Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Soma vitabu vya diniHayo mamlaka ulipewa lini mkuu na Mungu yupi na mbinguni ni wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vitabu vya diniHayo mamlaka ulipewa lini mkuu na Mungu yupi na mbinguni ni wapi?
Mwanamke anayetakiwa kuongozwa na mwanaume ni yule mwenye utii kwa mumewe......na utii unabebwa na mapenzi.....ni rahisi mwanamke kukutii ikiwa ana mapenzi na wewe......ndio maana tunaambiwa tuoe wanawake wenye mapenziSoma vitabu vya dini
Nimesoma inathibitisha vipi ni ukweli ulipewa na sio watu waliandika tu , kama ilivyo vitabu vingine vya hadithi tu🤔Soma vitabu vya dini
Asante kwa ukumbusho ndugu....haya mambo huwa yanamezwa na mahaba feki....Upendo wa mwanamke ni wa GHARAMA KUBWA sana, kila ke yupo kwenye mahusiano kimaslahi zaidi, hata kama hakuonyeshi moja kwa moja. hivyo ni kuwa nao kwa HE$ABU kali sana, vinginevyo utalia na kusaga meno.
Pamoja unaona inapromote uhuni lakin wapo wanaoamini ndoa mmoja wapo ni kama wewe, kuishi kihuni si lazima uwe bila ndoa mkuu.Waacheni sasa wametosha imekuwa ni wanawake wanawake tu na mods wanachekelea hawajui kuwa hz threads ndio zinaharibu jamii,ukiwa jf itakufanya uogope wanawake
Jf inapromote watu kuishi kihuni bila ndoa
😂 basi mkuu tutabisha mpaka pakuche umeshindaNimesoma inathibitisha vipi ni ukweli ulipewa na sio watu waliandika tu , kama ilivyo vitabu vingine vya hadithi tu🤔
Kumbe mke wake ndo alianza kuchepuka ndo jamaa akaamua kulipizaTujiangalie na sisi Wanaumme! Je,tuko waaminifu katika ndoa zetu na wake zetu au mahusiano yetu na hawala zetu ?
Huenda chanzo cha hayo yote ni sisi Wanaumme!
Just imagine skandali ya Baltazar huko Eq.Gin!
Wanawake 400 huku ana mke!
Sitafuti kushinda , wewe umeanza kunieleza mimi nimehoji tu uhakika wake , ila potezea tu😂😂 basi mkuu tutabisha mpaka pakuche umeshinda
😀Sitafuti kushinda , wewe umeanza kunieleza mimi nimehoji tu uhakika wake , ila potezea tu😂
Mwanamke anayetakiwa kuongozwa na mwanaume ni yule mwenye utii kwa mumewe......na utii unabebwa na mapenzi.....ni rahisi mwanamke kukutii ikiwa ana mapenzi na wewe......ndio maana tunaambiwa tuoe wanawake wenye mapenzi
OHabari za muda huu waungwana....
Mapenzi ni maisha na mapenzi ni sehemu kubwa ya maisha....ni vigumu kuyaweka kando mapenzi kwani hata ukifanya hivyo moyo utakuamulia.....hivyo basi hatuwezi kuyacha kuyajadili kwa mazuri na mabaya yake.......
Nyakati za hivi karibuni kumeshamiri wimbi la hali ya uongo, usaliti, wizi, na ukatili kwenye ndoa.....wingi wa visa hivyo kumepelekea taasisi ya ndoa kupoteza maana...mpaka mtu ukiamua kuoa watu wanakushangaa na kukuonea huruma kana kwamba unafanya jambo la kishetani.......
Hasa nikiangazia upande wa wanawake walio kwenye ndoa....unakutana na matukio ya usaliti wa kupindukia, unakutana na matukio ya wanawake kuwaibia waume zao au kufanya mambo yao kwa siri pasi na mume kujua......kuamua kuachana na mumewe pindi tu anapopata uwezo wa kiuchumi na kuweza kujitegemea........
Vipo vilio vya wanaume wengi waliojaribu kwa namna moja au nyingine kuwainua wanawake zao kiuchumi kwa nia njema kabisa lakini matokeo yake yamekuwa machungu......
Wingi wa mtiririko wa matukio haya ya wanawake.....kukithiri kwa vilio hivi kwa wanaume.....kuongezeka kwa taraka na kukimbiana baada ya mke kujiona kuwa anaweza kujimudu yote inadhihirisha ukweli kuwa wanawake walio wengi wapo kwenye ndoa au mahusiano kwa sababu za kiuchumi zaidi kuliko mapenzi......
Kuna uwezekano mkubwa huyo unayemuita mkeo au mpenzi wako yupo na wewe kwa kuwa kwa muda huu ni wewe pekee unayeweza kusimamia vyema matatizo yake ya kiuchumi......nguzo ya upendo haipo moyoni mwake.....
