Mtazamo: Kuhusu MCC kusitisha msaada wa MCC 2 na shughuli zake Tanzania

Mtazamo: Kuhusu MCC kusitisha msaada wa MCC 2 na shughuli zake Tanzania

Africa bila misaada ni ngumu kuendelea tuache mbwembwe tuwe wakweli, Kwetu ni pigo kubwa sana
JK aliwahi kuulizwa nadhani kwenye mkutano wa davos, Africa isaidiwe vp ili iweze kujikomboa akasema "WAZUNGU WATUZIDISHIE MISAADA MARADUFU KWENYE NCHI ZA AFRICA" hapo maendeleo lazima yapatikane, tafakari mawazo ya mwenye kiti wa chama hayo
 
JK aliwahi kuulizwa nadhani kwenye mkutano wa davos, Africa isaidiwe vp ili iweze kujikomboa akasema "WAZUNGU WATUZIDISHIE MISAADA MARADUFU KWENYE NCHI ZA AFRICA" hapo maendeleo lazima yapatikane, tafakari mawazo ya mwenye kiti wa chama hayo
Nandicho alichokifanya katika utawala wake magufuli siyo kikwete
 
Kama unataka kulazimisha sawa! Lakini ukweli ni kuwa siyo watanzania wote wana agenda ya zanzibar zaidi ya UKAWA na UKIWA!

Tuseme hamna agenda hiyo ndio mpindue ya wananchi ?! By the way UKAWA ni raia wa nchi ipi?! Hawana haki zao?!

Teteeni chama kwa kuishauri iendane na iliyoyasaini. Leo hii MCC imewaaibisha mkubali msikubali
 
Tuseme hamna agenda hiyo ndio mpindue ya wananchi ?! By the way UKAWA ni raia wa nchi ipi?! Hawana haki zao?!

Teteeni chama kwa kuishauri iendane na iliyoyasaini. Leo hii MCC imewaaibisha mkubali msikubali
Zanzibar raisi kashaapishwa hakuna jipya kule
 
... It is now high time kufanya siasa safi za maendeleo (politics of development) na sio kujikita katika katika siasa za madaraka (Politics of Power)...
Swadakta! ....na 'upanga' huu bila ya shaka umekusudia 'ukate' kotekote. Ama limekuponyoka tu?
 
Well said brother.

Hizi ni double standard za Mabeberu wa nchi za Magharibi.

Nani mwenye demokrasia kati ya Tanzania na Misri.
Kwanini wananikamata mie niliyeua mtoto ilhali Kuna aliyemua ajuza
Sick logic
 
What a vulgar analysis; devoid of reason and facts; and compering the incomparable. It seems Polepole is ready to use all ammunition at his disposal (including this publication of fallacies) to advance his greedy, sycophantic agenda. The severing of diplomatic ties with West Germany and the UK in the 60's was a heroic move aimed at asserting our sovereignty, on the one hand, and in protest to UK's inaction over Rhodesia's UDI, on the other. This does not in any way compare to CCM's trampling on the constitution and subverting a democratic process in Zanzibar, on the one hand, and enacting the draconian cyber crime law that actually aims to curbing dissenting views, on the other.
 
Tangu lini muajiriwa wa kitengo akaipinga serikali yake?? Je tunafahamu umuhimu wa fedha za kigeni kwenye mzunguko?? Je unafahamu mataifa ya nje yakiacha kutoa nsaada thamani ya shilingi itashuka dhidi ya dola?? Je unafahamu uwezo wa nchi yetu kuuza nje ili kupata fedha za kigeni upo chini sana kiasi kwamba misaada ya wahisani ndio inaongeza fedha za kigeni kwenye mzunguko wetu, je unafahamu hali hii ikiendelea ya kukosa misaada ya wahisani bidhaa za nje zitakuwa ni ghali sana kiasi cha watanzania wengi kushindwa kuzipata?
Je wajua asilimia 50+ ya bajeti inahitaji fedha za wahisani, je wajua kukiwa na mdororo wa kiuchumi hayo makusanyo yatashuka hadi aibu? Yapo mengi ila ngoja nichangie taifa hapa kwa kunywa castle lager ya baridi
Hapo ndio unajuwa kuwa wasomi wetu mpo kama vibalaka wa mataifa ya nje. Ivi marekani anategemea misaada kutoka wapi? Yy anaishi VP? Inatakiwa tucmame na cc
 
Kunyimwa msaada is not a big issue, the big issue is the reasons behind it!
Concisely speeking, The issues are the election in Zanzibar how it was conducted, as well as the law that was crafted to limit the freedom of people online!. these are the issues!!
 
Hapo ndio unajuwa kuwa wasomi wetu mpo kama vibalaka wa mataifa ya nje. Ivi marekani anategemea misaada kutoka wapi? Yy anaishi VP? Inatakiwa tucmame na cc
We unadhani marekani aliendelea bila misaada??? We unajua ni nchi gani inaongoza kwa kuwa na madeni makubwa zaidi duniani??
 
Kumbe fedha za kigeni zinaletwa na MCC tu au ndio pesa yetu ingeongezeka thamani maradufu mkuu
Zinatakiwa zizalishwe kwa kuuza bidhaa nje, ke nchi yako inauwezo wa kuuza bidhaa nje??

Je utalii unaweza kuzalisha hizo fedha za kigeni za kutosha?? Ushabiki hautalisaidia taifa zaidi ya kulididimiza
 
polepole anatfuta kiki ya kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya, alichoandika ni sawa na kijitukana mwenyewe
 
Hivi haya mapovu yote ni kulilia hela za msaada wa marekani? Kwani sisi ni viwete kwamba hatuwezi kutafuta vya kwetu, au hatutaki kutoa jasho?
 
Uchambuzi wa MCC kesho Times FM

Kesho tarehe 31 Machi 2016, saa 1 Asubuhi nimealikwa na Times 100.5 FM. Huko nitafafanua sintofahamu na taharuki ya kusitishwa kwa awamu ya pili ya Msaada wa MCC. Nitaelezea historia ya MCC, historia yake na Tanzania, MCC Awamu ya Kwanza, na aina ya miradi iliyotekelezwa nchini na Awamu ya Pili ambayo imesitishwa (hakuna mradi uliotekelezwa). Nitaeleza tofauti ya MCC 1 and ambayo iliyokuwa inakuja kuwa MCC 2.

Kubwa ni kwamba Maisha lazima yaendelee katika Tanzania na hasa tukiendelea kuheshimu uhuru wetu na uwezo wetu wa ndani kufanya maamuzi yetu pasina kuingiliwa na mtu au Taifa lolote.

Watu wengi wanapotoshwa juu ya nini MCC 2 ilikuwa inakuja kufanya Tanzania, nitafafanua kwa kina kesho.

Kujitegemea na kujenga uwezo wa ndani kujitegemea na kupeana morali huu ni zaidi sana kuliko kulia lia na Msaada ambao haujaja.

Huu ni wakati wa kuwa Mtanzania Kwanza.

Usikose, Mjulishe na Mwingine, Please SHARE
 
Huyu naye bwana!!akiona amesahaurika anatafuta pa kutokea sasa yeye na mambo ya uchumi wapi na wapi!!!ni Tz pekee ambapo mtaalam wa mambo ya lishe anaweza kuongelea uchumi,mazingira ya viumbe baharini,mambo ya nyuklia,mambo ya kijeshi na hata uchambuzi wa soka na watu wakamuamini sana kuliko hata wataalamu husika wa fani hizo!!TZ raha sana jamani.
 
Back
Top Bottom