IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
the biggest loss tuliyonayo waafrika ni kupoteza historia zetu, wengi wetu hatujui vizazi vyetu zaid ya cha pili ukijitahid sana cha tatu!!!
pili historia pekee tunazofundishwa ni kuanzia ukolon kuja mbele uhuru na sasa nyuma kabla ya ukolon historia hiyo imefutwa kabisa hii ni mbaya sana!!!
we need to know the story of our heroes!!!
Wanataka kusikia simulizi za Yesu na Mohamed tu,.....poor sisi.











