Mtazamo wa kiroho: Kwanini Rais Samia hawezi kuwa Rais kwa vipindi viwili

Kaka mshana bila shaka umewai msikia shekhe omary myashaani akisumulia hata ya bagamoyo na Lindi.nchi haitakiwi kusonga kimaendeleo..mwendazake ni kama alianza kuisogeza nchi labda ndo maana walimtanguliza.
Mwendazake ndio aliharibu kabisa sasa ...maendeleo aliyofanya yalikuwa ni majukumu ya wizara na waziri wa ujenzi..huko ndiko alikotokea na hakuweza kubadilika ...kwingine kote aliharibu vibaya sana kuanzia kiuchumi kijamiii mpaka mgawanyo wa madaraka na majukumu..Na huko kwenye makafara ndio alitibua kabisa.. Ule moshi wa Ruangwa mpaka leo haujawahi kutolewa maelezo ya hakika

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Nchi,Taifa,Mtu asiye wa kiroho shida roho ipi inafanya kazi?
 
Huwa nashangaa sana ninaposikia wanasiasa wakijifurahisha nafsi zao kwa kutamka kuwa hii sasa ni awamu ya sita .... Nasema hiiiiiiiiiii!☺️
 
Uganda wanaume wanashangilia ujio wa wakimbizi kutoka Afghanistan.... Macho yao yanalegwa lengwa na machozi kwa wanawake wa kitaleban.... Kazi tunayo ukanda wa EAC... kule nako atapatikana Rais mwanamke siku si nyingi. 😊 😁
 
Uganda wanaume wanashangilia ujio wa wakimbizi kutoka Afghanistan.... Macho yao yanalegwa lengwa na machozi kwa wanawake wa kitaleban.... Kazi tunayo ukanda was EAC... kule nako atapatikana Rais mwanamke siku si nyingi. [emoji4] [emoji16]
Mmh ya lini hii

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Kaka mshana bila shaka umewai msikia shekhe omary myashaani akisumulia hata ya bagamoyo na Lindi.nchi haitakiwi kusonga kimaendeleo..mwendazake ni kama alianza kuisogeza nchi labda ndo maana walimtanguliza.
Umeandikaje? Mbona hueleweki?
 
Moshi? Unatoka Ruangwa mlimani au? How?
 
Uganda wanaume wanashangilia ujio wa wakimbizi kutoka Afghanistan.... Macho yao yanalegwa lengwa na machozi kwa wanawake wa kitaleban.... Kazi tunayo ukanda was EAC... kule nako atapatikana Rais mwanamke siku si nyingi. [emoji4] [emoji16]
Very beautiful, I love them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…