Mtazamo wangu kuhusu majini (mashetani/ mapepo). Uliza swali lolote nitakujibu

Mtazamo wangu kuhusu majini (mashetani/ mapepo). Uliza swali lolote nitakujibu

Wrong!
Kwanza hakuna Gaseous Exchange kwenye RBC..
Kinachotokea Kwenye RBC ni Transportation of Gas through HB (Haemoglobin)..

Sasa Nataka Nikupe Somo Lote Jinsi unavyovuta Hewa Mpaka Unavyotoa CO₂ nini hutokea kwenye damu mpaka kwenye mapafu Nifuatishe..

Mwili unapohitaji Oxygen kwa ajili ya Kutengeneza Energy..
Binadamu utavuta Oxygen kutumia Pua zake (Yake matundu au zinaitwa Nostril) au Unapovuta Kutumia Mdomo..
Pumzi hiyo (O₂),Hupita kwenye Koo la Hewa (Trachea) kwenda kwenye Brochi kwenda Kwenye Bronchioles kwenda Kwenye Alveoli..

Sasa Nikufundishe kitu Hapa kwenye Alveoli ndo Gas Exchange Hutokea..

Alveoli ni Sehemu ya Mapafu ambayo ina cappillaries kibao ambazo kupitia Hizo CO₂ hutoka kwenye Damu na Kuingia kwenye Alveoli na O₂ Hutoka kwenye Alveoli kuingia kwenye Damu..Sijui kama unanielewa?

tuendelee Sasa!

Oxygen ile iliyofika kwenye alveoli ina diffuses na Kupita kwenye kwenye kuta Nyembemba za alveoli (thin alveolar walls) na Kuingia kwenye Zile capillaries Zile zilizoizunguka Alveoli na huo ndo mwanzo wa Kuingia kwenye Damu..

sasa Unajua kwanini mwanzoni nilikukatalia Kuhusu Hiyo element yako au Element zingine Kuungana na Haemoglobin japo inawezekana ila Huwa ni Kwa Kiasi ambacho ni kama Haijatokea labda Hiyo Gas iwe na Sifa kama Za Oxygen..

Sasa kwanini Oxygen Inaweza Kupenya sasa Hapa ndo inaingia maswala ya Physics.. partial pressure ya O₂ ni kubwa kwenye alveoli kuliko kwenye deoxygenated blood iliyopo kwenye capillaries...Kwahyo Hii Pressure inajikuta Imeisukuma Oxygen kwenye Kwenye Capillary..

Oxygen Ikifika kwenye damu Inafanya zile process nilizokuelezea kwenye Post #46.. pamoja na Hb Inavyoisafirisha nilishakueleza

Sasa Ndani ya Cells ikiwemo Hiyo RBC
Nilielezea Kuwa oxygen hutumika kwenye mitochondria Kutengeneza energy (ATP) na kama Unakumbuka Nikakusahihisha na Kukupa Tofauti ya Respiration na Breathing..

Reaction Huwa Hivi..

Glucose + O₂ → CO₂ + H₂O + Energy (ATP)

Sasa CO₂ , hutoka nje ya Cells na kuingia kwenye Mishipa ya Damu

kwa sababu partial pressure ya CO₂ huwa inakuwa Kubwa kwenye tissues kuliko kwenye damu kwahyo inapushiwa ndani ya Damu kwahyo Vein zinaibeba Hiyo CO ₂.

Sasa Jinsi inavyosafirishwa ni Tofauti na O₂ nifuatishe utaelewa zaidi..

Sasa Unakumbuka Ile CO₂ tuliyoipata Kwenye Kutafuta energy oxyen ilipovunja Glucose?

Sasa Huwa Inareact na Maji yaliyopo kwemye RBC au yale yaliyopatikana baada ya Kubunjwa kwa glucose..
Yaani CO₂ itareact na H₂O in the Presence ya catalistic enzymes moja Inaitwa carbonic anhydrase:

Au kwa Reaction tungeandika hivi..

CO₂ + H₂O ↔ H₂CO₃ ↔ HCO₃⁻ + H⁺

Sasa umeona Products inakuja Nini?
Inakuja Bicarbonate ions (HCO₃⁻)

Na hii ndo njia ya Kwanza ya Kusafirisha kwa CO₂ na Ndo inachangia Asilimia kubwa ya Kaboni inayotolewa..

Njia ya Pili ndo direct binding Ya CO2 kwemye Hb na Njia ya Mwisho kusafirishwa kama Gases sasa Tuache kote huku..

