Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kanisa Katoliki lina maji ya baraka tu na ambayo hutolewa bure Kanisani baadavya kuombewa na Padre. Rozali na misalaba kwenye Kanisa, navyo ni vitu viwili tofauti.Nimejaribu kuwaza na kutafakari haya yanayoendelea sasa katika madhehebu ya kisasa ya kikristo (makanisa ya manabii?) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji, mafuta, chumvi, vitambaa ili waumini wao wabarikiwe na yale yanayoendelea kwenye dhehebu kongwe zaidi la kikristo (kanisa katoliki) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji ya baraka, rosali, picha za kubuni za Yesu, Maria na Yusuph, Misalaba nk. ili waumini wake wapate kubarikiwa.
Nini tofauti yao ya kimsingi ikiwa lengo ni lile lile (waumini wapate baraka kupitia vitu hivyo) pasipo ulazima sana wa kumwamini Yesu mioyoni mwao na kumshika yeye pekee yake ili wapate baraka zake?
MAFUTA NDIO YANA UPAKO
maji sio sana.
Hivi, RC huwa wanauza maji ya baraka? Mkoa upi huo?Nimejaribu kuwaza na kutafakari haya yanayoendelea sasa katika madhehebu ya kisasa ya kikristo (makanisa ya manabii?) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji, mafuta, chumvi, vitambaa ili waumini wao wabarikiwe na yale yanayoendelea kwenye dhehebu kongwe zaidi la kikristo (kanisa katoliki) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji ya baraka, rosali, picha za kubuni za Yesu, Maria na Yusuph, Misalaba nk. ili waumini wake wapate kubarikiwa.
Nini tofauti yao ya kimsingi ikiwa lengo ni lile lile (waumini wapate baraka kupitia vitu hivyo) pasipo ulazima sana wa kumwamini Yesu mioyoni mwao na kumshika yeye pekee yake ili wapate baraka zake?
Mtu akipewa maji ya baraka bure na mwingine akapewa maji ya upako kwa kulipa fedha utuekeze ni mambo sawa yenye mtazamo tofauti?Tafakari upya.Wakatoliki na hao manabii wanatumia Biblia moja ila Ila wana mitazamo tofauti kabisa!
Kujibu Swali:
Kila kitu ni tofauti, ni jukumu la mlaji kuamua nini kinamfaa:
Comment Binafsi:
Wakatolic - systematic utapeli.
Manabii - Watapeli wa Wazi!
Mafuta ya upako na maji ya baraka zote ni tafsiri zisizo sahihi!
Epuka kutapeliwa, soma Biblia mwenyewe, jaribu kuielewa na mwombe roho Mtakatifu akusaidie!
Mtu akipewa maji ya baraka bure na mwingine akapewa maji ya upako kwa kulipa fedha utuekeze ni mambo sawa yenye mtazamo tofauti?Tafakari upya.
Mimi sijawahi kuwa na akili hata dakika moja ila ungetulia na kujiridhisha kwamba umeelewa nilichokiandika.Vema.Sasa,utueleze mtu akipewa maji ya baraka halafu inakuwaje anafanyiwa utapeli systematic?Naamini hakuna anayependa kutapeliwa.Akili huna, wakati wa Idd kuna watu hutoa nyama bure na wengine huchagua kwenda kununua!
Ukatoliki ni utapeli systematic, unaweza upewe hayo maji bure ila kuna mahali unapigwa hasa!
Sasa Kama ulitaka kutoa credit kwa ukatolic kwa kutoa bure, usingeuliza na ku lead unavyotaka ujibiwe!
Mtoto anaiga kwa mama. Hao wote ni watoto na wajukuu wanaoeneza kazi za mama yao.
Ngoja watakuja
Nimejaribu kuwaza na kutafakari haya yanayoendelea sasa katika madhehebu ya kisasa ya kikristo (makanisa ya manabii?) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji, mafuta, chumvi, vitambaa ili waumini wao wabarikiwe na yale yanayoendelea kwenye dhehebu kongwe zaidi la kikristo (kanisa katoliki) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji ya baraka, rosali, picha za kubuni za Yesu, Maria na Yusuph, Misalaba nk. ili waumini wake wapate kubarikiwa.
Nini tofauti yao ya kimsingi ikiwa lengo ni lile lile (waumini wapate baraka kupitia vitu hivyo) pasipo ulazima sana wa kumwamini Yesu mioyoni mwao na kumshika yeye pekee yake ili wapate baraka zake?