mbona unasema Ukweli aise 🐒Kwa hii game Young anaenda kushinda kwa asilimia 100% na belouizdada anakuwa anakuja kufungwa lkn anakuja kupunguza idadi ya magoli. Kwasababu anakuwa pia ilikusonga mbele atua ya robo fainali magoli pia yataamu so watacheza kwakujilinda zaidi kupunguza idadi ya magoli na kushambulia kwa kushitukiza.Lkn awa jamaa wanajuwa sana kukaba.
All the Best CRBKila lakheri kwa Yanga.
Huko kushambulia Kwa Kasi bika malengo kama kondoo waliokosa mchungaji ndio kuliwafanya mchezee kichapo Cha 3-0 katika mechi yenu ya kwanza na hao CRB,PatheticKwa hii game Young anaenda kushinda kwa asilimia 100% na belouizdada anajua anakuja kufungwa lkn anakuja kupunguza idadi ya magoli.
Kwasababu anajua pia ili kusonga mbele atua ya robo fainali magoli yanaweza kuamua so watacheza kwakujilinda zaidi kupunguza idadi ya magoli na kushambulia kwa kushitukiza ili walazimishe sare lakini Yanga itashambulia kwa kasi mwazo mwisho ili ishinde mchezo maana wasiposhinda awaendi robo fainali.
Ila hawa jamaa wanajuwa sana kukaba!
Sema tena kwa sautiHuko kushambulia Kwa Kasi bika malengo kama kondoo waliokosa mchungaji ndio kuliwafanya mchezee kichapo Cha 3-0 katika mechi yenu ya kwanza na hao CRB,Pathetic
Vipi kulikua na penalty ngapi chambuzi?kwa aina ya mechi kwa timu za namna hii Yanga Vs Crb,na aina ya beki za Yanga kama Mwamnyeto na winger za Crb zilivyo, nategemea leo kuna red card au penalt au vyote kutokea kwa pamoja.
Acha nione aibu Kwa niaba yake.Vipi kulikua na penalty ngapi chambuzi?