MTAZAMO: Nini tofauti ya vifaa vya upako vya manabii (maji, mafuta, chumvi) na vifaa vya baraka vya kanisa Katoliki (maji, misalaba, rosali, picha)?

MTAZAMO: Nini tofauti ya vifaa vya upako vya manabii (maji, mafuta, chumvi) na vifaa vya baraka vya kanisa Katoliki (maji, misalaba, rosali, picha)?

MAFUTA NDIO YANA UPAKO

maji sio sana.
Wakatoliki ya maji ya baraka huwa yanawekwa chumvi kuwa ina upako

Sio maji matupu yana mchanganyiko na chumvi anayebisha ajaribu kulamba yana chumvi

Ni mchanfqnyiko wa maji na chumvi

Dunia ina mambo hii hatari
 
Mashirika ya kitume ni kama tu makampuni ya kanisa yanayomiliki miradi mbalimbali ya kuingiza pesa kama Shule,vyuo,mahospitali,mashamba ,nk kwa niaba ya kanisa lakini ni mali ya kanisa katoliki wako chini ya mapadre,maaskofu na Papa..Hivyo huviuza kwa niaba ya kanisa katoliki tofauti na akina Mwamposya anayeuza mwenyewe kutokana na hiyo biashara kwa katoliki kuiona ni kubwa wakaamua kuweko makampuni kabisa ya kuzalisha na kuuza hivyo vitu kwa jumla au rejareja kwa wauzaji wadogo

Wote wafanyabiashara hakuna wa kumcheka mwenzie tofauti ni ujanja
Sio lazima viuzwe na mashirika hayo, hata wewe unaweza kuuza. Bila shaka umewahi kukutana na machinga amezipanga chini picha za kanisa anaziuza. Kabla hazijabarikiwa zinauzwa tu na yeyote, hakuna ukiritimba wa kanisa Katoliki na wala hakuna anayefuatilia kama hii imechapishwa na nani maana Kanisa halina maslahi zaidi ya imani
 
... Rozali ni kama tasbih, haisaidii kukupa nguvu wala kuponya chochote ila inakuongoza wakati wa sala...
kuongezea hapo, historia ya Rozari inaonyesha kuwa walianza kusali kwa kupanga mawe madogo madogo (changarawe) ili wasipoteze hesabu ya idadi ya sala wanazosali. Kwa hiyo ishu sio rozali, ni sala unazosali
 
Ukiona mtu anakiona cha mwenzake kuwa ni imani potofu, ujue yupo mbioni kuanzisha kanisa lake
Tukitumia akili kidogo wala hatutahitaji mabishana.
1. Ukristo kitabu cha katiba na sheria ni biblia...yaani muongozo wa ibada...je kuna maagizo haya?

2. Yesu akiagiza tule meza ya Bwana pekee tena kwa ukumbusho wa kifi chake.

Mengine sijui mafuta, maji ni uongo na utapeli wetu tu
 
Maji ya baraka hupewi, labda uibe. Yapo pale kwa matumizi ya kanisani na ni bure kabisa kuyatumia na ni hiyari yako pia.
Inawezekana hujui au haujafuatilia.U napewa bure.Nilihitaji wakanijazia kwenye chupa ya 1.5 ltrs for free!
 
Tukitumia akili kidogo wala hatutahitaji mabishana.
1. Ukristo kitabu cha katiba na sheria ni biblia...yaani muongozo wa ibada...je kuna maagizo haya?

2. Yesu akiagiza tule meza ya Bwana pekee tena kwa ukumbusho wa kifi chake.

Mengine sijui mafuta, maji ni uongo na utapeli wetu tu
Walioratibu biblia ndio hao wanaofanya hayo maudhui, na wamesoma kweli kweli (sio cheti au diploma). Au unadhani Biblia ilishuka kutoka mbinguni? Mafuta na maji vipo katika maandiko. Tatizo ni pale ambapo mtu anatumia maandiko kufanya chanzo cha mapato yake
 
Imani ya dini ni beyond vielimu vyetu uchwara
 
Tukitumia akili kidogo wala hatutahitaji mabishana.
1. Ukristo kitabu cha katiba na sheria ni biblia...yaani muongozo wa ibada...je kuna maagizo haya?

2. Yesu akiagiza tule meza ya Bwana pekee tena kwa ukumbusho wa kifi chake.

Mengine sijui mafuta, maji ni uongo na utapeli wetu tu
Alisema "Mkate huu ni mwili wangu ninaoutoa kwa ajili yenu. Kuleni kwa kunikumbuka" Luka 22:19 na “Kikombe hiki ni agano jipya linalothibitishwa kwa damu yangu inayomwagika kwa ajili yenu". Luka 22:20... Pia waweza kuona "Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho"

Yn 6:54

Sasa alipo tuagiza tule meza ya Bwana ni wapi?.....Huoni unaficha ukweli wa jambo.......Mwili na Damu ya Kristo ni kwajili ya Ufufuo siku ya mwisho mkuu ns sio kwajili ya Ukumbusho tu
.
 
