Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ndiyo maana waliondolewa kwa nguvu, ATCL hakuna kituFast jet walikuwa wanafanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana waliondolewa kwa nguvu, ATCL hakuna kituFast jet walikuwa wanafanyaje?
Kwan nauli ya kwenda Dubai ni sh ngapi??Mbunge Miraji Mataturu alia na bei za ATCL
![]()
===
Mbunge wa Singida Mashariki (CCM), Miraji Mtaturu ameitaka Serikali kutafuta suluhisho la bei kubwa ya usafiri katika ndege za Shirika la Ndege Nchini (ATCL) ambapo amezifananisha gharama hizo na gharama za kwenda Dubai.
Mtaturu ameyasema hayo jana Jumanne Februari 15, 2022 wakati akichangia taarifa ya shughuli za Kamati ya Bunge ya Miundombinu kwa kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.
Amesema Shirika la ATCL limekuwa likifanya vizuri baada ya Serikali kulinunua ndege lakini limekuwa likikabiliwa na changamoto mbalimbali.
Amesema bei ya tiketi ya ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma inafikia Sh400,000 hadi Sh700,000, gharama ambayo ukiangalia ni kama abiria anakwenda Dubai.
“Tumekuwa na changamoto kubwa kwa maana ya bei za tiketi. Ukiangalia tiketi ya kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma ni Sh400,000 hadi Sh700,000 ukiangalia wengine ni kama umeenda Dubai kumbe uko Tanzania hapa kumekuwa na changamoto lakini hakuna majibu,”amesema.
Mtaturu ameiomba Serikali kuangalia changamoto hiyo ya bei ya usafiri wa ndege.
Aidha, kumekuwa na malalamiko makubwa katika masuala ya mabando na kwamba mara nyingi wamewaeleza Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano (TCRA) waweze kuwasimamia watoa huduma kuhusu changamoto hiyo lakini haijafanyiwa kazi.
“Leo unaweka bado la wiki moja ikiisha fedha zinaondoka wakati ulilipia mwenyewe. Wananchi wanalalamika, tunaiomba Serikali iwasaidie wananchi waweze kuwa na haki yao ya msingi katika wanapoweka bando,”amesema.
Amesema licha ya kuwasilisha changamoto hiyo TCRA limekuwa ni tatizo isiyokuwa na majibu hata wanapoulizwa watu wahuduma kwa wateja wamekuwa hawana majibu ya moja kwa moja.
Ameiomba Serikali kulifanyia kazi ili kuwapa haki wateja.
Hata wakiwachukua hao CEOs, bado hawataweza kutengeneza faidaWachukue CEO kutoka Ryan Air, Fastjet wawaulize mode of business waliyokuwa wanatumia.
Ndege inatakiwa ijae kwa bei zao ni ngumu kujaza, ila wangeweka Cap ya 100K kwa route kama ya Dar Dom kwa siku wangeweza piga route zaidi ya 10
Mwanza ikiwa 250K go return watajaza mno na kwa siku wanaweza beba pax zaidi ya 2000
Ndo maana nikasema wawaulize mode yao ilikuwa ipi, ikiwezekana wauze hizi wanunue Embraer, kwani hata KQ kutoka Nai anatumia EmbraerHata wakiwachukua hao CEOs, bado hawataweza kutengeneza faida
Ndege tulizonunua ki sifa sifa , hazifai kwa biashara ya budget airline
Fastjet wakati wanafunga biashara walikuwa wantumie embraer e90 one of the most efficient airline for budget business, sasa unaponunua dreamliner 787 ambazo ni gas guzzles huwezi kuwa na nauli nafuu
Ni kweli , ila hii biashara hata in a layman view Atcl hawakutabiriwa kufaulu, fast jet alikuwa na ndege chache , but very well utilized, ndege moja ilikuwa na routes za kutosha , yani muda mwingi ndege zao zilikuwa angani sio parking.Ndo maana nikasema wawaulize mode yao ilikuwa ipi, ikiwezekana wauze hizi wanunue Embraer, kwani hata KQ kutoka Nai anatumia Embraer
Fastjet alikua kifaa yuleNi kweli , ila hii biashara hata in a layman view Atcl hawakutabiriwa kufaulu, fast jet alikuwa na ndege chache , but very well utilized, ndege moja ilikuwa na routes za kutosha , yani muda mwingi ndege zao zilikuwa angani sio parking.
Hiyo ndo mode of operation ya budget airlines, kwanza hawadeal kabisa na cosmetic services , beverages utazikutq ndani ya ndege ila utalipia , uzito wa bure ulikuwa nadhan ni kilo 32 zaidi ya hapo utalipia, Air Tanzania wanagawa korosho juice na maji , lakini unaweza kuta ile ni tenda ya mtu kigogo na indraw al lot of fundsFastjet alikua kifaa yule
Ndege hiyo hiyo inatoka JBurg, inaenda Mwanza, Kili, Zimbabwe.
