🤣🤣 Kuna kitu ulinyimwa si bureSongesha - Vodacom!
TANESCO hawa ni wapuuzi kinoma.....na wenzao polisiWanaweka contacts na address kwenye page zao. Jaribu sasa kuwafikia au kuwatafuta, hapo ndio utaona maajabu ya ulimwengu!
*Simu haipokelewi hata upige kutwa mzima! Pale kuna ma-secretary (customer care/service), vi-bibi
havielewi chochote kuhusu umuhimu wa mteja.
Email zenye domain za shirika haziendi. Utaletewa meseji'
'Your message wasn't delivered because the address couldn't be found, or unable to receive mail.'
*Barua hazijibiwi
*Ukienda ofisini hawatojali.
TANESCO ya sasa sio ya zamani na ya kesho inaonesha dira ya mabadiliko makubwa sana kwenye utoaji wa huduma, tunakuhakikishia kuwa kwa huduma zetu zimeboreshwa sana na wateja wamekuwa wakionesha hilo.Huu ni mtazamo wangu kutokana na uzoefu wangu wa kupitia huduma mbali mbali katika mashirika hayo kwangu naona Hawa WATANO Wafuatao kwao mteja ni "boya" na Wala sio mfalme
5. TRA
4. Polisi
3. Maji
2. Nida
1. Tanesco
Kama umewahi kwenda ofisi hizo hapo juu utaona jinsi unavyopokelewa mpaka kuhudumiwa mpaka unajisemea moyoni..
'kungekuwa na mbadala ningeenda"
Anyway ni mtazamo tu..
Naomba kote mpinge ila sio hapo kwa Tanesco[emoji1787][emoji1787]
Tafadhali shauri ni nini kiboreshwe zaidi ufurahie huduma zetuTanesco hata namba moja naona kama umewapendelea,
Hivi hatuwezi kuanza na -0.000000001 ili tuwaweke hapo ....!
Tupo kukuhudumiaWanaweka contacts na address kwenye page zao. Jaribu sasa kuwafikia au kuwatafuta, hapo ndio utaona maajabu ya ulimwengu!
*Simu haipokelewi hata upige kutwa mzima! Pale kuna ma-secretary (customer care/service), vi-bibi
havielewi chochote kuhusu umuhimu wa mteja.
Email zenye domain za shirika haziendi. Utaletewa meseji'
'Your message wasn't delivered because the address couldn't be found, or unable to receive mail.'
*Barua hazijibiwi
*Ukienda ofisini hawatojali.
Tafadhali shauri ni nini kiboreshwe zaidi ufurahie huduma zetu
Je ulijibiwa ambavyo haujaridhika ofisi gani? Nani alikujibu na alikujibuje? Tafadhali tupatie namba yako ya simu na siku uliyojibiwa tufatilieSuala kubwa ni kubadili mentality ya watoa huduma wetu, waone kuwa tunahitajiana wote. Si kuwa shirika halina shida bali wateja ndo wanaohitaji shirika zaidi.
Kama ulivyojitokeza na kutoa majibu hapa, inaonyesha utayari wa kutoa huduma kwa mteja. Hongera kwako.
Pamoja na matatizo yetu ya kutojitosheleza kwa mahitaji kutoka kwenye shirika, kutoa jibu mwafaka kwa wakati bila kona kona au maelezo halisia ni muhimu kwa mhitaji.