Mtazamo wangu kuhusu majini (mashetani/ mapepo). Uliza swali lolote nitakujibu

Mtazamo wangu kuhusu majini (mashetani/ mapepo). Uliza swali lolote nitakujibu

Eeeh wakuu mpo?

Ktk huu uzi nitazungumzia kuhusu majini kiimani na kisayansi kulingana na experience niliyonayo ila pia mtu yeyote anaruhusiwa kuchangia kulingana na kile anachokijua au alichoeahi kukiona


Majini ni nini?

Majini kiroho ni viumbe hai wanaoweza kuishi ndani ya mwili wa binadamu, sehemu wanazoweza kuweka makazi ktk mwili wa binadamu ni kifuani na kichwani namaanishq ndani.


Kisayansi majini ni gesi (molecule) inayofanana na carbonmonoxide, hii hewa huweza kuingia ktk mwili wa binadamu kupitia mfumo wa hewa yaani ukivuta hewa ndani ukaivuta hiyo gesi kama ipo eneo ulilopo ikaaingia kwenye mapafu na na kupenya ktk mfumo wa damu basi tutasema umepata majini. Hii gesi inatabia ya kuvibrate na hujishikiza ktk haemoglobin kwa muda kisha kubaki ktk mzunguko wa damu

Hii gesi ni mtizamo wangu kulingana na uchunguzi wangu naomba unayesoma hapa uelewe mapema kabisa haya maelezo ni mawazo yangu binafsi. Nitaiita gas X ktk uzi huu, hii gesi X ina exist ktk form mbali mbali yaani gesi X zipo za aina mbali mbali.

Mtu mwenye majini huwa anapata dalili zifuatazo ila sio lazima ziwe zote ni moja kati ya zifuatazo

Kuhisi kama unakabwa usiku, kuhisi kitu kinatembea mwilini, maumivu mwili mzima, kuwa na nguvu kupita kiasi na kukakamaa, kuchizika, kupandisha mapepo, kutoa miungurumo wakati wa kuvuta na kutoa hewa, kuumwa mwili mzimq, kuumwa miguu, macho kuwa meusi au kama ya paka yaani yanakuwa yanatisha.

MAJINI HAWAPENDI NINI?

majini hawapendi uchafu mfano harufu ya mkojo, au harufu yoyote kali mfano jasho linalotoka wakati wa ngono na maji maji ya uke au uume ile harufu hawaipendi,

Hawapendi harufu ya pombe, sigara au bangi.

Hawapendi vitu vichachu kama vile ndimu n.k


Kisayansi ni kwamba vitu nilivyotaja hapo juu vinaweza kufanya exchange ya gesi X ikqtoka ktk mzunguko wa damu ndio maana hawaipendi.

MAJINI WANAPENDA NINI?

majini wanapenda damu, usafi, harufu nzuri ya marashi kama vile gift of zanzibar, Al wood n.k pia wanapenda harufu ya ubani na udi


Kisayansi wanapenda damu kwa sababu kuna kiasi kingi cha haemoglobin, pia harufu ya ubani na udi hutoa oxygen ktk haemoglobin na kuifanya gas X ijipachike. Hapa maana yake ni kwamba kiasi cha oxygen ktk damu (oxygen saturation kitakuwa below 98% mtu atahisi kifua kinabana ataanza kuhema kwa kasi na hata kupoteza fahamu au kuwa kama amechangamyikiwa (halucination) kimtaa mtaa mnaita kupandisha yaani ansingia kwny anaerobic respiration akija kushusha anakuwa kachoka sana

Baada ya utangulizi nakaribisha maswali ya kiroho na kisayansi.

