Mtaturu: Gharama za ATCL ndani ya Tanzania ni kubwa kuliko zile za Dubai

Kwan nauli ya kwenda Dubai ni sh ngapi??
 
Hata wakiwachukua hao CEOs, bado hawataweza kutengeneza faida
Ndege tulizonunua ki sifa sifa , hazifai kwa biashara ya budget airline
Fastjet wakati wanafunga biashara walikuwa wantumie embraer e90 one of the most efficient airline for budget business, sasa unaponunua dreamliner 787 ambazo ni gas guzzles huwezi kuwa na nauli nafuu
 
Ndo maana nikasema wawaulize mode yao ilikuwa ipi, ikiwezekana wauze hizi wanunue Embraer, kwani hata KQ kutoka Nai anatumia Embraer
 
Ndo maana nikasema wawaulize mode yao ilikuwa ipi, ikiwezekana wauze hizi wanunue Embraer, kwani hata KQ kutoka Nai anatumia Embraer
Ni kweli , ila hii biashara hata in a layman view Atcl hawakutabiriwa kufaulu, fast jet alikuwa na ndege chache , but very well utilized, ndege moja ilikuwa na routes za kutosha , yani muda mwingi ndege zao zilikuwa angani sio parking.
 
Ni kweli , ila hii biashara hata in a layman view Atcl hawakutabiriwa kufaulu, fast jet alikuwa na ndege chache , but very well utilized, ndege moja ilikuwa na routes za kutosha , yani muda mwingi ndege zao zilikuwa angani sio parking.
Fastjet alikua kifaa yule
Ndege hiyo hiyo inatoka JBurg, inaenda Mwanza, Kili, Zimbabwe.
Mbeya
 
Fastjet alikua kifaa yule
Ndege hiyo hiyo inatoka JBurg, inaenda Mwanza, Kili, Zimbabwe.
Mbeya
Hiyo ndo mode of operation ya budget airlines, kwanza hawadeal kabisa na cosmetic services , beverages utazikutq ndani ya ndege ila utalipia , uzito wa bure ulikuwa nadhan ni kilo 32 zaidi ya hapo utalipia, Air Tanzania wanagawa korosho juice na maji , lakini unaweza kuta ile ni tenda ya mtu kigogo na indraw al lot of funds

Hiyo ndege unasema inatoka jo burg na kwenda mwanza ni sahihi kabisa , tena kabla ya kwenda huko jo burg ilikuwa inafanya local trips ndo sababu safari za south zilikuwa ni usiku tu .

Kuna siku nilimuuliza attendant mmoja aliniambia asubuhi wanaamka dar wanakwenda mwanza wanarud saa nne dar , wanakwenda kilimanjaro saa tano na kurudi saa nane , wanakwenda mbeya na kurudi saa moja , wanakwenda kilimanjaro tena na kurudi saa nne saa sita wanenda south na kurudi alfajiri kwa ajili ya schedule nyingine kwa wiki walikuwa wan route ya namna hii mara mbili.
 
Fastjet alikua 20KG free

ATCL wanatakiwa wafikirie maximum pax badala ya max revenue
 
Nenda tu hata ofisi yao hapa Mwanza haifanani kama ni ofisi ya international airline. Nje ofisi chafu, ndani watumishi hawana sare. Mnatakiwa mjitathmini.
 
Yani kifupi anayosema mbunge yatawezekana kama wataruhusu ushindani kwa wenye uwezo wa kufanya biashara waruhusiwe hawa Air Tanzania hawaheshimu hata route mabadiliko kila siku wanakuwa na excuse kibao kifupi niubabaishaji na hii Monopoly waliyonayo ndio inawapa kiburi
 
Huyu jamaa ni mzalendo zaidi kuliko Lissu,

Tangu amechukua lile jimbo limepiga hatua kubwa sana kimaendeleo,

Mtaturu Chapa kazi,
Israel mbona huyu ni mbunge wa singida mjini wakati Lissu alikuwa mbunge wa Singida mashariki.

Uwe makini unapoandika acha papara
 
Nilipata tiketi ya Dar to Kilimanjaro kwenye site ninayoifahamu nje ya nchi nililipa sh 240000 . Nilipojaribu kukata site ya Air Tanzania ningelipa sh 345000
 
ATCL ticket zake ni gharama sana mana ndege zao zinatumia mafuta ya alizeti lita sh 7000
 
Asante sana kwa kutetea Wanyonge
 
Check your facts!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…