Pre GE2025 Mtazamo: Wanamtengenezea mazingira ya kuchukiwa na umma ili 2025, kundi kubwa la CCM lijitenge ili wamuangushe kwenye uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ahsante enzo1988 kwa kuliona hilo. Kwenye mauhusiano, na kwingine kote lazima nitumke akili na kutoka nje ya box. Niko hivyo siku zote. Shukrani
 
LAKINI LETS BE HONEST KATIKA HILI...

KILA KIONGOZI ANA HAIBA YAKE,TUMLAUM SAMIA KWA MENGINE TUH LAKINI HILO LA KUOGOPESHA WAPINZANI NI KWELI HAIBA HIYO SAMIA ANAYO??

LABDA TUKUBALIANE NA MTOA MADA KUWA KUNA WATU AMBAO WANAFANYA HIVYO KWA LENGO LAO WANALOLIJUA WAO HUKU WAKIAMINI KUWA WANAMCHAFUA PREZOO.

SAMIA ANGEKUWA NI MUOGA NA MTU AMBAE HAPENDI DEMOKRASIA BILA SHAKA ANGEENDELEA PALE AMBAPO MWENDAZAKE ALIISHIIA.
 
Kwa Magufuli ulikemea mauaji na utekaji, ila kwa shangazi yako katika imani ni kila kiongozi ana haiba yake..

Nonsense.
 
Hatari kwelikweli!
 
Kama mnawajua hao watu, wanaomzunguka na wanaua watu muwataje Mkuu. Mimi naijua hii TZ bana kama kuna watu wana njama tofauti sasa hivi baadhi wangekuwa wameshakamatwa.

Tz imeitwa kisiwa cha amani si kwa lelemama ni watu hawalali usiku na mchana kuilinda hiyo amani. Sasa kama hakuna baraka toka juu, tunataka wakomeshe huu ukatili wa kinyama, na wakamatwe wakutane na pilato.
 
nahisi njaa vip salary slip ya mwezi wa 9 bado?
 
Nyinyi wabongo hamna akili na muna double standard, wakat wa late Jpm muli mshambulia direct without hesitation ila huyu mama enu mnadai ana hujumiwa na a lot of excuses.

Kwa akili za namna hii ni kweli tunaweza pata Taifa lenye kujitambua? Huu ni unafiki na kwa akili hizi acha muuliwe wote mpakq mtakapojua tatizo lipo wapi.
 
UPo sahihi huyu mama anazungukwa na wana ccm wenzake yy aunde taasisi itayokuwa juu ya police na Takukuru.
 
 

🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Mtazamao hasi kweli kweli
 
Nchi zote kule uarabuni Style ya kutawala ni moja tu.

Kila anayeinua kichwa au kufungua Mdomo anapigwa Shaba.

Ukinyanyua tu kichwa unafumuliwa ubongo hapo hapo.

Mwanzoni wananchi walipinga sana mfumo huo. Watawala wakakaza kamba yaani ukihema tu Kichwa na kiwili wili vinatengana.

Wanaharakati wakaibuka na wapenzi wa Uhai wakapiga kelele nao wakapigwa majambia.

Ikafika mahali sasa watetezi wa haki za binadamu wakashtuka, wakasema sasa tutaisha sote.

At the End Middle East Raia wote ni kama kondoo au Kono kono tu.

Huenda hii style ndio inaweza kuwa Adopted and ofcourse ndio njia pakee iliyofanikiwa in all dictotorship countries.
 
Kwa mfano , jiulize, yule mzee walishindwa kumtengeneza ajali, kumpa sumu, n.k?Kulikuwa na ulazima wa kumteka kwa style ile tena huku kelele za watu kutekwa na kupotezwa zikiwa zimepamba moto?
Wewe unadhani hao watu wanajiamini kiasi gani kumteka mtu mchana kweupe ndani ya Jiji la Dar es salaam?
Tukio hilo linatofauti gani na la Lissu pigwa Risasi?
 
Ukweli ni kwamba, na yeye mwenye ni dhaifu tena sio kidogo. Mambo mengine angeweza kabisa kuyakataa ila anashindwa kupima mambo kwa usahihi na kufanya maamuzi sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…