
 
Huo nao ni ubaguzi kama ubaguzi mwingine mkuu.. kule Igunga wapo hadi wanaongea kisukuma lakini pia usimeze mkuu kizazi ambacho tupo sahivi raia wa Tanzania sio lazima awe mtu mweusi tu cha muhimu ni uzalendo tu.. kama huyo asingebeba hiyo bendera kama hapendi nchi yetu yani nadhani umeelewa
Kuna Mhindi mzalendo?
 
Nahisi amesema yeye ni mtanzania ili awe wa kwanza, angetaja ttaifa jingine asingepata kiki.
Watanzania ni kwanza kwenye mambo ya ovyo ovyo :kuiba kura, mali za umma, n k
 
Back
Top Bottom