Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
nimekisoma tena jana ila ni hadithi tu sema meaneo yalitajwa katika kitabu hicho ni ya kweli,hadithi hii ilikuwa nzuri na ya kutisha enzi hizo
Eti unasemaje? Ni hadithi? Nitaenda nikusemee kwa bibi ukione cha moto!! Huyo jamaa alipata kuishi na matukio hayo ni ya kweli na yapo mengi ambayo hayakuandikwa! Ukitaka kujua historia yake kwa undani kabisa tembelea maeneo ya Seke Shinyanga vijijini! Na Mimi "Jissinza Manjagata" ni wa ukoo wa Mwanamalundi ila "tusijuane!"