Mtazamo wangu kuhusu Diamond na Dk. Tulia jana Mbeya

Hakuna Mtanzania asiye na chama. Don't lie on that.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usifikiri wewe upo kwenye chama ukazani na wenzako wapo Kama wewe me kuwa chama kinanisaidia Nini maisha yangu ningekuwa ninalipwa sawa ningekuwa na chama lakini upati chochote zaidi kumaliza bando na kugombana humu jamvini.
 
Asante. Akili kubwa.

***Mbire mwene Nyamwonyo***
 
Daah hii itawagharimu sana Ccm! Maana mpaka wale wahindi na wasomali wenu itabidi waende India/Somalia wakagombee! Hakuna mbongo aliye mbunge huko ........acheni kabisa ishu za ukabila nyie Ccm!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio pimbi tu. Ni low lives. Hicho kiTulia kimejishusha sana. The lousy lady stooped too low kwa huyo mshirikina Dayamondi. Kigoma.........¡!!!!!!😜😜😜😂😂

Wait a minute! Hivi ni kweli kwamba Daimond kalala na kufanya mapenzi na mama yake mzazi?! Maana huko mitaani kuna habari hiyo ..... Any ukweli!! Yaani kato..mbn na mm yk mzazi!!! Incest+disgusting
 
Waziri au rais anatusaidia Nini wana Mbeya. Tunaishi tunavyotaka, rais anatokea kanda ya ziwa na Kuna njaa Ni laana. Unatuletea kigagula huyo. Lkn Mbeya naijua Sana asiporogwa akafa Basi litamtokea Kama la Akukweti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wait a minute! Hivi ni kweli kwamba Daimond kalala na kufanya mapenzi na mama yake mzazi?! Maana huko mitaani kuna habari hiyo ..... Any ukweli!! Yaani kato..mbn na mm yk mzazi!!! Incest+disgusting
Acha kusikiliza habari za uzushi utapata dhambi mzee baba acha kushadadia mambo ya kipuuzi.
 
Daah hii itawagharimu sana Ccm! Maana mpaka wale wahindi na wasomali wenu itabidi waende India/Somalia wakagombee! Hakuna mbongo aliye mbunge huko ........acheni kabisa ishu za ukabila nyie Ccm!

Sent using Jamii Forums mobile app
Logically ni uzembe kuwa na msomali mbunge au katibu mkuu wa chama. Miaka mingapi imepita kabla ya US kuwa na rais mweusi? UK mweusi akipata ubunge dunia nzima inatangaziwa. Kwa nini uruhusu Mhindi mwarabu msomali kuwa mbunge nchi hii? Kama ni ruhusa kila upande uruhusu! Siyo mtu anatoka Moshi kuja kuwa mbunge Arusha halafu arusha ukijaribu kuwa mbunge Moshi unatemewa mate! Never, this time!
 
Dah! elimu hii jamani! Kuchaguliwa kuwa mbunge wa kuteuliwa ni kitu gani hicho? Lugha ya watoto wanaojifunza kuunda maneno,!
 
Sugu hawezi toka mbeya labda yeye aamue kuacha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aulize ni kwanini Mary Mwanjelwa kaishia kuwa Mbunge wa kuteuliwa..

Njia pekee ya kuchukua jimbo la Mbeya ni msimamizi kumtangaza aliyeshindwa kibabe na si vinginevyo,naamini analitambua hilo na ndio maana anatumia nguvu nyingi.

Changamoto kubwa kwake pia ni kwamba vijana wa Mbeya huwa hawaogopi kulinda kura,kuchakachua ni kazi ngumu mno.
 
Dah! elimu hii jamani! Kuchaguliwa kuwa mbunge wa kuteuliwa ni kitu gani hicho? Lugha ya watoto wanaojifunza kuunda maneno,!
Kuna.post moja ya twitter huyo unayemuabudu aliandika broken english, ile ya.kumpongeza jirani kwa kuchaguliwa Rais. Unaikumbuka!? Dont forget idadi ya degree alizonazo.
 
Chuki za kishamba hizo umemezeshwa na huyu unayemuabudu. Bogus wewe. Kinana kakataa kuwa kibaraka ndio awe mbaya!? Huyo mhindi kama kawa mbunge si kwa sababu kachaguliwa na.wapiga kura au unataka kusema kajitangaza kama mnavyojitangaza ninyi baada ya kupindua matakwa ya wapiga kura!? Kama una uchungu na.ubunge wa Lema nenda kagombee na.wewe uchaguliwe. Mmezoea demokrasia uchwara ya wizi wa kura, wenzenu wanaheshimu matakwa ya wapiga kura. Malimbukeni nyie.

Eti UK mara US , unajifanya unazijua sana. Si ndio mnawaita mabeberu nyie mnaojifanya wazalendo!? Iga na ushoga wao basi au unachagua cha kuiga!? Upuuzi.
 
Kwa akili ya kawaida kabisa mtu unasthubutu kufikiri kwamba Diamond ana ushawishi wowote ule kwa wana Mbeya?
Usimujali mkuu, huyu atakuwa ametumwa na tulia ackson, hapa mbeya mjini tulia hana lolote, hawezi kumungoa sugu, hata atumie usirikina kaa juzi alipotumia musalaba na jeneza la maiti eti anazika chadema, nilishangaa sana mtu ati ako na phd kisa kafanya ujinga wa ajabu kaa ule, mimi siiamini phd ya huyu tulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…