Kwa Jinsi Process zilivyo Ikiingia Hewa Nyingine Tofauti na hizo lazima Kutokee Tatizo na Muda huo huo litaonyesha effects..

So Huwezi kufananisha Natural process kama Hiyo na Mganga anapovuta Udi..

Maana unakoelekea Utaniambia pia Kuwa hata Ukivuta Bangi Basi ile Bangi ni Jini Linamuungia Mtu au Ukivuta sigara pia ni Jini..

Vipi Kuhusu Bangi na Yenyewe Ni Majini au Pombe Vipi??
Screenshot_20241226-210350.png

DR mambo jambo unataka kujifunza au unataka kubishana?
 
View attachment 3185806

DR mambo jambo unataka kujifunza au unataka kubishana?
Soma Kilichoandikwa Hapo ni Transportation na sio Gas exchange.. kwakuwa Google siku hizi ni AI unachokiandika ndicho inachokuletea..

Uzuri hata maelezo yake hapo yametaka kukuabisha ila Umeyakata Imeansika In The lungs oxygen moves to the alveoli 🤣🤣

Kuhusu Physiology Huwezi kunifundisha ninaijua na sio kuijua tu ninaiishi na Kuifanyia kazi huu ni mwaka wa 23 Nikiwa kama Daktari nachotaka Kujifunza Sio Physiology ambayo nimeisoma Kwa Miaka zaidi ya 30 ila ni physiology mpya ya Jini Kuwa Element au Molecules ndani ya damu..

Nimekuelimisha Vizuri kuwa Gas Exchange inatokea kwenye Alveoli na Wala sio kwnye RBC sijui hata kama Unajua RBC ni nini?

Haya ngoja Nikubaliane na wewe Huenda Nikajifunza Kitu kipya

Kwenye RBC ni sehemu gani Kunatokea Gas Exchange? Au ni site gani kwenye RBC kuna Gas exchange na Usiaahau kuwa RBC ni cells Pekee Kwenye Mwili wa Mwanadamu isiyo na Nucleus Sasa nasubiri Unipe Jibu sehemu Inapofanyikia Hiyo gas Exchange
 
Mkuu

Unawajua wapiga dufu (ngoma zile za kiislam) ?

Dufu likipigwa kama una majini lazima upandishe yaani mtu anakua anacheza bila kujijua nadhani wengi mtanisaidia hapa mtakuwa mmewahi kushuhudia

Sasa ipo hivi gas X ambayo ipo ktk mzunguko wa damu inatabia ya kuvibrate

Pia sauti ya dufu ni vibration ya molecules zilizopo hewani ambazo zinatoa sound energy

Kuna kitu kinaitwa resonance yaani vitu viwili vyenye frequency tofauti vinaanza kuvibrate kwa frequency moja wataalam wa physics wanajua

Sasa dufu linapopigwa linavibrate kwa frequency yake kumbuka pia gas X inavibrate kwa frequency yake

Sasa ikitokea kukawa na mfanano ea frequency (resonance) mtu anaanza kucheza kabisa tena bila kujijua na mdundo ukisimama anatulia anaishiwa nguvu kabisa mpaka wamvukize ubani au akae ktk hewa safi

Sijui unanipata mkuu?
Aiseee sawa Mzee wa facts Sasa mwanasanyansi wetu inabidi tukupe verified tick mapema sanaa
 
Soma Kilichoandikwa Hapo ni Transportation na sio Gas exchange.. kwakuwa Google siku hizi ni AI unachokiandika ndicho inachokuletea..

Uzuri hata maelezo yake hapo yametaka kukuabisha ila Umeyakata Imeansika In The lungs oxygen moves to the alveoli 🤣🤣

Kuhusu Physiology Huwezi kunifundisha ninaijua na sio kuijua tu ninaiishi na Kuifanyia kazi huu ni mwaka wa 23 Nikiwa kama Daktari nachotaka Kujifunza Sio Physiology ambayo nimeisoma Kwa Miaka zaidi ya 30 ila ni physiology mpya ya Jini Kuwa Element au Molecules ndani ya damu..

Nimekuelimisha Vizuri kuwa Gas Exchange inatokea kwenye Alveoli na Wala sio kwnye RBC sijui hata kama Unajua RBC ni nini?