Ahsante
Eti ni kweli kuwa majini wana jinsia zote mbili?
Eti ni kweli kabla ya kuumbwa Binadamu yalianza majini?
Eti ni kweli Shetani/Lucifer ni jini na sio Malaika?
Eti ni kweli Shetani alikataa kumsujudia Mtu na akaonekana kaasi na ikiwa Mungu pekee ndiye anayetakiwa kusujudiwa?
Eti ni kweli baadhi ya watu wakifa wanaweza kugeuzwa na kuwa majini au misukule kwa kuwa wakati wapo hai walikuwa watumwa wa Kiakili na wasijue ukuu wao?
Eti ni kweli majini yanawezwa kutengenezwa?
Eti ni kweli Majini yanaweza kumuingia mtu yeyote?
Eti ni kweli Majini yanaweza kumpatia mtu mvuto na pia hata Pesa?
Eti ni kweli Majini wana familia na wanaishia kwenye vina virefu kule baharini?
Eti ni kweli Majini yameumbwa kwa moto na pia siku ya Mwisho na wao watachomwa moto?
 
Mkuu kabla hujaendelea ningependa Unipe Tofauti ya Respiration na Breathing naona Unavichanganya Sana muda mrefu tangu umeanza Kutoa Mada yako..
Ukiwa na low oxgen saturation ktk damu iwe below 98% kumbuka mwili unahitaji energy na oxgen ipo chini

Yaani ktk RBC kuna carbon monoxide au gas X

Utahitaji energy ktk mfumo wa anaerobic respiration lakini itakuwa ya mudq mfupi ni kweli au si kweli?
Nahisi ndo tatizo lako linapoanzia Repiration sio Breathing..

Kingine Hakuna Unkown Disease Inategemea na Uelewa wako wa Magonjwa na Vifaa vya Utambuzi ulivyo navyo na ndio maana kuna Level za Kimatibabu za Utambuzi na Za Vipimo pia..
Corona kabla haijaitwa covid19 na WHO wewe ulikuwa unaijua kama ugonjwa gani?

Unataka kuniambia hakuna magonjwa yasiyo ktk STG ?

Mtumishi aliyepo Dispensary ni Vigumu sana Kugundua Cancer Ila Aliyepo Level ya Juu zaidi ni vyepesi sana..
Basi wewe ni wa dispensary maana huelewi jambo dogo kama hili
 
Majini ni jina la jumla

Yamegawanyika mara mbili
Majini mazuri na majini mabaya


Ktk majini wabaya ndio utakuta kuna mapepo na mashetani


Mapepo ni yale ya kurushiwa
Mashetani ni yale yanamfanya mtu awe na maradhi unaweza kuzaliwa nayo ukaishi nayo muda mrefu bila kujua

Sijui umenipata mkuu?
Majini mazuri na mabaya😀😀 Kisayansi majini ni molecules.

Dah hii ilmu hii. Sule acha kutudanganya.
 
Mdogo wangu jitahidi sana Ujue Saturation ya Oxygen inapandaje na Inapunguaje saturation ya Oxygen haipungui kwa Dakika Mbili au Tatu..

Ila ngani nione kwanza unavyohisi wewe..
Kwahyi Akipunguza Oxygen Saturation ikifika Ngapi Ndo anapandisha??
Mkuu hii dunia ina mambo mengi sana bado hujaimaliza
 
Kwa sababu kt red blood cell kuna haemoglobin na haemoglobin kuna active site ya oxygen

Ktk gas exchange oxygen huchomoka na gas X huji bind
Ngoja Nijaribu Kukuelewa..

HAlafu na mimi nikueleweshe kitu ili niulize swali baadae
Nataka nitoe somo ili liwe Scenario Ndogo how Oxygen Inabind kwenye Haemoglobin..

Kwanza Haemoglobin Imeundwa na Haem( ambayo Ni Fe2+) na Globin ambazo ni polypeptide chain (Yaani Protein chain)

Haemoglobin ina 4 polypeptide chain (Ambazo ni Organic Atom kama Unafahamu lakini)..
Ambazo huwa tunaziita 2 alpha na 2 Beta chain..

Sasa Kwenye Kila chain kuna heme group ( Iron group)..

