Mtazamo wangu juu ya ujio wa TIN kwa Waajiriwa

Pumbav huna unalojua ng'ombe wewe
 
Road licence sidhani... kama ulifanya biashara na ulikadiriwa na hukuwataarifu washirika wako katika kodi hapo ndo kunaweza kuwa na tatizo.
 
TIN ya mtu binafsi inakuaje ya kampuni. Hujui unachoongea halafu mbishi sana.
Business enterprise, partnership whatever haiwezi kuwa kampuni.
Kajingio wewe nimeona napoteza muda na tabulasa. Ndio maana TRA wanapiga
 
Tupe ufafanuzi maana wewe ni msemaji wa serikali
 
Huyo jamaa ni DAS wa wilaya flan
 
Duuh niko home now napekenyua makabrasha hatimae nimeiona iko " attached na copy ya tin[emoji848]

Sasa hapo kwa job inabidi niwe na mpya?
Peleka hiyo hiyo kama ulishaisajili kwa alama za vidole, kama bado nenda TRA ukaisajili
 
Peleka hiyo hiyo kama ulishaisajili kwa alama za vidole, kama bado nenda TRA ukaisajili
Mkuu thank u so much, hapo kama nimeisajili kwa vidole nimesahau[emoji848]

Ajabu TRA tuko wote jengo moja but sijisikii kutia mguu hapo uuugh!
 
Mkuu thank u so much, hapo kama nimeisajili kwa vidole nimesahau[emoji848]

Ajabu TRA tuko wote jengo moja but sijisikii kutia mguu hapo uuugh!
Peleka hiyohiyo kwa Mwajiri mambo mengine baadae
 
Non Bussiness Tin Number inahusiana vipi Na Bussiness tin number ?

Hujui kuwa Tin namba ya biashara (kampuni )na tin number yako binafsi ni vitu viwili tofauti.
Vipi kuhusu usajili was TIN kuhusishwa na NIDA namba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…