Mtazamo wangu juu ya kauli ya Rais Samia "Tusilazimishe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kufanya mengine"

Mtazamo wangu juu ya kauli ya Rais Samia "Tusilazimishe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kufanya mengine"

Chura kiziwi kafanya upumbavu mwingi sana mpaka tegemeo la mwisho la wananchi JWTZ wamemshitukia wameona kabisa hapa hakuna rais bali tuna kibaka,simple way kwake ni kujaribu kuwa please wazee wa kazi maana yeye na vibaka wenzake wa chama na serikali wameshavuka RED LINE

 
Huyu mtu kwa kweli amechanganyikiwa hajui hata aongee nini kwenye hadhira yake
 
Back
Top Bottom