Sasa kila iron kutoka kwenye Kila group huwa zinabind na Oxygen Kuform Oxygen 4 kwenye kila Haemoglobin.. ili kutengeneza Oxyhaemoglobin

Hb+ 402 =Hb(02)4

Sasa hapo sijui Umeelewa..
Na Ikitokea Mtu akaingiza CO2 au CO au Any gasas Reaction ya Fe2+ na Hizo Elements zingine huwa ni tifauti kidogo..

Na Nikupe Information Tu kuwa Binding ya Haemoglobin na Other element under normal Physiological condition huwa ni Vigumu sana na Ikitokea Basi mwili huafanya Njia nyingj za kuitoa japo.CO huwa ni sumu ambayo Haiwezi kutolewa na Mtu hufa..

Ila hakuna Element nyingine inaweza kubind kwenye Hb na Ukabaki hai au salama.. (Haya ni mawazo yangu)..

Sasa Ningependa Kujua Hiyo Element X hubind na Haemoglobin kwa Upande wa Iron group Au kwa upande wa Organic Group (Polypeptide) nakusubiri Daktari wangu kwa Mashule zaidi Nielewe how Hb ina binds
 
Jinn ni viumbe wanaopatikana kwenye uislamu pekee.

Hakuna mahali kwenye maandiko halisi ya bibilia(ambayo hayajatafsiriwa) kumetajwa majini(jinn)

Kusema mashetani na mapepo ni majini sio sahihi mkuu, wanajitegemea wenyewe

Uzi mzuri lakini
Soma kitabu kilichochomolewa kwenye Biblia kinaitwa 'Testament of Solomon' humo kafunguka kila kitu namaanisha kila kitu wakakichomoa kwenye biblia

 
Ukiwa na low oxgen saturation ktk damu iwe below 98% kumbuka mwili unahitaji energy na oxgen ipo chini

Yaani ktk RBC kuna carbon monoxide au gas X
Kwenye Damu kukiwa na CO hicho ni Kifo chako maana CO ni sumu...
Utahitaji energy ktk mfumo wa anaerobic respiration lakini itakuwa ya mudq mfupi ni kweli au si kweli?
Ni kweli hapo Hujakosea kabisa Binadamu kuna wakati anahitaji Anaerobic Respiration na Hiyo inatokana Kuwa na Mahitaji makubwa ya Oxygen Kuliko Kiasi kinachoingia..
Yaani High consuption without High raw Materials..

unajua Kwenye Metabolism au Tuseme tu kwenye Respiration Huwa tunavunja Carbohydrates au Glucose under Oxygen ili kupa CO2 ,Maji na Energy..

Kama unakumbuka Krebs cycle mliyofundishea Shuleni...

Sasa anaerobic hutumika pale ambapo Oxygen inakuwa ndogo ila matumizi yake ni makubwa kwahyo inabidi mwili Uvunje glucose under CO2 ili kupata Lactic acid na Energy lakini changamoto inakuja energy inakuwa Sio kubwa Kama ya Oxygen kwa Inahitajika Ivunjwe nyingi sana na Kazi inakuwa Kubwa sana na Mwisho wa Siku Kuna Tokea Lactic Acidosis kwenye mwili na Unaona Mtu anapata Fatigue na mengine..
Uchovu na maumivu..

Kuna vitu vingi sana naweza kuelezea hapo ila tuache hapo kuwa anaerobic haiwezi kufanyika kila siku otherwise huyo mtu lazima apate madhara makubwa Sana..

Corona kabla haijaitwa covid19 na WHO wewe ulikuwa unaijua kama ugonjwa gani?
corona Ipo Kitambo sana Ndugu yangu Corona (Mdudu) amegawanyika kwenye aina mbili Alpha corona na Beta corona kuna wadudu wengi sana wa Corona ila wapo katika makundi manne makuu Jaribu kuyatafuta..
HCoV za Alpha na Beta..

Japo Umeuliza nilikuwa naunua Ugonjwa huo kabla?
Yes nilikuwa naujua..

