Mi niliwapa barua, asee, watanizingua?Mkuu ukifunga biashara kinyemela kama hujatoa taarifa tra wao wataendelea kuhesabu Kama kawaida.
By the way Hilo unalofikiria ni Fear of unknown haiwezi kutokea.
Kama uliwajulisha upo salama mamaa usihofu tunza documents zako in case wakijisahaulishaMkuu mi nilifunga business but niliwajulisha kwa barua, hapo Kuna ishu tena kwangu?
Uchadema unatoka wapi hapa??Mnataka mjifichefiche ili iweje? Acha serikali iwajue, mnalilia utawala wa sheria wakati huohuo hamtaki kufata sheria! Chadema hovyo kabisa!
Sawa mkuu asante, maana presha ilipanda[emoji848][emoji1751]Kama uliwajulisha upo salama mamaa usihofu tunza documents zako in case wakijisahaulisha
Nini kilipelekea mpk ukafunga mkuu?Mkuu mi nilifunga business but niliwajulisha kwa barua, hapo Kuna ishu tena kwangu?
Kwa jinsi mifumo ya serikali ilivyo ya hovyo, hakuna namna unaweza kukwepa kuingizwa kwenye madeni hayo, mimi ilinitokea hivi karibuni, nilinunua gari kwa mtu wakati ambapo serikali walikuwa wamefuta Road License fee, nilipokwenda Tra kubadirisha Umiliki wa gari hilo nikaambiwa hii kadi inadaiwa Load license na hawawezi kupokea malipo mengine mpaka lile deni liwe cleared, nililazimika kulipa bila kupenda, lakini pia matatizo haya yapo hata kule kodi ya ardhi, ilionekana nadaiwa miaka mingi, nisinge kuwa na risiti za nyuma ingekuwa shida sana,Mkuu mi nilifunga business but niliwajulisha kwa barua, hapo Kuna ishu tena kwangu?
Tunza hiyo Barua uko salama. Tena kaitoe na copy kabisa uwe salama zaidi. Zingine ni mbwembwe tu.Mi niliwapa barua, asee, watanizingua?
Iko hivi mkuu...Nini kilipelekea mpk ukafunga mkuu?
Daah thank u so muchTunza hiyo Barua uko salama. Tena kaitoe na copy kabisa uwe salama zaidi. Zingine ni mbwembwe tu.
Duuh pole sana kwa changamoto, ila pia hongera kwa uthubutu wa kujikwamua kiuchumiIko hivi mkuu...
Nilifungua kabusiness hapo muhonda kariakoo, hee nikaenda kupiga nao tozo wakanikamua ipasavyo, nilivyoona nilichotoa sio nilichopata nikafunga na nikawajulisha kwa barua!
Pale tra ukifika ofisini kwao wakianza kukudiria kodi mama unaweza kutapika full kichefuchefu
TIN ni moja tu haijawahi kuwa zaidi ya hapo. Kama sio ya baiashara ukitaka kufanya biashara unaibadilisha matumizi.Non Bussiness Tin Number inahusiana vipi Na Bussiness tin number ?
Hujui kuwa Tin namba ya biashara (kampuni )na tin number yako binafsi ni vitu viwili tofauti.
Mawazo ya kimaskini kabisa haya, yaani wewe unajifanya una nchi hapa sio ??, ungejua jinsi hao viongozi wenu wanavyoishi kama wako peponi usingesema huu upuuzi wako, hao viongozi pamoja na malipo makubwa wanayopewa, (mbunge kwa mfano 12million Tshs/mwezi) na bado analipiwa hela ya mafuta ya gari lake analipiwa marupurupu kibao na bado anapewa mkopo wa kununua gari ambalo akimaliza ubunge linakuwa la kwake na hawalipi kodi, akimaliza tu muda wake wa ubunge analipwa mafao yake hapo hapo, wakati mwalimu anaambiwa asubiri mpaka afikishe miaka 60 ndio apewe mafao yake tena kwa kusimangwaVyovyote vile itakavyo kua, kwa hatus hizi ambazo serikali inachukua, nadhani thamani na heshima ya pesa itaonekana sasa. Watu watakua wanafanya maamuzi sahihi na yenye tija kwenye matumizi ya pesa kwa sababu upatikanaji wake utakua mgumu na hata ukiwa rahisi bado utakamuliwa tu kwa ajili ya maendeleo ya nchi.
Sijui hata unaelewa ulichoandika au nilichoandika.TIN ni moja tu haijawahi kuwa zaidi ya hapo. Kama sio ya baiashara ukitaka kufanya biashara unaibadilisha matumizi.
Wewe jamaa unapotosha, mimi nilipata Tin wakati nachukua leseni ya gari, nilipoanza biashara nikaambiwa nilete Tin, siku nyingine naenda kulipa mapato nikaambiwa inaonekana una biashara nyingine, yaani kuna biashara ya duka la madawa ilionekana kwenye Tin yangu, nikawaambia mimi sina duka la madawa, wakaiondoa, kwa hiyo biashara zote wanaziingiza kwenye Tin moja, na sasa ndio wanataka kuingiza na PAYESijui hata unaelewa ulichoandika au nilichoandika.
Nimesema kampuni Ina Tin number Yake na mtu binafsi ana tin namba yake. Nyie mnaotumia tin namba zenu kuwa za Kampuni ni wale mnaofanya biashara chini ya bussiness name ambapo kisheria madeni ya biashara yako ni huunganishwa na mmiliki. Tofauti na kwenye kampuni madeni Ni ya kampuni.
Kipi hakieleweki hapo.
Mbona kama naanza kuamin amin udikteta kwa mbali.
Wewe ndio ulikua huelewi unachokisema mpaka mtu mmoja hapo naona amekuelemisha. Kujifanya ujuaji kwenye hakuna. Mada inazungumzia TIN na waajiriwa. Wewe uje uweke mambo ya kampuni sijui TIN ya kampuni.Sijui hata unaelewa ulichoandika au nilichoandika.
Nimesema kampuni Ina Tin number Yake na mtu binafsi ana tin namba yake. Nyie mnaotumia tin namba zenu kuwa za Kampuni ni wale mnaofanya biashara chini ya bussiness name ambapo kisheria madeni ya biashara yako ni huunganishwa na mmiliki. Tofauti na kwenye kampuni madeni Ni ya kampuni.
Kipi hakieleweki hapo.
TIN ya mtu binafsi inakuaje ya kampuni. Hujui unachoongea halafu mbishi sana.Sijui hata unaelewa ulichoandika au nilichoandika.
Nimesema kampuni Ina Tin number Yake na mtu binafsi ana tin namba yake. Nyie mnaotumia tin namba zenu kuwa za Kampuni ni wale mnaofanya biashara chini ya bussiness name ambapo kisheria madeni ya biashara yako ni huunganishwa na mmiliki. Tofauti na kwenye kampuni madeni Ni ya kampuni.
Kipi hakieleweki hapo.