Pre GE2025 Mtazamo: Wanamtengenezea mazingira ya kuchukiwa na umma ili 2025, kundi kubwa la CCM lijitenge ili wamuangushe kwenye uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sifahamu jinsia yako though unaonekana mwanamke. Unajua kutazama jambo kwa mtindo tofauti yaani unajua kutoka nje ya boksi! Kwa kifupi unatumia udadisi!

Samahani, kwenye mahusiano huwa unatumia hii akili?? Unajua unaweza ukakaa na mtu anajifanya ana akili kumbe anaigiza kuwa na akili!
Ahsante enzo1988 kwa kuliona hilo. Kwenye mauhusiano, na kwingine kote lazima nitumke akili na kutoka nje ya box. Niko hivyo siku zote. Shukrani
 
Huo ni mtazamo wako ni sawa pia. Ila mimi nawewe hatujui kinachoendelea. Naomba kuuliza swali, Tanzania hii nayoijua kikundi tu cha watu kijitokeze, kuteka mtu na silaha nzito, tena barabarani jua linawaka Je inawezekana? Jaribu kufanya hivyo, utuletee mrejesho.

Upande wangu naona ni namna ya kuogopesha watu, kunyamazisha uhuru wa habari tukielekea Uchaguzi mkuu mwakani. Nina amini, baada ya uchaguzi, haya ya kuteka yatapungua kama si kuisha kabisa.
LAKINI LETS BE HONEST KATIKA HILI...

KILA KIONGOZI ANA HAIBA YAKE,TUMLAUM SAMIA KWA MENGINE TUH LAKINI HILO LA KUOGOPESHA WAPINZANI NI KWELI HAIBA HIYO SAMIA ANAYO??

LABDA TUKUBALIANE NA MTOA MADA KUWA KUNA WATU AMBAO WANAFANYA HIVYO KWA LENGO LAO WANALOLIJUA WAO HUKU WAKIAMINI KUWA WANAMCHAFUA PREZOO.

SAMIA ANGEKUWA NI MUOGA NA MTU AMBAE HAPENDI DEMOKRASIA BILA SHAKA ANGEENDELEA PALE AMBAPO MWENDAZAKE ALIISHIIA.
 
Kwa Magufuli ulikemea mauaji na utekaji, ila kwa shangazi yako katika imani ni kila kiongozi ana haiba yake..

Nonsense.
 
Nikitazama mwenendo wa mambo, hii ndio picha ninyoipata kutokana na haya matukio hasa kwa jinai yanavyotekelezwa.

Wanafanya ukatili mbaya na wa kutisha halafu wanaacha nafasi ya watu kushuhudia ukatili uliiofanywa kwenye mwili wa muathirika lengo ni kuamsha chuki na hasira na wanajua lawama zote zirakuwa kwake.

Kwa mfano , jiulize, yule mzee walishindwa kumtengeneza ajali, kumpa sumu, n.k?Kulikuwa na ulazima wa kumteka kwa style ile tena huku kelele za watu kutekwa na kupotezwa zikiwa zimepamba moto?

Unawezaje kuteka, kupoteza na kuua watu kwa kiwango hiki tena kwa mfululizo ndani ya muda mfupi kama sio njama?

Unampiga mtu risasi halafu unaenda kumtupa kwenye mbuga ya wanyama lakini katika eneo ambalo ni rahisi watu kumuona. Je, hii sio makusudi?

Unampiga mtu mpaka kumua halafu usoni unamgwagia tindikali eti asitambulike lakini unaacha sehemu zingine za mwili zenye clue inayoweza kufanya watu(ndugu na jamaa) wamtambue marehemu. Ni kukosa umakini kweli? Hii sio hujuma?

We. endelea kuwaaminii hao watu ila kumbuka walitaka hiyo nafasi usipate sema tu yule Mkuu wa Jeda wa wakati ule ndio alikuokoa. Hatakama umewaka watu wako hizo sehemu nyeti, usidhani ndio uko salama hasa ukizingatia umetoka upande wa pili wa hii nchi na zaid jinsia yako ni tatizo lingine.