Kuna SARS-CoVD na MERS-CoVD we Unayosemea hii ya 2019 Ni SARS -CoVD 2 Na sio one mkuu..
Unataka kuniambia hakuna magonjwa yasiyo ktk STG ?
STG sio Kitabu cha Kujua Utibuji wa magonjwa au sio kitabu kinachoonyesha Magonjwa Yaliyopo Tanzania..

STG ni kitabu kinachotoa Angalau muongozo wa Utibuji Kulingana na Upatikanaji wa Dawa Tanzania yaanj wote Tuwe na Usemi Mmoja kuhuusu utibuji wa Ugonjwa Fulani..
na ndo maana Ikaitwa Standard..

ila Usitegemee Kuwa Ukienda Muhimbili Au ukienda Mbeya Utatibiwa UTI sawa na Ukienda kwenye Dispensary, Kituo cha afya au Ukiwa Kwenye Hospitali za Mikoa..

Imewekwa Ili kuStandardize matibabu Ili usiende Ukerewe Ikatibiwa Malaria ukapewa Fansidar ukaenda Uyui wakakupa Alu, Ukaenda Kigoma Ukapewa amodiaquine..

ina sababu zake Kifanya Hivyo mojawapo ikiwa ni kuzuia Global Resistance na hata Ikifahamika Ili kuitatua Mapema..

kasome Umuhimu wa STG..
Unakumbuka hata SP aina ya Fansidar zilivyoua watu kwa Kuinduce steven's John Syndrome Miaka ya 2000 mpaka ikafutwa??

Basi wewe ni wa dispensary maana huelewi jambo dogo kama hili
Mimi Hata Sifanyi kazi niko Hapa Mbezi nabangaiza nasubiri Jamaa waniachie Boda wenye boda zao napiga Deiwaka
 
Majini ni jina la jumla

Yamegawanyika mara mbili
Majini mazuri na majini mabaya


Ktk majini wabaya ndio utakuta kuna mapepo na mashetani


Mapepo ni yale ya kurushiwa
Mashetani ni yale yanamfanya mtu awe na maradhi unaweza kuzaliwa nayo ukaishi nayo muda mrefu bila kujua

Sijui umenipata mkuu?
Mbona nimeuliza swali hujibu?
 
Ngoja Nijaribu Kukuelewa..

HAlafu na mimi nikueleweshe kitu ili niulize swali baadae
Nataka nitoe somo ili liwe Scenario Ndogo how Oxygen Inabind kwenye Haemoglobin..

Kwanza Haemoglobin Imeundwa na Haem( ambayo Ni Fe2+) na Globin ambazo ni polypeptide chain (Yaani Protein chain)

Haemoglobin ina 4 polypeptide chain (Ambazo ni Organic Atom kama Unafahamu lakini)..
Ambazo huwa tunaziita 2 alpha na 2 Beta chain..

Sasa Kwenye Kila chain kuna heme group ( Iron group)..

Sasa kila iron kutoka kwenye Kila group huwa zinabind na Oxygen Kuform Oxygen 4 kwenye kila Haemoglobin.. ili kutengeneza Oxyhaemoglobin

Hb+ 402 =Hb(02)4

Sasa hapo sijui Umeelewa..
Na Ikitokea Mtu akaingiza CO2 au CO au Any gasas Reaction ya Fe2+ na Hizo Elements zingine huwa ni tifauti kidogo..

Na Nikupe Information Tu kuwa Binding ya Haemoglobin na Other element under normal Physiological condition huwa ni Vigumu sana na Ikitokea Basi mwili huafanya Njia nyingj za kuitoa japo.CO huwa ni sumu ambayo Haiwezi kutolewa na Mtu hufa..

Ila hakuna Element nyingine inaweza kubind kwenye Hb na Ukabaki hai au salama.. (Haya ni mawazo yangu)..

