Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Nikitazama mwenendo wa mambo, hii ndio picha ninyoipata kutokana na haya matukio hasa kwa jinai yanavyotekelezwa.
Wanafanya ukatili mbaya na wa kutisha halafu wanaacha nafasi ya watu kushuhudia ukatili uliiofanywa kwenye mwili wa muathirika lengo ni kuamsha chuki na hasira na wanajua lawama zote zirakuwa kwake.
Kwa mfano , jiulize, yule mzee walishindwa kumtengeneza ajali, kumpa sumu, n.k?Kulikuwa na ulazima wa kumteka kwa style ile tena huku kelele za watu kutekwa na kupotezwa zikiwa zimepamba moto?
Unawezaje kuteka, kupoteza na kuua watu kwa kiwango hiki tena kwa mfululizo ndani ya muda mfupi kama sio njama?
Unampiga mtu risasi halafu unaenda kumtupa kwenye mbuga ya wanyama lakini katika eneo ambalo ni rahisi watu kumuona. Je, hii sio makusudi?
Unampiga mtu mpaka kumua halafu usoni unamgwagia tindikali eti asitambulike lakini unaacha sehemu zingine za mwili zenye clue inayoweza kufanya watu(ndugu na jamaa) wamtambue marehemu. Ni kukosa umakini kweli? Hii sio hujuma?
We. endelea kuwaaminii hao watu ila kumbuka walitaka hiyo nafasi usipate sema tu yule Mkuu wa Wajeda wa wakati ule ndio alikuokoa. Hata kama umeweka watu wako hizo sehemu nyeti, usidhani ndio uko salama hasa ukizingatia umetoka upande wa pili wa hii nchi na zaid jinsia yako ni tatizo lingine.
Angalia wamekaa kimya, hata mitandaoni hawasemii chochote hawataki kujiharibia. Hao machawa wadogo wadogo hawatakusaidia lolote na matamko yao.
Jiwe alikuwa mkatili na alifanya ukatili mkubwa sana lakini wakubwa hawa walikuwa nae bega kwa bega kumtetea kila mahali kuanzia mitandaoni, kwenye vyombo vya habari, n.k.
Jiulize leo hiii ni wakubwa wangapi wanasimama na wewe kukutetea unaposhambuliwa na kulaumiwa?Hujiulizi ni kwanini?
Hivyo, kwa mtazamo wangu, inawzekana kabisa wanasubiri tu muda ufike waungane kisha wakuhujumu hata kama hawataondoka wote. Unaweza kujikuta huna wabunge wa kutosha na Bunge likatawaliwa na wapinzani wako na huo ndio ukawa mwanzo wa anguko lako kamli hapo baaadae wakishibdwa kukuondoa hiyo 2025.
Nimalizie kwa kusema, akili ya kuambiwa, .........