Haya ngoja Nikubaliane na wewe Huenda Nikajifunza Kitu kipya

Kwenye RBC ni sehemu gani Kunatokea Gas Exchange? Au ni site gani kwenye RBC kuna Gas exchange na Usiaahau kuwa RBC ni cells Pekee Kwenye Mwili wa Mwanadamu isiyo na Nucleus Sasa nasubiri Unipe Jibu sehemu Inapofanyikia Hiyo gas Exchange
Dr mambo jambo

Mimi huwa nasoma kwa kuelewa na sio kukalili ndio maana nikisoma kitu ninaweza kuki apply kwa kufikiria na kutafakari

Nikakupa mfano wa soka mzize kafanyiwa sub kaingia musonda

Ktk RBC oxygen kafanyiwa sub kaingia carbon dioxide

Sasa nikisema oxygen kafanyiwa sub kaingia gas X badala ya carbondioxide hapo unakuwa hujaelewa nini mkuu?

Mbona oxygen anaweza kufanyiwa sub akaibgia carbonmonoxide ktk RBC endapo utalala na jiko la mkaa chumbani kwako ukafunga madirisha yote unajua kitakachotokea

Sasa hapo achilia mbali huo msamiati wa gas exchange tuseme nimekosea je ? Umeelewa nadharia iliyopo mezani ktk uzi huu?

Unajua kuwa ktk periodic table kuna magap yaliachwa ya element ambazo hazijagunduliwa?

Sasa mkuu assume upo mbali na ofisi yako upo huko kijijini nanjirinji umekuta kuna bwana mmoja anatibu wagonjwa ambao wametoka hospitali mbaki mbali wameshindwa kuoona ila yeye anawaponyesha kwa kuwafukiza na moshi na kuwapa tiba asilia wanapona

Wewe kama daktari utafanya nini?
 
Mkuu hii ni jamii forum tumo humu ila hatujuwani.

Kwa vile wewe unauelewa kuhusu sayansi naomba twende taratibu

Ipo hivi kulingana na observation zangu kwa wagonjwa wa mashetami ukiwauliza wanachodai ni kuhisi wanakabwa (suffocation) pia maumivu ya kichwa kifua, moyo kwenda mbio na kuhisi kuchanganyikiwa

Kisayansi mtu anayehisi kukabwa (asphyxia) maranyingi supply ya oxygen inakuwa ndogo kwenye mapafu na damu

Ataanza kuhema haraka ili avute oxygen ya kutosha, moyo utaongeza spidi ya kusukuma damu ili kufidia oxygen ktk maeneo mbali mbali ya mwili ikiwemo ubongo na vital organs zingine, supply ya oxygen ikiwa ndogo kwenye muscle za moyo mtu atahisi kifua kinabana, supply ya oxygen ikiwa ndogo kwenye ubongo mtu atapata halucination

Pia ataanza kupumua kwa anaerobic respiration anakuwa na nguvu nyingi kiasi kwamba inahitaji wanaume wenye afya kumkamata akiwa ktk hali ya kutapa tapa

Sasa akipewa dawa inayochomwa ktk moto ule moshi akiunusa kifua kinaachia fahamu zinamrudia na anatulia kabisa lakini anakua hana nguvu

Hii nimeishuhudia

Kumbuka mtu mwenye majini ki medical ni unknown disease

Sasa kulingana na scenario kama hii nikawaza huenda majini ni gesi inayofanana na carbonmonoxide maana carbonmonoxide nayo humfanya mtu akose supply ya oxygen kwa sababu carbonmonoxide huea ina combine na haemoglobin mazima

Sasa inawezekana hiyo gas X ikawa na sifa kama hizo na huo ndio ukawa mwanzo wa mimi kufikiria hivyo mkuu

Tafiti zinaanza na mawazo mapya mkuu

Sijui umenielewa?
Noma sana!
 
Mwenye picha moja ya Jini aitupiemo huku tuone na sisi
Ukinionyesha oicha ya carbondioxide na mimi nitakuonyesha picha ya jini nakuahidi mkuu

Ukishindwa kutuletea picha ya carbondioxide tueleze kwa nini umeshindwa
 
Mkuu Mimi naamini sana Tiba mbadala maana Hata Hippocrates baba wa Udaktari Hakutibua kutumia kemikali
Shida Inakuja Unapochanganya Ukweli na Uongo Kuthibitisha Hoja Zako
 
Ukinionyesha oicha ya carbondioxide na mimi nitakuonyesha picha ya jini nakuahidi mkuu

Ukishindwa kutuletea picha ya carbondioxide tueleze kwa nini umeshindwa
 
Attachments

  • Screenshot_20241226_222245_Chrome.jpg
    Screenshot_20241226_222245_Chrome.jpg
    200.2 KB · Views: 5
Ukinionyesha oicha ya carbondioxide na mimi nitakuonyesha picha ya jini nakuahidi mkuu

Ukishindwa kutuletea picha ya carbondioxide tueleze kwa nini umeshindwa
Hizi ni picha za Baadhi ya Carbon..
images (12).jpeg

Ambazo ni Graohite, Diamond na Fullerene..