Angalia wamekaa kimya, hata mitandaoni hawasemii chochote hawataki kujiharibia. Hao machawa wadogo wadogo hawatakusaidia lolote na matamko yao.

Jiwe alikuwa mkatili na alifanya ukatili mkubwa sana lakini wakubwa hawa walikuwa nae bega kwa bega kumtetea kila mahali kuanzia mitandaoni, kwenye vyombo vya habari, n.k.

Jiulize leo hiii ni wakubwa wangapi wanasimama na wewe kukutetea unaposhambuliwa na kulaumiwa?Hujiulizi ni kwanini?

Hivyo, kwa mtazamo wangu, inawzekana kabisa wanasubiri tu muda ufike waungane kisha wakuhujumu hata kama hawataondoka wote. Unaweza kujikuta huna wabunge wa kutosha na Bunge likatawaliwa na wapinzani wako na huo ndio ukawa mwanzo wa anguko lako kamli hapo baaadae wakishibdwa kukuondoa hiyo 2025.

Nimalizie kwa kusema, akili ya kuambiwa, .........
Hatari kwelikweli!
 
LAKINI LETS BE HONEST KATIKA HILI...

KILA KIONGOZI ANA HAIBA YAKE,TUMLAUM SAMIA KWA MENGINE TUH LAKINI HILO LA KUOGOPESHA WAPINZANI NI KWELI HAIBA HIYO SAMIA ANAYO??

LABDA TUKUBALIANE NA MTOA MADA KUWA KUNA WATU AMBAO WANAFANYA HIVYO KWA LENGO LAO WANALOLIJUA WAO HUKU WAKIAMINI KUWA WANAMCHAFUA PREZOO.

SAMIA ANGEKUWA NI MUOGA NA MTU AMBAE HAPENDI DEMOKRASIA BILA SHAKA ANGEENDELEA PALE AMBAPO MWENDAZAKE ALIISHIIA.
Kama mnawajua hao watu, wanaomzunguka na wanaua watu muwataje Mkuu. Mimi naijua hii TZ bana kama kuna watu wana njama tofauti sasa hivi baadhi wangekuwa wameshakamatwa.

Tz imeitwa kisiwa cha amani si kwa lelemama ni watu hawalali usiku na mchana kuilinda hiyo amani. Sasa kama hakuna baraka toka juu, tunataka wakomeshe huu ukatili wa kinyama, na wakamatwe wakutane na pilato.
 
Nikitazama mwenendo wa mambo, hii ndio picha ninyoipata kutokana na haya matukio hasa kwa jinai yanavyotekelezwa.

Wanafanya ukatili mbaya na wa kutisha halafu wanaacha nafasi ya watu kushuhudia ukatili uliiofanywa kwenye mwili wa muathirika lengo ni kuamsha chuki na hasira na wanajua lawama zote zirakuwa kwake.

Kwa mfano , jiulize, yule mzee walishindwa kumtengeneza ajali, kumpa sumu, n.k?Kulikuwa na ulazima wa kumteka kwa style ile tena huku kelele za watu kutekwa na kupotezwa zikiwa zimepamba moto?

Unawezaje kuteka, kupoteza na kuua watu kwa kiwango hiki tena kwa mfululizo ndani ya muda mfupi kama sio njama?

Unampiga mtu risasi halafu unaenda kumtupa kwenye mbuga ya wanyama lakini katika eneo ambalo ni rahisi watu kumuona. Je, hii sio makusudi?

Unampiga mtu mpaka kumua halafu usoni unamgwagia tindikali eti asitambulike lakini unaacha sehemu zingine za mwili zenye clue inayoweza kufanya watu(ndugu na jamaa) wamtambue marehemu. Ni kukosa umakini kweli? Hii sio hujuma?

