Mtazamo wa kiroho: Kwanini Rais Samia hawezi kuwa Rais kwa vipindi viwili

Heshima yako kaka mkubwa Mshana Jr! Hivi matambiko makubwa mawili, la Bagamoyo na la Lindi, hivi yalihushisha kafara ya damu? Na je, lengo lake ni nini hayo matambiko?
Lengo lilikuwa kuilinda nchi dhidi ya uasi wowote wa ndani na wa nje...
LA Bagamoyo lilikuwa la kukimbiza moto..la Lindi lilikuwa la damu..

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Awamu ya tano imeishia siku Magufuli alivyokufa, awamu sio miaka bali ni kipindi alichohudumu kiongozi na hata hayo mengine ni upuuzi tu kwani dunia hii hakuna ajuaye zaidi ya mwenyezi Mungu mwenyewe hakuna kiumbe kingine chochote kinachoweza kufanya tofauti na kile alichopanga mwenyezi Mungu.
 
Fafanua kidogo kuhusu Moshi wa Ruangwa
 
Kwahiyo awamu zilipangwa na Mungu[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo awamu zilipangwa na Mungu[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Hii ya mgongano wa awamu hii...Duuh!

Ningekuwa niko karibu sana, ningemuomba afanye ibada sana kwa muumba. Sio uchawi wala uganga wa kienyeji. Ni Mwenyezi Mungu pekee ndio anaongoza msafara.
Mwenye masikio na asikie
 
hii miaka minne kuna drama nyingi za ccm tutazishuhudia! tena ni drama fever.
2025 huenda roho itaungana na mwili kuna mtoto atazaliwa.
 
Ulimwengu wa roho ni timilifu na mambo yake huenda na kufanyika juu ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu.

Mshana Jr ,

Umetueleza mambo ya kiroho kwa lugha ya kueleweka kabisa na sisi wenye upungufu wa kuyaona sasa tunabaini.

Wengine tulijaribu kuelezea lakini tumeshindwa, guru ni guru tu khasa akiwa 'kilingeni' huyaona yote na kutuelezea ktk namna ambayo inaeleweka. Shukrani.

 
Ni vipi basi apange mabaya na afanikiwe na ikiwa Mungu hakupanga hilo jambo baya?
Ulimwengu una falme mbili
Ufalme wa mbingu ambao tunaita wa Kimungu
Ufalme wa mkuu wa anga.. Ambao uko chini ya Mbingu
Kwa kila tendo hapa duniani ni lazima litoke kati ya mojawapo ya hizo falme mbili

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…