Mtazamo binafsi: Wasichana wengi waliomaliza vyuo vikuu ni mizigo na hawafai kuolewa!

Mtazamo binafsi: Wasichana wengi waliomaliza vyuo vikuu ni mizigo na hawafai kuolewa!

Kama suala ni kukaanga mihogo basi huna hoja mzee.
 
Sio wasichana wote waliosoma chuo hawafai kuolewa na sio wasichana wote walioishia darasa la 7 au kidato cha nne wanafaa kuolewa.

Ukiona pale unapowaza kuoa na ukaona bado unatumia nadharia ambazo zinafanya "simple generalisation", basi usioe kwanza bado unatakiwa kuyaona mengi zaidi
Case closed.
 
Mtahangaika sana
Kila mtu anamtu wake.
Usilazimishe kama sio wako
Wanawake ndivyo walivyo umbwa na sie. Wanaume ndivyo tulivyo umbwa hatuwezi kufanana sote.
 
Ukubwa wa mashine ni ela tuu mkuu...tafuta ela baharia utawala wengi mpaka utawakimbia mwenyewe

" Ni heri kuoa mwanamke mwenye elimu yake akakupanda kichwani itakua rahisi kumshusha , kuliko kuoa mwanamke mwenye elimu dhaifu ( darasa la saba / failure) utajuta sana"
 
hawa wasiosoma nao wana shida zao mkuu..

mkigombana kidogo ukimfokea utamskia anasema unaninyanyasa.. unanidharau kisa sijasoma.

asee nkaona hili ni tatizo nikakapiga chini nkachukua msomi.
 
Mke mwenye hekima na busara anatoka kwa Allah, Tuendelee kumuomba Mwenyezi Mungu katika hili, atatupatia machaguo yaliyo mema
 
Sio wasichana wote waliosoma chuo hawafai kuolewa na sio wasichana wote walioishia darasa la 7 au kidato cha nne wanafaa kuolewa.

Ukiona pale unapowaza kuoa na ukaona bado unatumia nadharia ambazo zinafanya "simple generalisation", basi usioe kwanza bado unatakiwa kuyaona mengi zaidi
Kunywa Pepsi hapo kwa Mangi[emoji1]
 
Huo ndio ukweli mkuu japo wamekuponda. Msichana mwanamke mwenye elimu ya chuo kikuu ni shida, wanataka maisha rahisi ktk kutafuta au kutafutiwa watumie tu.
 
Mpuuzi kweli kweli. Unafikiri kila mtu ana mawazo ya kukaanga mihogo tu. Poor mindset. Halaf wewe ni mwanaume kamili kweli? Majukumu yako unataka yafanywe na mke? Kaoe huyo ambaye hana Elimu kwakua huyo ndo anafit kwenye maisha yako. Upeo wako usitake limit wengine. Na si lazima wote tuanze kwa kuuza genge. You can start with a supermarket. Or else tuwachome na petrol tu. Mnapenda mtelezo sana. Wewe mke bora kwako ni yule mwenye ajira. Je wewe ukipotexa hiyo ajira mke akuache siyo?
 
Back
Top Bottom