Hatukatai kwamba mwanaume lazima utoe huduma kwa mkeo lakini kwanza yatangulie mapenzi kwani kwenye maisha kuna nyakati nyingi hasa si uungwana kuwa na mtu ndoani kwa sababu fulani kwani inawezekana sababu hiyo siku moja ikaondoka........
Ingawa hali ni ngumu na ni vigumu kutambua maana waigizaji ni wengi sana wanapoona kuwa kuna uwezekano wa kupata chochote kitu kwenye muunganiko huo tusijisahau wanaume wenzangu.......lazima ufanye jitihada za kumjua mwenzako ni mtu wa namna gani ili ujiandae kisaikolojia kukabiliana na unalolijua.......
Word is enough for the wise....
Asante muungwana.....bila shaka wenye macho wanayaona isipokuwa wameacha mioyo iwaangazieNdoa ndio chambo kwanmwanamke tangu zamani.
Wengine walioana hata hawajuani
Isaka alimuoa rebecca bila kumfahamu na ilinoga
Wanaume ni madada dada sana sikuizi.
Hakuna kauli wala misimamo,unaruhusu mambo mengi mkeo afanye,
Afya mbovu,,,
Mke anakushinda kila sehemu.
Unakuwa mpole,,,
Kwishaaaa
O
Nikuulize swali mkuu mm mpenz alikua hajui kazi yangu siku nilimpoleka ndio siku tulipoachanaMwanamke anayeingia kwenye ndoa kwa Sababu za kiuchumi maana yake ni kuwa huyo ni mpita njia iko siku sababu hiyo ikaondoka atakuacha either kwa kupata kazi au biashara inayoweza kumuendeshea maisha yake......
Naomba uliweke vizuri swali lako muungwana......Nikuulize swali mkuu mm mpenz alikua hajui kazi yangu siku nilimpoleka ndio siku tulipoachana
Naunga mkono hojaHabari za muda huu waungwana....
Mapenzi ni maisha na mapenzi ni sehemu kubwa ya maisha....ni vigumu kuyaweka kando mapenzi kwani hata ukifanya hivyo moyo utakuamulia.....hivyo basi hatuwezi kuyacha kuyajadili kwa mazuri na mabaya yake.......
Nyakati za hivi karibuni kumeshamiri wimbi la hali ya uongo, usaliti, wizi, na ukatili kwenye ndoa.....wingi wa visa hivyo kumepelekea taasisi ya ndoa kupoteza maana...mpaka mtu ukiamua kuoa watu wanakushangaa na kukuonea huruma kana kwamba unafanya jambo la kishetani.......
Hasa nikiangazia upande wa wanawake walio kwenye ndoa....unakutana na matukio ya usaliti wa kupindukia, unakutana na matukio ya wanawake kuwaibia waume zao au kufanya mambo yao kwa siri pasi na mume kujua......kuamua kuachana na mumewe pindi tu anapopata uwezo wa kiuchumi na kuweza kujitegemea........
Vipo vilio vya wanaume wengi waliojaribu kwa namna moja au nyingine kuwainua wanawake zao kiuchumi kwa nia njema kabisa lakini matokeo yake yamekuwa machungu......
Wingi wa mtiririko wa matukio haya ya wanawake.....kukithiri kwa vilio hivi kwa wanaume.....kuongezeka kwa taraka na kukimbiana baada ya mke kujiona kuwa anaweza kujimudu yote inadhihirisha ukweli kuwa wanawake walio wengi wapo kwenye ndoa au mahusiano kwa sababu za kiuchumi zaidi kuliko mapenzi......
Kuna uwezekano mkubwa huyo unayemuita mkeo au mpenzi wako yupo na wewe kwa kuwa kwa muda huu ni wewe pekee unayeweza kusimamia vyema matatizo yake ya kiuchumi......nguzo ya upendo haipo moyoni mwake.....
Hatukatai kwamba mwanaume lazima utoe huduma kwa mkeo lakini kwanza yatangulie mapenzi kwani kwenye maisha kuna nyakati nyingi hasa si uungwana kuwa na mtu ndoani kwa sababu fulani kwani inawezekana sababu hiyo siku moja ikaondoka........
Ingawa hali ni ngumu na ni vigumu kutambua maana waigizaji ni wengi sana wanapoona kuwa kuna uwezekano wa kupata chochote kitu kwenye muunganiko huo tusijisahau wanaume wenzangu.......lazima ufanye jitihada za kumjua mwenzako ni mtu wa namna gani ili ujiandae kisaikolojia kukabiliana na unalolijua.......
Word is enough for the wise....
😀😀😀😀😀😀MIshangazi isihusishwe na hii mada, tafadhali