Mbeya
Fastjet alikua 20KG freeHiyo ndo mode of operation ya budget airlines, kwanza hawadeal kabisa na cosmetic services , beverages utazikutq ndani ya ndege ila utalipia , uzito wa bure ulikuwa nadhan ni kilo 32 zaidi ya hapo utalipia, Air Tanzania wanagawa korosho juice na maji , lakini unaweza kuta ile ni tenda ya mtu kigogo na indraw al lot of funds
Hiyo ndege unasema inatoka jo burg na kwenda mwanza ni sahihi kabisa , tena kabla ya kwenda huko jo burg ilikuwa inafanya local trips ndo sababu safari ,a south zilikuwa ni usiku tu .
. Kuna siku nilimuuliza attendant mmoja aliniambia asubuhi wanaamka dar wanakwenda mwanza wanarud saa nne dar , wanakwenda kilimanjaro saa tano na kurudi saa nane , wanakwenda mbeya na kurudi saa moja , wanakwenda kilimanjaro tena na kurudi saa nne saa sita wanenda south na kurudi alfajiri kwa ajili ya schedule nyingine kwa wiki walikuwa wan route ya namna hii mara mbili.
KabisaFastjet alikua 20KG free
ATCL wanatakiwa wafikirie maximum pax badala ya max revenue
Asante sana MkuuHoja ya Msingi kabisa,
Israel mbona huyu ni mbunge wa singida mjini wakati Lissu alikuwa mbunge wa Singida mashariki.Huyu jamaa ni mzalendo zaidi kuliko Lissu,
Tangu amechukua lile jimbo limepiga hatua kubwa sana kimaendeleo,
Mtaturu Chapa kazi,
Kaangalie mahesabu yao, hata ndege yao mpaka leo imekamatwa kutokana na madeni.Fast jet walikuwa wanafanyaje?
ATCL ticket zake ni gharama sana mana ndege zao zinatumia mafuta ya alizeti lita sh 7000Mbunge Miraji Mataturu alia na bei za ATCL
![]()
===
Mbunge wa Singida Mashariki (CCM), Miraji Mtaturu ameitaka Serikali kutafuta suluhisho la bei kubwa ya usafiri katika ndege za Shirika la Ndege Nchini (ATCL) ambapo amezifananisha gharama hizo na gharama za kwenda Dubai.
Mtaturu ameyasema hayo jana Jumanne Februari 15, 2022 wakati akichangia taarifa ya shughuli za Kamati ya Bunge ya Miundombinu kwa kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.
Amesema Shirika la ATCL limekuwa likifanya vizuri baada ya Serikali kulinunua ndege lakini limekuwa likikabiliwa na changamoto mbalimbali.
Amesema bei ya tiketi ya ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma inafikia Sh400,000 hadi Sh700,000, gharama ambayo ukiangalia ni kama abiria anakwenda Dubai.
“Tumekuwa na changamoto kubwa kwa maana ya bei za tiketi. Ukiangalia tiketi ya kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma ni Sh400,000 hadi Sh700,000 ukiangalia wengine ni kama umeenda Dubai kumbe uko Tanzania hapa kumekuwa na changamoto lakini hakuna majibu,”amesema.
Mtaturu ameiomba Serikali kuangalia changamoto hiyo ya bei ya usafiri wa ndege.
Aidha, kumekuwa na malalamiko makubwa katika masuala ya mabando na kwamba mara nyingi wamewaeleza Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano (TCRA) waweze kuwasimamia watoa huduma kuhusu changamoto hiyo lakini haijafanyiwa kazi.
“Leo unaweka bado la wiki moja ikiisha fedha zinaondoka wakati ulilipia mwenyewe. Wananchi wanalalamika, tunaiomba Serikali iwasaidie wananchi waweze kuwa na haki yao ya msingi katika wanapoweka bando,”amesema.
Amesema licha ya kuwasilisha changamoto hiyo TCRA limekuwa ni tatizo isiyokuwa na majibu hata wanapoulizwa watu wahuduma kwa wateja wamekuwa hawana majibu ya moja kwa moja.
Ameiomba Serikali kulifanyia kazi ili kuwapa haki wateja.
Asante sana kwa kutetea WanyongeMbunge Miraji Mataturu alia na bei za ATCL

Check your facts!Hata wakiwachukua hao CEOs, bado hawataweza kutengeneza faida
Ndege tulizonunua ki sifa sifa , hazifai kwa biashara ya budget airline
Fastjet wakati wanafunga biashara walikuwa wantumie embraer e90 one of the most efficient airline for budget business, sasa unaponunua dreamliner 787 ambazo ni gas guzzles huwezi kuwa na nauli nafuu
Kavuta nini?Nape ameshavuta chake hana habari tena na wananchi