Mtazamo wangu kuhusu majini (mashetani/ mapepo). Uliza swali lolote nitakujibu

Uchunguzi wa kibinafsi (observations) hautoshi kuthibitisha nadharia ya kisayansi. Ushahidi wa kisayansi unahitaji tafiti za kina, majaribio yanayorudiwa na mapitio ya wataalamu wengine.

Hizo, daily kama suffocation, maumivu ya kifua au hallucinations zinaweza kutokana na magonjwa yanayojulikana kama vile

1. Anxiety/panic attacks
2. Hypoxia (upungufu wa oksijeni)
3. Poisoning (kutokana na gesi halisi kama carbon monoxide)
 
Aisee Mzee wa gas x
 
Jini linawezaje kumsaidia MTU mwenye matatizo ya kiafya, kiuchumi, aliyedhulumiwa haki yake mahali popote?
Ndio
Mkuu
Q
Umewahi kushuhudia padri mchungaji au shehe akitoa mapepo?

Tuanzie hapo kwanza
 
Vp wale wenye kupandisha majini kwa kukusudia yani kama vile kwa mganga hupandisha jini na kuanza kueleza shida ya mgonjwa, huwa hapitii hizo changamoto.
 
Aisee Mzee wa gas x
Mkuu

Unawajua wapiga dufu (ngoma zile za kiislam) ?

Dufu likipigwa kama una majini lazima upandishe yaani mtu anakua anacheza bila kujijua nadhani wengi mtanisaidia hapa mtakuwa mmewahi kushuhudia


Sasa ipo hivi gas X ambayo ipo ktk mzunguko wa damu inatabia ya kuvibrate

Pia sauti ya dufu ni vibration ya molecules zilizopo hewani ambazo zinatoa sound energy


Kuna kitu kinaitwa resonance yaani vitu viwili vyenye frequency tofauti vinaanza kuvibrate kwa frequency moja wataalam wa physics wanajua


Sasa dufu linapopigwa linavibrate kwa frequency yake kumbuka pia gas X inavibrate kwa frequency yake


Sasa ikitokea kukawa na mfanano ea frequency (resonance) mtu anaanza kucheza kabisa tena bila kujijua na mdundo ukisimama anatulia anaishiwa nguvu kabisa mpaka wamvukize ubani au akae ktk hewa safi

Sijui unanipata mkuu?
 
Vp wale wenye kupandisha majini kwa kukusudia yani kama vile kwa mganga hupandisha jini na kuanza kueleza shida ya mgonjwa, huwa hapitii hizo changamoto.
Nimesemq gas X ina exist ktk form mbali mbali kimtaa mnaita majini

Yapo majini ya utambuzi na ya maradhi

Tuseme kuna gas X1 na gas X2 Sasa ktk hayo majini la utambuzi liwe X2 (Kumbuka majini yana majina mfano subiani makata n.k)


Sasa ili mganga apandishe majini inabidi supply ya oxygen ktk mzunguko wa damu iwe chini atalazimika kufanya mambo yafuatayo

Kujivukiza ubani ktk chetezo akiwa ktk shuka nyekundu au nyeupe shuka inayoreflect mwanga


Akijifykiza ule moshi utakavoanza kupita kooni na kuingia keny mapafu nyingine kwenye tumbo ataicheua kwa kutoa muungurumo , moshi wa mapafu utaingia ktk mzunguko wa damu na kuifukuza oxugen ktk haemoglobin na kuifanya gas X2 ikae kwenye haemoglobin



Suply ya oxygrn ktk damu yaani oxygen saturation ita drop


Supply ikiwa chini ktk ubongo ataanza kuhallucinate na kuanza kuona mambo ambayo mtu wa kawaida hawezi kuyaona yaani hallucination na illusion


Ataanza kukuambia matatizo yako na anakuwa hajitambui inabidi awepo mtu wa pili ambaye ni msaidizi wa mganga
 
Hapana ukisema majini ni gesi kama carbon monoxide si sawa,majini hayapo katika material existence ni spiritual being ,ni roho zinazoweza kuwa katika umbo lolote au zikavaa umbo lolote .
 
Samahani Ndugu mleta Mada!

Kwanini Majini wapende Haemoglobin Hujaelewesha hapo umesema Tu wanapenda damu kwa sababu ina Haemoglobin..

Samahani kidogo nimeona kuna kitu umetaja hapo juu..Unataka kusema kuwa Oxygen ikichanganyika na Gase nyingine yoyote Au Gesi majini Inaweza Kusababisha Hypoxemia (Low Oxygen saturation)?

Samahani tuanze na hayo maswali kwanza
 
Jingine..
Majini yaliumbwa Lini na Wapi!
Na kuna majini aina ngapi..
Vipi utatifautishaje marouhani, majini, Mapepo, Malaika (Na malaika nao ni gesi fulani?) ,Makhudam,Mizimu na jamii zingine?

Na wenyewe ni gases?
 
Majini Huwa yana ufahamu na hisia mkuu,
Mganga kukuambia unaumwa kitu flani bila ushahidi ni hisia

Na hisia utaziona kupitia binadamu na si vinginevyo

Na ili uone ambavyo havionwi na wengine lazima uwe ktk katikati ya kifo na uzima yaani kukabwa (low oxygen supply) kitaalam wanaita hallucination
 
Kama mtu anayo hayo majini mfano kifuani afanye nini yaondoke.. au unashauri tiba gani ya uhakika mtu aondokane na majini?
 
Mkuu kabla hujaendelea ningependa Unipe Tofauti ya Respiration na Breathing naona Unavichanganya Sana muda mrefu tangu umeanza Kutoa Mada yako..

Nahisi ndo tatizo lako linapoanzia Repiration sio Breathing..
Kingine Hakuna Unkown Disease Inategemea na Uelewa wako wa Magonjwa na Vifaa vya Utambuzi ulivyo navyo na ndio maana kuna Level za Kimatibabu za Utambuzi na Za Vipimo pia..

Mtumishi aliyepo Dispensary ni Vigumu sana Kugundua Cancer Ila Aliyepo Level ya Juu zaidi ni vyepesi sana..
 
Samahani Ndugu mleta Mada!

Kwanini Majini wapende Haemoglobin Hujaelewesha hapo umesema Tu wanapenda damu kwa sababu ina Haemoglobin..
Kwa sababu kt red blood cell kuna haemoglobin na haemoglobin kuna active site ya oxygen

Ktk gas exchange oxygen huchomoka na gas X huji bind
Samahani kidogo nimeona kuna kitu umetaja hapo juu..Unataka kusema kuwa Oxygen ikichanganyika na Gase nyingine yoyote Au Gesi majini Inaweza Kusababisha Hypoxemia (Low Oxygen saturation)?

Samahani tuanze na hayo maswali kwanza
 
Mdogo wangu jitahidi sana Ujue Saturation ya Oxygen inapandaje na Inapunguaje saturation ya Oxygen haipungui kwa Dakika Mbili au Tatu..

Ila ngani nione kwanza unavyohisi wewe..
Kwahyi Akipunguza Oxygen Saturation ikifika Ngapi Ndo anapandisha??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…