Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAPO JAMII YA BINAADAMU BILA KUSABABISHA UBISHI PAHALA POPOTE ANAKUWA HAONI RAHA KABISA JIMII HII NI NZURI SANA HASA KWENYE VIJIWE VYA KAHAWA...!Huyu sio Mtanzania, ni Mhindi. Kama huyu ni Mtanzania, je ni kabila gani?
Huo nao ni ubaguzi kama ubaguzi mwingine mkuu.. kule Igunga wapo hadi wanaongea kisukuma lakini pia usimeze mkuu kizazi ambacho tupo sahivi raia wa Tanzania sio lazima awe mtu mweusi tu cha muhimu ni uzalendo tu.. kama huyo asingebeba hiyo bendera kama hapendi nchi yetu yani nadhani umeelewaHuyu sio Mtanzania, ni Mhindi. Kama huyu ni Mtanzania, je ni kabila gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Hapana mkuu ni wajinga wachache ambao walienda shule kulamba makamasiHahahah wabara wanapinga hili
Na subili JibuMtanzania mwenye asili ya wapi huyu? Maana kwa hakika si mbantu
Hii ni hatari kabisa. Sasa hivi kuna watu wanakusema kwamba wewe si Mtanzania, kisa eti wa kwetu si nyeupe bali Jaluo_Nyeusi. Ukweli ni kwamba rangi si hoja.Mnatumia vigezo gani kusema huyo si mtanzania? Hivi duniani kuna nchi raia wake wote ni watu wa asili moja?
Hata mimi....Na subili Jibu
[emoji23][emoji23][emoji23]Mburushi toleo la mwisho kaka
Na wengine wana majina ya Kisukuma kabisaa, mfano Rostam Aziz amezaliwa huko Mwisi ambapo ni kijijini haswaaa, na pia analo jina la kibantu ambalo ni maarufu kwa huko kwao.Huo nao ni ubaguzi kama ubaguzi mwingine mkuu.. kule Igunga wapo hadi wanaongea kisukuma lakini pia usimeze mkuu kizazi ambacho tupo sahivi raia wa Tanzania sio lazima awe mtu mweusi tu cha muhimu ni uzalendo tu.. kama huyo asingebeba hiyo bendera kama hapendi nchi yetu yani nadhani umeelewa
Kitonga mbali hivyo? Kufika tu kileleni hapo kitandani,Watanzania wa Jf ni Waduwanzi kishenzi,Ooh Siyo Mbantu mara siyo Mtanzania,Mwacheni Bi Dada aitangaze nchi yetu.Nyie wangine hamjawahi hata kupanda Mlima Kitonga.Hongera kwake Rawan Dakik.
Mtanzania wa mfugale huyu.. itakuwa kalowea ughaibuniMtanzania mwenye asili ya wapi huyu? Maana kwa hakika si mbantu
😁😁 Skuli walienda lamba kamasi hatari sana hawa na huwa wanavunjiwa rula kichwani mnoo shauri ya ugumu wa kichwa kuelewa umesha nifahamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Hapana mkuu ni wajinga wachache ambao walienda shule kulamba makamasi
Ingalikuwa tupo katika enzi za utawala wa mwendazake, sifa na utukufu zingalienda kwake.Mtanzania wa kwanza binti mwenye umri wa miaka 20, Rawan Dakik na pia mdogo kabisa Barani Afrika kupanda mlima mrefu zaidi duniani amefanikiwa kumaliza mzunguko wake wa pili wa mita 7,200 juu ya usawa wa bahari bila oksijeni ya nyongeza
Rawan atapumzika kwa siku tano katika kambi ya mlima Everest kabla ya kuanza mzunguko wake wa mwisho kuelekea kilele cha mita 8,850.
"Leo ilikuwa ngumu, nilihisi oksijeni inaniishia na zoezi la kupanda mlima kuwa gumu lakini ilikuwa nzuri," - Rawan binti ambaye alipima covid 19 wakati wa kupanda mlima.
Chanzo: Michuzi TV