Haya Nioneshe Picha ya Jini
 
Kama anayo ushauri ni kulamba ndimu au kutumia mchanganyiko wa juisi ya ndimu, asali na sukari guru

Kila siku anatumia kijiko kimoja asubuhi mchana na jioni mpaka pale atakapoona inafaa hiyo ni kama diet tu

Pia anaweza kupaka mafuta ya mzaitiuni mara moja moja
Mimi ninalo lakutupiwa na aliyenitupia alinitupia mgongoni kwangu sasa nalitoaje pia nina jini mahaba vp linaweza kutoka kwa kulamba hiyo ndimu
 
Hizi ni picha za Baadhi ya Carbon..
View attachment 3185848
Ambazo ni Graohite, Diamond na Fullerene..

Haya Nioneshe Picha ya Jini
Mimi nimeqndika mnionyeshe picha ya carbondioxide wewe unanionyesha picha ya csrbon sijui ni makusudi au ni kutokuelewa ulichofundishwa darasani.

Wewe si ni daktari?

Mgonjwa mwenye malaria kali unayemhudumia akikuambia anawaona fisi ofisini kwako (hallucination) unadhani sababu inakuwa ni nini?

Kama jibu unalijua je nikisema mganga anayepiga ramli huwa ana hallucinate ni kweli au si kweli?
 
Mkuu hii ni jamii forum tumo humu ila hatujuwani.

Kwa vile wewe unauelewa kuhusu sayansi naomba twende taratibu

Ipo hivi kulingana na observation zangu kwa wagonjwa wa mashetami ukiwauliza wanachodai ni kuhisi wanakabwa (suffocation) pia maumivu ya kichwa kifua, moyo kwenda mbio na kuhisi kuchanganyikiwa

Kisayansi mtu anayehisi kukabwa (asphyxia) maranyingi supply ya oxygen inakuwa ndogo kwenye mapafu na damu

Ataanza kuhema haraka ili avute oxygen ya kutosha, moyo utaongeza spidi ya kusukuma damu ili kufidia oxygen ktk maeneo mbali mbali ya mwili ikiwemo ubongo na vital organs zingine, supply ya oxygen ikiwa ndogo kwenye muscle za moyo mtu atahisi kifua kinabana, supply ya oxygen ikiwa ndogo kwenye ubongo mtu atapata halucination

Pia ataanza kupumua kwa anaerobic respiration anakuwa na nguvu nyingi kiasi kwamba inahitaji wanaume wenye afya kumkamata akiwa ktk hali ya kutapa tapa

Sasa akipewa dawa inayochomwa ktk moto ule moshi akiunusa kifua kinaachia fahamu zinamrudia na anatulia kabisa lakini anakua hana nguvu

Hii nimeishuhudia

Kumbuka mtu mwenye majini ki medical ni unknown disease

Sasa kulingana na scenario kama hii nikawaza huenda majini ni gesi inayofanana na carbonmonoxide maana carbonmonoxide nayo humfanya mtu akose supply ya oxygen kwa sababu carbonmonoxide huea ina combine na haemoglobin mazima

Sasa inawezekana hiyo gas X ikawa na sifa kama hizo na huo ndio ukawa mwanzo wa mimi kufikiria hivyo mkuu

Tafiti zinaanza na mawazo mapya mkuu

Sijui umenielewa?
Beautiful Mind indeed.
 
Hapana ukisema majini ni gesi kama carbon monoxide si sawa,majini hayapo katika material existence ni spiritual being ,ni roho zinazoweza kuwa katika umbo lolote au zikavaa umbo lolote .
Moshi/hewa/gas tunaweza kuiona lakini haishikiki. It ain’t material no?
 
Moshi/hewa/gas tunaweza kuiona lakini haishikiki. It ain’t material no?
Sasa nikisema majini ni gesi ambayo haijagunduliwa tuiite gas X ntakuwa nakosea?

Yapo ila hayaonekani wala hayashikiki ila yanaweza kumfanya mtu aone vitu ambavyo havipo (hallucination) kwa kuvuruga physiology ya mwili

Je nitakuwa nakosea?
 
Back
Top Bottom