Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima Everest akaribia kufika kileleni

Huyu sio Mtanzania, ni Mhindi. Kama huyu ni Mtanzania, je ni kabila gani?
WAPO JAMII YA BINAADAMU BILA KUSABABISHA UBISHI PAHALA POPOTE ANAKUWA HAONI RAHA KABISA JIMII HII NI NZURI SANA HASA KWENYE VIJIWE VYA KAHAWA...!
 
Huyu sio Mtanzania, ni Mhindi. Kama huyu ni Mtanzania, je ni kabila gani?
Huo nao ni ubaguzi kama ubaguzi mwingine mkuu.. kule Igunga wapo hadi wanaongea kisukuma lakini pia usimeze mkuu kizazi ambacho tupo sahivi raia wa Tanzania sio lazima awe mtu mweusi tu cha muhimu ni uzalendo tu.. kama huyo asingebeba hiyo bendera kama hapendi nchi yetu yani nadhani umeelewa
 
Na wengine wana majina ya Kisukuma kabisaa, mfano Rostam Aziz amezaliwa huko Mwisi ambapo ni kijijini haswaaa, na pia analo jina la kibantu ambalo ni maarufu kwa huko kwao.
 
Hii ndio inayotucost sana kama nchi, kwani mtanzania lazima awe mweusi tiii wa kutoka uswekeni vichakani? Wengine baba/mama amemix na race nyingine Ila yeye ni mtanzania shida ipo wapi?

Mtu anapeperusha bendera yenu bado mnaanza kujidai sijui nini, basi nyie mnaotoka maporini mkapande mount Everest, gharama ya kupanda Kilimanjaro tu ni shida sasa ndio iwe ya kupanda Everest?

Si hata tumshukuru amebeba bendera yetu akiwa huko, mwingine angeachana nayo kwani mngemfanya nini? Pesa yake, kaamua kwa mapenzi yake kuipeperusha bendera.

Yule bongozozo ndio huwa mnahisi mtanzania wakati yeye sio na anasemaga pamoja anaongea kiswahili Ila ni anapenda Tanzania tu Ila yeye sio mtanzania.

Mtanzania wa sasa sio lazima awe mweusi wa mkaa.
 
Ahsante sana na wewe umeipeleka bendera bora katika kilele cha juu kabisa duniani[emoji1666][emoji120]... Kuna wale .."daahh wabongo hatuwezi labda wazungu tu" [emoji849]
 
Ni faida kubwa sana katika soko la utalii akifika salama kwa uwezo wa MUNGU.. akirudi pale airport aandaliwe watu maalumu waumpokea na kupewa muda wa kutosha kuhojiwa na wanahabari.. pia tumuombe salimu wa bbc swahili amuhoji.. TANZANIAAA ISIKIKE KATIKA UTALII KILA PEMBE YA DUNIA[emoji1241][emoji1241]
 
Watanzania wa Jf ni Waduwanzi kishenzi,Ooh Siyo Mbantu mara siyo Mtanzania,Mwacheni Bi Dada aitangaze nchi yetu.Nyie wangine hamjawahi hata kupanda Mlima Kitonga.Hongera kwake Rawan Dakik.
Kitonga mbali hivyo? Kufika tu kileleni hapo kitandani,
Kaburu ni Kaburu tu, Wa South weusi wakianza kuwapasua huko kwao ohh utaskia sijui say no to xenophobic hawa tulipigania uhuru wao.

Hawa Wahindi wanaokanwa na Uraia wao wa Kitanzania ndio hawa hawa Babu zao walitaifishiwa nyumba na Nyerere

Hongera kwake Dada kwa kupeperusha bendera ya Taifa letu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Hapana mkuu ni wajinga wachache ambao walienda shule kulamba makamasi
😁😁 Skuli walienda lamba kamasi hatari sana hawa na huwa wanavunjiwa rula kichwani mnoo shauri ya ugumu wa kichwa kuelewa umesha nifahamu
 
Ningekua waziri wa utaliii ningeshamdaka fastaaaa ni kuwasiliana na ubalozi tu tunasubiri akishuka tunamtia mabango ya ngorongoro na VISIT Tanzania.
 
kasijekuwa hakajawahi kupanda hapo klm!!!!

hata hivyo hongera,maana zile story tu za kupanda kilimanjaro zinatisha,sijui huko 3000m zaidi hali inakiwaje.
 
Ingalikuwa tupo katika enzi za utawala wa mwendazake, sifa na utukufu zingalienda kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…