Alibeba bendera mkuu.. kama unauthubitisho tuma hata picha akiwa juu kileleni
Nenda keys hotel and tour company, Moshi inayomilikiwa na watoto wa Ndesa pesa ulizia tourguides wakongwe kuanzi 1889 wapo wengi walioongozana nae kipindi hicho.
Mtanzania wa kwanza kukwea kilele cha mlima kilimanjaro John lauwo akiongozana na mtafit Hance Mayor alijengewa nyumba na KINAPA miaka ya kukaribia kufa baada ya kupanda mlima zaidi ya miaka 70 alikufa akiwa na miaka 125 mwaka 1996
Mr. Mtui alieweka rekodi kuwa mwafrika wa kwanza kukwea kilele cha mt. Kilimanjaro bila kusaidiwa mizigo / summit free unaided person alitumia saa 9 kupanda na kushuka nimemshuhudia kwa macho na huyu kapanda .milima mingi sana pamoja na Everist wenye mwinuko 8k kipindi waziri wa maliasili na utalii akiwa. Lazaro Nyalandu hapo ni 2006 hakupewa airtime
kwa sasa kuna mtanzania mwingine wa kiraracha pale kinyange Gaudence Lekule nae kavunja rekodi ya mt. Kilimanjaro kwa waafrica katumia masaa 8 juzi tu 2017, alikuwa na ratiba za kukwea vilele v yote vikubwa duniani.
Tatizo vijana hawajui historia na nguvu ya vyombo vya habari katika zama na teknologia, upandaji mlima wa sasa ni rahisi sana tena sana. Mf. Kilimanjaro watu walikuwa wanapanda bila moutain gears za kutosha wanauguwa, altitude sickness kama high celebral oedema, pulmonaty oedema, shivering, tingling.
Watu walipikia kuni kwenye mapango miaka ya 1895-1930s. Baadae wakaanza kutum.ia jiko la mafuta ya taa, na baadae majiko ya gesi mpaka kufikia miaka ya 2000s ndipo wakaanza kutumia majiko ya gesi.
Wengi wamepoteza maisha kupanda mt. Everist sababu ya changamoto kama za kwetu, miaka ya 1970 kurudi nyuma hali ilikuwa ni mbaya sana kwa mlima everist, kule mtu ukifa unaachwa huko huko ni hatari sana. Unakuta mizoga kibao ya binadamu imezagaa sio kama sasa unapanda mlima na mtungi wa oxygen, kuna rescue plane, supply of equipments and emergence bottles, medical doctor in a climbing team.
Haya mambo hayakuwepo hapo zamani ni technologia mpya hizi, sasa unaweza kukwea na kushuka kwa parachute na mengine mengi