Sasa Ningependa Kujua Hiyo Element X hubind na Haemoglobin kwa Upande wa Iron group Au kwa upande wa Organic Group (Polypeptide) nakusubiri Daktari wangu kwa Mashule zaidi Nielewe how Hb ina binds
Mkuu ahsante sana sana sana

Ulicho andika ndicho msingi wa theory yangu ilipo anzia maana nisingeweza kueleza yote hayo mwanzo wa huu uzi wasomaji ni watu wa taaluma mbali mbali nimezingatia hicho kigezo

Sasa assumption yangu imebase kwenye mfano wa gas exchange ktk red blood cell kama ulivyo elezq wewe


Kikawaida oxygen na carbondioxide hubadilishana kwenye active site ya haemoglobin yaani ni kama sub mfano anatoka mzize anaingia musonda uwanjani


Sasa assume kuna unknown molecule ambayo ina exist kama gas tuiite gas X


Hii gas X ina uwezo wa kubind pale anapobind oxygen ktk haemoglobin, ili iji bind inabidi oxygen atoke kwenye nafasi yake kisha gas X aingie

Sasa ili umtoe oxygen lazima physiology ya mwili ibadirike

Utaibadiri vipi?

Utaibadiri kwa kunusa moshi wa ubani kwa muda usiopungua dakika moja

Ikiwa unahiyo gas X (sio watu wote wanayo) ukajifukiza ubani physiology ika change basi gas X ataji bind ktk active site ya haemoglobin

Kumbuka masuala ya acid base body balance,

Nini hutokea kwa mtu? Mara nyingi huanza kutoa miungurumo na baadae kuanza kukakamaa kwa nguvu kisha anaanza kuhallucinate
(Mfano mganga anayepandisha majini au mtu anayechimbuliwa majini)
Hapo ataanza kuona visivyo onekana na kukuambia shida zako sijui umenipata mkuu


Ikiwa ni mtu amekuja anatolewa majini yaliyo mkaba akivukizwa moshi wa nungu nungu huwa yanamuachia hapo hapo
IMG_20241226_165117_256.jpg
 
Kama mtu anayo hayo majini mfano kifuani afanye nini yaondoke.. au unashauri tiba gani ya uhakika mtu aondokane na majini?
Kama anayo ushauri ni kulamba ndimu au kutumia mchanganyiko wa juisi ya ndimu, asali na sukari guru

Kila siku anatumia kijiko kimoja asubuhi mchana na jioni mpaka pale atakapoona inafaa hiyo ni kama diet tu


Pia anaweza kupaka mafuta ya mzaitiuni mara moja moja
 
Mkuu ahsante sana sana sana

Ulicho andika ndicho msingi wa theory yangu ilipo anzia maana nisingeweza kueleza yote hayo mwanzo wa huu uzi wasomaji ni watu wa taaluma mbali mbali nimezingatia hicho kigezo

Sasa assumption yangu imebase kwenye mfano wa gas exchange ktk red blood cell kama ulivyo elezq wewe


Kikawaida oxygen na carbondioxide hubadilishana kwenye active site ya haemoglobin yaani ni kama sub mfano anatoka mzize anaingia musonda uwanjani


Sasa assume kuna unknown molecule ambayo ina exist kama gas tuiite gas X


Hii gas X ina uwezo wa kubind pale anapobind oxygen ktk haemoglobin, ili iji bind inabidi oxygen atoke kwenye nafasi yake kisha gas X aingie

Sasa ili umtoe oxygen lazima physiology ya mwili ibadirike

Utaibadiri vipi?

Utaibadiri kwa kunusa moshi wa ubani kwa muda usiopungua dakika moja

Ikiwa unahiyo gas X (sio watu wote wanayo) ukajifukiza ubani physiology ika change basi gas X ataji bind ktk active site ya haemoglobin

Kumbuka masuala ya acid base body balance,

Nini hutokea kwa mtu? Mara nyingi huanza kutoa miungurumo na baadae kuanza kukakamaa kwa nguvu kisha anaanza kuhallucinate
(Mfano mganga anayepandisha majini au mtu anayechimbuliwa majini)
Hapo ataanza kuona visivyo onekana na kukuambia shida zako sijui umenipata mkuu


Ikiwa ni mtu amekuja anatolewa majini yaliyo mkaba akivukizwa moshi wa nungu nungu huwa yanamuachia hapo hapoView attachment 3185779
Wrong!
Kwanza hakuna Gaseous Exchange kwenye RBC..
Kinachotokea Kwenye RBC ni Transportation of Gas through HB (Haemoglobin)..

