Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Mkuu unaelewa unachokizungumza kweli?Mkuu saivi wanaunganisha unatumia TIN moja tu kwa kila shughuli zako, iwe Biashara, driving licence n.k
Suala la kampuni ni hatua ndefu, nazungumzia biashara za maduka, hadrware, bar nyingi zinatumia TIN ya mwenyemali na siyo kampuniMkuu unaelewa unachokizungumza kweli ?
Ukifungua kampuni lazima iwe na tin number Yake na sio tin namba yako. Unless uwe unafanya biashara kwa Kutumia Bussiness name ambayo Deni la biashara huwa linajumlishwa na muhusika mwenye biashara..
Mkuu ukifunga biashara kinyemela kama hujatoa taarifa TRA wao wataendelea kuhesabu kama kawaida.Suala la kampuni ni hatua ndefu, nazungumzia biashara za maduka, hadrware, Bar nyingi zinatumia TIN ya mwenyemali na siyo kampuni
Huko kwa mabeberu mtindo ndio huo. Mtazoea tu kama ambavyo mengi yalikuja tukazoeaaache mambo ya ajabu kama hana hela ya kuendeshe nchi awaombe msamaha wazungu aliowaita ni mabeberu
Bora hata saivi wanaweza kukumbusha kwa sms zamani hawakusemeshi unastukia tu hawa hapa na jumla ya kodi unayodaiwaIliwahi kunitokea hii kipindi fulani, nilifunga biashara ya ya kama miaka 2 nikakutata nadaiwa million kadhaa TRA
Endelea kucheza kamari mbona huu ni mwanzo tuMbona kama naanza kuamin amin udikteta kwa mbali
Na saivi wanaweza kuzuia hata acount yako ya bank kama ina mpunga ili wachukue chaoHapa kuna watu wengi sana watalia maana jamaa ataforce walipe hata kama 1/3 ndio imebaki
mzee hivo vitu ni two in oneNon Bussiness Tin Number inahusiana vipi Na Bussiness tin number ?
Hujui kuwa Tin namba ya biashara (kampuni )na tin number yako binafsi ni vitu viwili tofauti.
nisawa kama ni internetcafe sababu nayeye analipa kodi ila kama ni ofisi ya TRA waache uhuni sababu ni bureKuna mahali TIN inachajiwa 5000
Ndo tumeanza acha ipite 10 yake tuseme uelekeoWanakamua lakini unaona kabisa zinapoelekea.
But wao wako very transparent na matumizi ya kodi za wananchi wao mwanzo mwisho....Hata hao mabeberu wanakamua wananchi wao kodi za kutosha tu......tunataka tuwe kama ulaya mwanzo ndo huu ........
Kwenye hili sakata wale ambao walikuwa na TIN No ya biashara wameambiwa wapeleke hizo hizo, na TRA wanadai mtu mmoja hawezi kuwa na TIN No mbili...Non Bussiness Tin Number inahusiana vipi Na Bussiness tin number ?
Hujui kuwa Tin namba ya biashara (kampuni )na tin number yako binafsi ni vitu viwili tofauti.
Ndiyo Ukweli WenyeweAwamu ya kwenda na gia ndogo na k uacha rafu
Nani kaluambia mabeberu ndiyo kila kitu?una akili ya kitumwa sana. Km unaona mabeberu ndiyo pumzi yako wafate TL na GLaache mambo ya ajabu kama hana hela ya kuendeshe nchi awaombe msamaha wazungu aliowaita ni mabeberu
Km una biashara kodi unayolipa inatozwa kwenye faida na siyo mtaji. Km biashara ilikufa kwakua hukutengeneza faida sheria inatambua kua huaswi kulipa Kodi Na km biashara bado ipo hai lkn hietengenezi faida napo pia kisheria hupaswi kulipa kodi. Unaposema wanafatilia km zamani uliwahi kua na biashara ili wakutoze kodi sioni uhalali wao wa kufanya hivyo.Waliofunga biashara kama hawakutoa taarifa kwa maandishi itawacost sana