We. endelea kuwaaminii hao watu ila kumbuka walitaka hiyo nafasi usipate sema tu yule Mkuu wa Jeda wa wakati ule ndio alikuokoa. Hatakama umewaka watu wako hizo sehemu nyeti, usidhani ndio uko salama hasa ukizingatia umetoka upande wa pili wa hii nchi na zaid jinsia yako ni tatizo lingine.

Angalia wamekaa kimya, hata mitandaoni hawasemii chochote hawataki kujiharibia. Hao machawa wadogo wadogo hawatakusaidia lolote na matamko yao.

Jiwe alikuwa mkatili na alifanya ukatili mkubwa sana lakini wakubwa hawa walikuwa nae bega kwa bega kumtetea kila mahali kuanzia mitandaoni, kwenye vyombo vya habari, n.k.

Jiulize leo hiii ni wakubwa wangapi wanasimama na wewe kukutetea unaposhambuliwa na kulaumiwa?Hujiulizi ni kwanini?

Hivyo, kwa mtazamo wangu, inawzekana kabisa wanasubiri tu muda ufike waungane kisha wakuhujumu hata kama hawataondoka wote. Unaweza kujikuta huna wabunge wa kutosha na Bunge likatawaliwa na wapinzani wako na huo ndio ukawa mwanzo wa anguko lako kamli hapo baaadae wakishibdwa kukuondoa hiyo 2025.

Nimalizie kwa kusema, akili ya kuambiwa, .........
nahisi njaa vip salary slip ya mwezi wa 9 bado?
 
Nyinyi wabongo hamna akili na muna double standard, wakat wa late Jpm muli mshambulia direct without hesitation ila huyu mama enu mnadai ana hujumiwa na a lot of excuses.

Kwa akili za namna hii ni kweli tunaweza pata Taifa lenye kujitambua? Huu ni unafiki na kwa akili hizi acha muuliwe wote mpakq mtakapojua tatizo lipo wapi.
 
UPo sahihi huyu mama anazungukwa na wana ccm wenzake yy aunde taasisi itayokuwa juu ya police na Takukuru.
 
Nikitazama mwenendo wa mambo, hii ndio picha ninyoipata kutokana na haya matukio hasa kwa jinai yanavyotekelezwa.

Wanafanya ukatili mbaya na wa kutisha halafu wanaacha nafasi ya watu kushuhudia ukatili uliiofanywa kwenye mwili wa muathirika lengo ni kuamsha chuki na hasira na wanajua lawama zote zirakuwa kwake.

Kwa mfano , jiulize, yule mzee walishindwa kumtengeneza ajali, kumpa sumu, n.k?Kulikuwa na ulazima wa kumteka kwa style ile tena huku kelele za watu kutekwa na kupotezwa zikiwa zimepamba moto?

Unawezaje kuteka, kupoteza na kuua watu kwa kiwango hiki tena kwa mfululizo ndani ya muda mfupi kama sio njama?

Unampiga mtu risasi halafu unaenda kumtupa kwenye mbuga ya wanyama lakini katika eneo ambalo ni rahisi watu kumuona. Je, hii sio makusudi?

Unampiga mtu mpaka kumua halafu usoni unamgwagia tindikali eti asitambulike lakini unaacha sehemu zingine za mwili zenye clue inayoweza kufanya watu(ndugu na jamaa) wamtambue marehemu. Ni kukosa umakini kweli? Hii sio hujuma?

We. endelea kuwaaminii hao watu ila kumbuka walitaka hiyo nafasi usipate sema tu yule Mkuu wa Jeda wa wakati ule ndio alikuokoa. Hatakama umewaka watu wako hizo sehemu nyeti, usidhani ndio uko salama hasa ukizingatia umetoka upande wa pili wa hii nchi na zaid jinsia yako ni tatizo lingine.

Angalia wamekaa kimya, hata mitandaoni hawasemii chochote hawataki kujiharibia. Hao machawa wadogo wadogo hawatakusaidia lolote na matamko yao.

