MTEGO; "Babe ukitaka tudumu kwenye haya mahusiano/ ndoa yetu basi kila mtu abakie na simu yake"

MTEGO; "Babe ukitaka tudumu kwenye haya mahusiano/ ndoa yetu basi kila mtu abakie na simu yake"

Hakuna, struggling pia....umekaa tu utahamishwaje?
Sijataka kutoka,nikitaka kuhama nipambane.Nilipokuwa mdogo nimeishi Zambia....nilipoanza kazi ya ualimu nikapata deal la biashara south Africa...bas nikataka niamini kuwa Mimi nimeandikiwa kuishi nje ya Tz....but nikasema no... familia yangu kwanza....Hivyo Kuna siku nitajenga mkoa mwingine na kuondoka na familia yangu mkuu
sawa mkuu
 
Back
Top Bottom