Sasa Nataka Nikupe Somo Lote Jinsi unavyovuta Hewa Mpaka Unavyotoa CO₂ nini hutokea kwenye damu mpaka kwenye mapafu Nifuatishe..


Mwili unapohitaji Oxygen kwa ajili ya Kutengeneza Energy..
Binadamu utavuta Oxygen kutumia Pua zake (Yake matundu au zinaitwa Nostril) au Unapovuta Kutumia Mdomo..
Pumzi hiyo (O₂),Hupita kwenye Koo la Hewa (Trachea) kwenda kwenye Brochi kwenda Kwenye Bronchioles kwenda Kwenye Alveoli..

Sasa Nikufundishe kitu Hapa kwenye Alveoli ndo Gas Exchange Hutokea..

Alveoli ni Sehemu ya Mapafu ambayo ina cappillaries kibao ambazo kupitia Hizo CO₂ hutoka kwenye Damu na Kuingia kwenye Alveoli na O₂ Hutoka kwenye Alveoli kuingia kwenye Damu..Sijui kama unanielewa?


tuendelee Sasa!

Oxygen ile iliyofika kwenye alveoli ina diffuses na Kupita kwenye kwenye kuta Nyembemba za alveoli (thin alveolar walls) na Kuingia kwenye Zile capillaries Zile zilizoizunguka Alveoli na huo ndo mwanzo wa Kuingia kwenye Damu..

sasa Unajua kwanini mwanzoni nilikukatalia Kuhusu Hiyo element yako au Element zingine Kuungana na Haemoglobin japo inawezekana ila Huwa ni Kwa Kiasi ambacho ni kama Haijatokea labda Hiyo Gas iwe na Sifa kama Za Oxygen..

Sasa kwanini Oxygen Inaweza Kupenya sasa Hapa ndo inaingia maswala ya Physics.. partial pressure ya O₂ ni kubwa kwenye alveoli kuliko kwenye deoxygenated blood iliyopo kwenye capillaries...Kwahyo Hii Pressure inajikuta Imeisukuma Oxygen kwenye Kwenye Capillary..

Oxygen Ikifika kwenye damu Inafanya zile process nilizokuelezea kwenye Post #46.. pamoja na Hb Inavyoisafirisha nilishakueleza

Sasa Ndani ya Cells ikiwemo Hiyo RBC
Nilielezea Kuwa oxygen hutumika kwenye mitochondria Kutengeneza energy (ATP) na kama Unakumbuka Nikakusahihisha na Kukupa Tofauti ya Respiration na Breathing..

Reaction Huwa Hivi..

Glucose + O₂ → CO₂ + H₂O + Energy (ATP)

Sasa CO₂ , hutoka nje ya Cells na kuingia kwenye Mishipa ya Damu

kwa sababu partial pressure ya CO₂ huwa inakuwa Kubwa kwenye tissues kuliko kwenye damu kwahyo inapushiwa ndani ya Damu kwahyo Vein zinaibeba Hiyo CO ₂.

Sasa Jinsi inavyosafirishwa ni Tofauti na O₂ nifuatishe utaelewa zaidi..

Sasa Unakumbuka Ile CO₂ tuliyoipata Kwenye Kutafuta energy oxyen ilipovunja Glucose?

Sasa Huwa Inareact na Maji yaliyopo kwemye RBC au yale yaliyopatikana baada ya Kubunjwa kwa glucose..
Yaani CO₂ itareact na H₂O in the Presence ya catalistic enzymes moja Inaitwa carbonic anhydrase:

Au kwa Reaction tungeandika hivi..

