Mtazamo wangu kuhusu Diamond na Dk. Tulia jana Mbeya

Ukiweza kuandika vizuri majina ya Watu na Miji, njoo tujadili.

Hakuna mtu amelalamika, ila watu wanashangaa tu suala la burudani/muziki linapochukuliwa kisiasa. Na ndio maana watu walisusa, wanachama wa CCM wakaamua waharibu uwanja wao wenyewe ili kusema show ilifana sana, ni ujinga kweli kweli.

Swali; Je, wewe upo Mbeya? ulivyoandika kana kwamba upo huko.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tindo kila kitu kimepangwa kwa ustadi sana hata Sugu hilo anajua,cha msingi arudi kwenye fani yake ya zamani,halikadhalika Lema Arusha,ni maoni yangu tu,wasipoteze resources watakazolipwa baada ya kumaliza kipindi chao cha utumishi wa ubunge hapo mwakani2020
Hakuna anayekataa mbinu hiyo, lakini isifike wakati wa kupiga kura kisha vyombo vya dola vikatumika kunajisi box la kura, au yeye kulazimisha kupita bila kupigwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kama kila kitu kimepangwa hapo sawa, nilidhani labda watashindwa kwa kura za wananchi.
 
Huyo Betina akajipendekeze kwenye jimbo lake la magogoni maana jimbo la mbeya tusha mkabidhi mh Mbilinyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hutambui hali ya taharuki iliyo ingia Mbeya kwa ziara ya Diamond!
Kama chama, CCM wamechukizwa na kuna mtafaruku kwa kukisababishia kukosa mapato ya mpira na wapenzi wa mpira ambao wengi ni watu wanaojielewa kukosa burudani. Hivyo Tulia katulizwa!
Sikia hapo;
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna anayekataa mbinu hiyo, lakini isifike wakati wa kupiga kura kisha vyombo vya dola vikatumika kunajisi box la kura, au yeye kulazimisha kupita bila kupigwa.
Kiuhalisia lazima tukubali kabisa kwamba kama wataweka fair ground kisiasa basi huyo Betina asahau kupata ubunge mbele ya mh Sugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya,matengenezo ya uwanja ni gharama ya nani?
 
Unajiuliza na kujijibu mwenyewe kama zuzu fulani hivi ! Tulishasema kwamba Tulia Ackson hata akipiga kampeni bila dela hawezi kuwa mbunge wa Mbeya Mjini

Ataweza kuwa MB kwa kubebwa na dola(Tume ya Uchaguzi kwa msaada wa Policcm na TISS)! Nje ya hapo Tulia hana ubavu wa kumkabili Mh.Sugu!!
 
Hawa watu hawana hata aibu tena.Wanajifanya hamnazo,kampeni mwanzo mwisho kuanzia soon baada ya uchaguzi mkuu ulipoisha 2015.State engineered political rallies hadn't stopped since.
 
Kwan hapo mbeya au songwe hakuna jmbo lingine zaidi ya hilo mbeya mjini?
 
patriot=mzalendo hana ukabila!
 
Sugu na yeye ni Msanii ajikaribishe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U
Usipate taabu kupima kina cha maji kwa kidole, 2020 mshauri mwenyekiti wenu asiweke mpira kwapani kama alivyofanya kwenye serikali za mtaa.
 
U

Usipate taabu kupima kina cha maji kwa kidole, 2020 mshauri mwenyekiti wenu asiweke mpira kwapani kama alivyofanya kwenye serikali za mtaa.
Mzee baba me nimetoa tu mtazamo wangu Sina mapenzi na chama chochote Cha siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…