Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima Everest akaribia kufika kileleni

Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima Everest akaribia kufika kileleni

ndugu yangu huyu ni mtanzania tu ukianza kuuliza ana asili ya wapi hapo unatafuta kajambo fulani,Kwa mfano dewji (mo) mi ukinuiliza ana asili y wapi ntakwambia singida maana nikisema india kale kachembe kanaanza kuonekana kwa mbaaaaali!!!
 
Mtanzania wa kwanza binti mwenye umri wa miaka 20, Rawan Dakik na pia mdogo kabisa Barani Afrika kupanda mlima mrefu zaidi duniani amefanikiwa kumaliza mzunguko wake wa pili wa mita 7,200 juu ya usawa wa bahari bila oksijeni ya nyongeza

Rawan atapumzika kwa siku tano katika kambi ya mlima Everest kabla ya kuanza mzunguko wake wa mwisho kuelekea kilele cha mita 8,850.

"Leo ilikuwa ngumu, nilihisi oksijeni inaniishia na zoezi la kupanda mlima kuwa gumu lakini ilikuwa nzuri," - Rawan binti ambaye alipima covid 19 wakati wa kupanda mlima.

Chanzo: Michuzi TV

Marekani Kuna raia wenye asili ya rangi mbalimbali na ni wamarekani, acheni ubaguzi wa kizamani .Mtanzania
 
ndugu yangu huyu ni mtanzania tu ukianza kuuliza ana asili ya wapi hapo unatafuta kajambo fulani,Kwa mfano dewji (mo) mi ukinuiliza ana asili y wapi ntakwambia singida maana nikisema india kale kachembe kanaanza kuonekana kwa mbaaaaali!!!
Mmmh haya basi sawa.. Tulioenda tukaishi huko kwingineneko mitazamo yetu ni tofauti kabisa
 
Back
Top Bottom