Mtego Aliojitegea Rais Samia, nani atauvunjilia?

nimezoeya mnoo,
mimi ni sugu sio kama wewe member wa sukuma gang mmefinywa kidogo tu mmeharisha damu.
Sukuma gang ni kitu gani?

Unafikri 2025 utasikia hicho kitu kinaitwa sukuma gang? Wote hao kina Ndugai wataungana kuwapelekea moto alafu kwa kuwa umezoea utarudi humu kulia lia kama kawaida yako
 
Huyo 6 wako angekutana na STONE ndio angejua hajui.
Kikwete alikuwa mwana domekrasia.
 
Ndio maana baadhi wanaona hana quality ya upresida. Lazima tutafika mitifuano itapasua ccm. Hiyo kwa wapinzani ni furaha vita vya panzi.
 
Sukuma gang ni kitu gani?

Unafikri 2025 utasikia hicho kitu kinaitwa sukuma gang? Wote hao kina Ndugai wataungana kuwapelekea moto alafu kwa kuwa umezoea utarudi humu kulia lia kama kawaida yako
leo huwajua sukuma gang wenzako 🤣🤣🤣

kuhusu maswala ya 2025 usipoteze muda wako kunielezea, nimekuambia maumivu ya kushindwa uchaguzi nimeyazoeya since 1995.
 
Hakuna mtego hapo ninyi group Ndugai. Mnampigia debe ninyi....Aondoke CCM.
 
Yawezekana Kuna mengi zaidi ya mikopo na tozo Mama kachoka alizungumzia pia kuhusu Serikali ya mpito huko Bungeni Kuna mazito zaidi yawezekana
 
wee mzee embu tuache kwanza.

ulikuwa wapi kuyaandika haya enzi za yule shetani muuaji. ulikuwa upande wa kuunga mkono uovu.
 
Spika alifanya kosa kama kiongozi wa muhimili wa Bunge kutoa kauli kama ile public ilikuwa ni makosa makubwa sana.
Wengi tulishangaa sana hizi misalignments za viongozi wakubwa kwa nchi zenye demokrasia changa ni hatarishi sana.
Hatuyajui ya kipindi cha mpito alikuwa na msimamo gani na take over ya mama.

Na baada ya kipindi cha mpito amebehave vipi behind the carpet Raisi ni top well informed
katika nchi.
 
Yanayofanyika kwa Wapinzani wa Kisiasa ni sawa, ila kwa watu wa chama kimoja si sawa...Sasa hapo Hekima iko wapi? Je Hekima ni suala la Upande mmoja tu wa Utawala au Hekima ni namna ya kuishi na watu wa makundi yote bila upande mmoja kujisikia kuonewa na kuishi kwa raha kama watawala?

Kuna misemo miwili naomba tujikumbushe. Mwl Nyerere aliwahi kusema " Upinzani halisi utatoka ndani ya CCM" Labda wakati ndio huu umefika. Wakili Msomi Tundu Lisu, aliwahi kusema "Wakisha wamaliza wapinzani watarudiana wao kwa wao" Je nalo hilo wakati ndio umefika?
 
Kunywa mirinda,bill juu yangu!
 
Umeniwakilisha vizuri. Aliyeanzisha vita ni supika mwenyewe.
 
It is better the parliament is dissolved and a new election is arranged for the best interests of the country, we can't have two prominent pillars undermining each other in public this is gross derogatory to the voters.

Both pillars chiefs did it wrong to attack each other in public without considering the adverse attitude implications to the citizens; they have damaged respect, they lacked wisdom and knowledge on mirror issues that could have been resolved internally.

The sitting government shall not prevail if it continues behaving the way it demonstrates now
 
Kwani Ndungai akiachia hayo madaraka kuna shida gani, unadhani Mh. SSH atataka kuongea na huyo mhusika tena, ki uhalisia huwezi kuishi na nyoka ndani ya nyumba yako ukawa salama. Muhimu ni kukikata kichwa mapema tu.
kwani Samia akiacha hayo madaraka Kuna shida gani!?, Hadi akatae kuongelewa suala la kukopa!!??
 

Hapakua na TOZO HUYO ALOKUA ANSKOPA HOVYO HOVYO TULIKUA HATUMINYWI SISI..
Sasa hivi tunaminywa na wanakopa na sisi ndio walipaji sio wao huko juu kila kitu bure maji umeme nyumba vyakula mavazi vyote bure kwao
 
Kwa cheo cha Ndugai anapoongea kitu kupitia media maneno yake yanachukuliwa Spika kasema sio mnywa kahawa kasema
Kwa hiyo lazima ujue kuna tofauti kubwa Kati ya Ndugai na Mtanzania wa kawaida katika maneno watakayosema

Hakuna popote kwenye katiba anapozuiliwa awaye yote kutoa maoni yake.

Hakuna sheria yoyote aliyovunja na hapo ndipo tusiokuwamo linapotuhusu.
 
ndugai yuko sahh Kama spika kuhoji ,Sasa nashangaa bi mkubwa kaja juu na kuhemka ,kwa nn analazmisha nchi ijiwekeze kwenye kukopa!!??,tunamnufaisha Nani !!? mikopo mikubwa mikubwa hii,si ni mzigo mkubwa kwa taifa !!?,tozo liliwekwa watu wakalalamika weee,lkn ndugai pia alisapoti suala la tozo na kumsapot bi mkubwa ,alifanya hivyo kwa kuwa tunataka Kama nchi,Basi tuwe na angalau uwezo wetu wenyewe wa kujitegemea na kupunguza hii tabia ya kukopakopa nje!! Mi naona ,bi mkubwa anajambo anahofia ,Ila Kama rais alitakiwa amjibu ndugai kwa hoja kwa nn kukopa plus na tozo ipo!? Kama ndugai alivyohoji why tukope zaidi na tozo tunayo !?. bi mkubwa akumbuke aliachiwa nchi kutoka kwa mrithi wake nchi ikiwa kwenye policy ya kujenga utamaduni wa kujitegemea ,na wananchi wote walifahamu na wakamuelewa jpm,Sasa bi mkubwa ni Kama anataka kuwahamisha watu kwa kwenda kwenye policy ambayo inataka uwe mwangalifu kuwa hamisha watu,la sivyo unaweza ukajikuta umehalibu mazima!!

wabunge wapo kimya kwenye hili,lkn kwa mmoja mmoja ,naamini wanajua Nani yuko sahh!!, na hapo ndo pabaya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…