Kwa hii game Young anaenda kushinda kwa asilimia 100% na belouizdada anajua anakuja kufungwa lkn anakuja kupunguza idadi ya magoli.
Kwasababu anajua pia ili kusonga mbele atua ya robo fainali magoli yanaweza kuamua so watacheza kwakujilinda zaidi kupunguza idadi ya magoli na kushambulia kwa kushitukiza ili walazimishe sare lakini Yanga itashambulia kwa kasi mwazo mwisho ili ishinde mchezo maana wasiposhinda awaendi robo fainali.
Ila hawa jamaa wanajuwa sana kukaba!