CO₂ + H₂O ↔ H₂CO₃ ↔ HCO₃⁻ + H⁺

Sasa umeona Products inakuja Nini?
Inakuja Bicarbonate ions (HCO₃⁻)

Na hii ndo njia ya Kwanza ya Kusafirisha kwa CO₂ na Ndo inachangia Asilimia kubwa ya Kaboni inayotolewa..

Njia ya Pili ndo direct binding Ya CO2 kwemye Hb na Njia ya Mwisho kusafirishwa kama Gases sasa Tuache kote huku..

Kwa Jinsi Process zilivyo Ikiingia Hewa Nyingine Tofauti na hizo lazima Kutokee Tatizo na Muda huo huo litaonyesha effects..

So Huwezi kufananisha Natural process kama Hiyo na Mganga anapovuta Udi..

Maana unakoelekea Utaniambia pia Kuwa hata Ukivuta Bangi Basi ile Bangi ni Jini Linamuungia Mtu au Ukivuta sigara pia ni Jini..

Vipi Kuhusu Bangi na Yenyewe Ni Majini au Pombe Vipi??
 
Hii ni story kutoka kitabu Cha enock , nimekopi na kupest ,sijaedit hivo haipo kimpangilio vizuri ,ila utaelewa mtililiko wa hivo viumbe




CHAP. 15.—And he answered and spoke to me with his word: “Hear, and fear not,Enoch, thou just man and scribe of justice, approach hither, and hear my words. 2. And go,say to the watchers of heaven, who have sent thee, that thou shouldst petition for them: ‘Yeshould petition for men, and not men for you. 3. Why have ye left the high, holy, and everlasting heaven, and lain with women, and defiled yourselves with the daughters of men,

and taken wives unto yourselves, and acted like the children of earth, and begotten giantsas sons? 4. While ye were spiritual, holy, having eternal life, ye defiled yourselves withwomen, and with the blood of flesh have begotten children, and have lusted after the blood

of men, and have produced flesh and blood as they produce who die and are destroyed. 5.Therefore I have given them wives that they might impregnate them and children be bornby them, as it is done on earth. 6. Ye were formerly spiritual, living an eternal life withoutdeath to all the generations of the world. 7.
Therefore I have not made for you any wives,for spiritual beings have their home in heaven. 8. And now the giants, who have been begotten from body and flesh, will be called evil spirits on earth, and their dwelling-places will be upon the earth. 9. Evil spirits proceed from their bodies; because they are created from above, their beginning and first basis being from the holy watchers, they will be evil spiritsupon the earth, and will be called evil spirits. 10. But the spirits of heaven have their
dwelling-places in heaven, and the spirits of the earth, who were born on the earth, have their dwelling-places on earth. 11. And the spirits of the giants, who cast themselves upon the clouds, will be destroyed and fall, and will battle and cause destruction on the earth, and
do evil; they will take no kind of food, nor will they become thirsty, and they will be invisible.

12. And these spirits will not (?) rise up against the children of men and against the women,
because they have proceeded from them. In the days of murder and destruction.and of the death of the giants, when the spirits have proceeded from the bodies, their flesh shall decay without judgment; thus they shall be destroyed till that day when the great judgment over all the great world shall be completed over the watchers and
the impious.
2. And now to the watchers who have sent thee that thou shouldst petition for them who were formerly in heaven say: 3. ‘Ye have been in heaven, and though the secrets were not yet revealed to you, still ye knew illegitimate mysteries, and these ye have, in the hardness of your hearts, related to the women, and through these mysteries women and men
increase wickedness over the earth.’ 4. Tell them therefore: ‘Ye have no peace!’”.......
 
Oksijen unaweza kuifanyia Analysis na Ukathibitisha uwepo wake kisayansi kwa analysis..
Ila kwa Uelewa wangu sidhani kama Unaweza kufanya analysis kisayansi kuthibitisha Uwepo wa Majini..
Tukimtafuta mtu mwenye majini tukafanya blood analysis ktk angle zote kuna kitu lazima kita onekana
 
Back
Top Bottom