Jiwe alikuwa mkatili na alifanya ukatili mkubwa sana lakini wakubwa hawa walikuwa nae bega kwa bega kumtetea kila mahali kuanzia mitandaoni, kwenye vyombo vya habari, n.k.

Jiulize leo hiii ni wakubwa wangapi wanasimama na wewe kukutetea unaposhambuliwa na kulaumiwa?Hujiulizi ni kwanini?

Hivyo, kwa mtazamo wangu, inawzekana kabisa wanasubiri tu muda ufike waungane kisha wakuhujumu hata kama hawataondoka wote. Unaweza kujikuta huna wabunge wa kutosha na Bunge likatawaliwa na wapinzani wako na huo ndio ukawa mwanzo wa anguko lako kamli hapo baaadae wakishibdwa kukuondoa hiyo 2025.

Nimalizie kwa kusema, akili ya kuambiwa, .........
20240910_122533.jpg
 
🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Mtazamao hasi kweli kweli
 
Huo ni mtazamo wako ni sawa pia. Ila mimi nawewe hatujui kinachoendelea. Naomba kuuliza swali, Tanzania hii nayoijua kikundi tu cha watu kijitokeze, kuteka mtu na silaha nzito, tena barabarani jua linawaka Je inawezekana? Jaribu kufanya hivyo, utuletee mrejesho.

Upande wangu naona ni namna ya kuogopesha watu, kunyamazisha uhuru wa habari tukielekea Uchaguzi mkuu mwakani. Nina amini, baada ya uchaguzi, haya ya kuteka yatapungua kama si kuisha kabisa.
Nchi zote kule uarabuni Style ya kutawala ni moja tu.

Kila anayeinua kichwa au kufungua Mdomo anapigwa Shaba.

Ukinyanyua tu kichwa unafumuliwa ubongo hapo hapo.

Mwanzoni wananchi walipinga sana mfumo huo. Watawala wakakaza kamba yaani ukihema tu Kichwa na kiwili wili vinatengana.

Wanaharakati wakaibuka na wapenzi wa Uhai wakapiga kelele nao wakapigwa majambia.

Ikafika mahali sasa watetezi wa haki za binadamu wakashtuka, wakasema sasa tutaisha sote.

At the End Middle East Raia wote ni kama kondoo au Kono kono tu.

Huenda hii style ndio inaweza kuwa Adopted and ofcourse ndio njia pakee iliyofanikiwa in all dictotorship countries.
 
Kwa mfano , jiulize, yule mzee walishindwa kumtengeneza ajali, kumpa sumu, n.k?Kulikuwa na ulazima wa kumteka kwa style ile tena huku kelele za watu kutekwa na kupotezwa zikiwa zimepamba moto?
Wewe unadhani hao watu wanajiamini kiasi gani kumteka mtu mchana kweupe ndani ya Jiji la Dar es salaam?
Tukio hilo linatofauti gani na la Lissu pigwa Risasi?
 
Wahafidhina ndani ya CCM na Serikali tangu awali kabisa hawakutaka akalie hicho kigoda, baada ya kushindwa katika kuzuia sasa wamekuja na mkakati mpya wa kumtengenezea ajali ya kisiasa ili litimie lile neno kuwa mgombea wa 2025 ni yeye labda hapa katikati mambo yaharibike sana. Na uzuri ni kuwa hata yeye mwenyewe anafahamu kuwa wabaya wake anao huko huko kwani wakati fulani alisema kuna mstaafu mmoja alimtonya kuwa wabaya wako ni wavaa kijani wenzako,sasa la kujiuliza jee anashindwa kujinasua na hii mitego anayotegewa?
Ukweli ni kwamba, na yeye mwenye ni dhaifu tena sio kidogo. Mambo mengine angeweza kabisa kuyakataa ila anashindwa kupima mambo kwa usahihi na kufanya maamuzi sahihi.
 
Back
Top Bottom