Walioratibu biblia ndio hao wanaofanya hayo maudhui, na wamesoma kweli kweli (sio cheti au diploma). Au unadhani Biblia ilishuka kutoka mbinguni? Mafuta na maji vipo katika maandiko. Tatizo ni pale ambapo mtu anatumia maandiko kufanya chanzo cha mapato yake
Nani aliyeratibu Biblia? Mfano agano la kale na jipya

Lete uongo wako hapa tukujibu
 
Alisema "Mkate huu ni mwili wangu ninaoutoa kwa ajili yenu. Kuleni kwa kunikumbuka" Luka 22:19 na “Kikombe hiki ni agano jipya linalothibitishwa kwa damu yangu inayomwagika kwa ajili yenu". Luka 22:20... Pia waweza kuona "Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho"

Yn 6:54

Sasa alipo tuagiza tule meza ya Bwana ni wapi?.....Huoni unaficha ukweli wa jambo.......Mwili na Damu ya Kristo ni kwajili ya Ufufuo siku ya mwisho mkuu ns sio kwajili ya Ukumbusho tu
.
Umeuliza mwenyewe na umejijibu mwenyewe
 
Nani aliyeratibu Biblia? Mfano agano la kale na jipya

Lete uongo wako hapa tukujibu
Unafikiri ilijipanga yenyewe Agano la Kale na Jipya? Unafikiri namba za sura na aya zilijipanga zenyewe kwenye kila kitabu? Linapokuja suala la uandishi wa Biblia, waprotestanti muwe wapole kabisa, yaani mtulie na msikilize mlicholetewa, na mtumie mlicholetewa. Au unafikiri vitabu vya agano la kale vilikusanywa enzi za akina Musa? Tulieni kabisa, lisikilizeni Kanisa Moja la Mitume, mtakachopewa ndio hicho hicho mpokee na kukihubiri
 
Nimejaribu kuwaza na kutafakari haya yanayoendelea sasa katika madhehebu ya kisasa ya kikristo (makanisa ya manabii?) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji, mafuta, chumvi, vitambaa ili waumini wao wabarikiwe na yale yanayoendelea kwenye dhehebu kongwe zaidi la kikristo (kanisa katoliki) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji ya baraka, rosali, picha za kubuni za Yesu, Maria na Yusuph, Misalaba nk. ili waumini wake wapate kubarikiwa.

Nini tofauti yao ya kimsingi ikiwa lengo ni lile lile (waumini wapate baraka kupitia vitu hivyo) pasipo ulazima sana wa kumwamini Yesu mioyoni mwao na kumshika yeye pekee yake ili wapate baraka zake?
Vya manabii ni vya mchongo na vinauzwa
 
Unafikiri ilijipanga yenyewe Agano la Kale na Jipya? Unafikiri namba za sura na aya zilijipanga zenyewe kwenye kila kitabu? Linapokuja suala la uandishi wa Biblia, waprotestanti muwe wapole kabisa, yaani mtulie na msikilize mlicholetewa, na mtumie mlicholetewa. Au unafikiri vitabu vya agano la kale vilikusanywa enzi za akina Musa? Tulieni kabisa, lisikilizeni Kanisa Moja la Mitume, mtakachopewa ndio hicho hicho mpokee na kukihubiri
Tulia wewe tuanze ligi
Agano lote hiyo biblia ni ya wayahudi inajulikana kama Jewish Bible ipo hapo hata kabla ya Yesu Kristo kuzaliwa na kabla ya kanisa katoliki kuwepo duniani

Na hiyo Biblia agano la kale ndio inatumiwa na wayahudi hadi leo hii

Hakuna Mkristo Yeyote aliyehusika kuratibu Biblia agano lote la kale Vitabu vyote

Kanisa katoliki halihusiki ni uongo

Jewish Bible nenda hata play store download iko hapo bure

Aliyekudanganya kuwa agano la kale katoliki ndio waratibu alikupotezea muda kukufundisha ujinga

Biblia vitabu vya agano la kale tumevirithi kama vilivyo na aya zake na mistari yake toka Biblia ya wayahudi wanayatumia hadi leo kwenye masunagogi yao ya dini ya kiyahudi.Na dini hiyo ni ya kale kuliko katoliki

Sura na mistari hata Yesu alikuwa akinukuu kwenye mahubiri kabla hata
kanisa katoliki halijawaza kuwepo duniani huko Vatican
 
Back
Top Bottom