Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Good morning members.
Heri ya siku ya wanawake.
Ukiangalia Kwa jicho la kawaida kabisa ni kwamba Mh. Rais ana ndoto ya kuona siasa za bara na Zanzibar zinakuwa Sawa 2025.
Inaonekana Rais anataka kuona Serikali ya umoja wa kitaifa ikiundwa baada ya uchaguzi mkuu 2025.
Kwa kwenda mbali zaidi hesabu za Rais dhahir zinajionesha kutaka kuwavuta CHADEMA wasisimamishe mgombea urais 2025 ili apite yeye kiurahis na kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.
Kwa maslahi ya taifa mama yupo Sawa kabisa na anapaswa kupongezwa Sana lakini je Wana CCM watakubali?
Upande wa CDM wanachekelea na wanaonekana kukubaliana mengi na mama na ndio maana kadri siku zinavyokwenda Lissu anazid kuwekwa pembeni .
Kuna mengi mama kakubaliana na Mbowe (Wao binafsi) Mambo ambayo baadhi yanafahamika na mengine hayafahamik hata Kwa Lissu.
Yawezekana mama akafaulu adhma yake lakin anapaswa kuwa imara Sana kupambana na Wana CCM wenzake Kwan watakapoamka usingizin na kuona mipango ya mama unaenda kuua chama watacharuka na kutaka kumuweka pembeni.