Mtemi Ng'wanamalundi (Mwanamalundi) - Yesu wa Afrika?

Mtemi Ng'wanamalundi (Mwanamalundi) - Yesu wa Afrika?

the biggest loss tuliyonayo waafrika ni kupoteza historia zetu, wengi wetu hatujui vizazi vyetu zaid ya cha pili ukijitahid sana cha tatu!!!
pili historia pekee tunazofundishwa ni kuanzia ukolon kuja mbele uhuru na sasa nyuma kabla ya ukolon historia hiyo imefutwa kabisa hii ni mbaya sana!!!
we need to know the story of our heroes!!!

Wanataka kusikia simulizi za Yesu na Mohamed tu,.....poor sisi.
 
Sisi huwa hatuweki kumbukumbu na kutunza historia zetu. Kwa sisi tukifanya mambo hayo utaambiwa mchawi. Huyu jamaa moja anaeitwa dyainamo anaefanya hayo anatembea kwenye maji na kupaa kwa yeye ni sawa kisa mzungu. Akiwa mwafrica ni kosa.
 
Chukua japo dakika 10 za kusoma kitabu cha mwanamalundi, mtu maarufu aliyewahi kutokea katika historia ya kabila la kisukuma, hizi ni picha nilizozitoa katika kitabu hicho chenye karatasi kama 7, ni mojawapo ya kitabu nilichotamani kukisoma kupata ukweli juu ya mtu huyu, kwa bahati nzuri nimekikuta kwa mama yangu mkubwa katika kabati lake la vitabu, hivyo nikaona sio mbaya nikiweza kushare na marafiki zangu ambao nao wanatamani kujua historia ya mtu huyu maarufu kuwahi kutokea hapa Tanzania.

kulikuwa na kitabu nakumbuka primary tulikisoma ila hakikuwa kwenye syllabus, ilikuwa ni hadithi tu, sasa historia kamili ya huyu jamaa sijaisikia, nadhani hata hao watu mwanza hawaifahamu kisawasawa kama wahehe na mkwawa
Hata mimi nilikisoma hiki kitanu kwenye primary kinaitwa MWANAMALUNDI:MTU MAARUFU KATIKA HISTORIA YA WASUKUMA. Ajabu hivi vitabu vyenye historia zetu havichapishwi tena. Mitaani kuna vitabu vya mapenzi, jinsiya kupata hela haraka na hata stori za kina Obama na Osama.
 
Mwamalundi alikuwa mtu pekee kabisa, na kama hakuna taarifa zake katika maandishi basi hilo litakuwa ni moja Kati ya makosa makubwa ambayo kama nchi tumewahi kufanya.
 
Mwamalundi alikuwa mtu pekee kabisa, na kama hakuna taarifa zake katika maandishi basi hilo litakuwa ni moja Kati ya makosa makubwa ambayo kama nchi tumewahi kufanya.

Hakika ninaomba MWANAMALUNDI Arudi tena kusafisha MAFISADI
 
Ni moja kati ya mada nzuri na zinazoelimisha...
Mojawapo ya vyanzo vya historia ni
1. Majumba ya makumbusho
2. Maeneo na majengo ya kale
3. Simulizi za mdomo
4. Archeology
 
picha hiyo hapo
 
Attachments

  • 1451151970694.jpg
    1451151970694.jpg
    34.8 KB · Views: 1,010
Mkuu nitolee photocopy, kama utakuwa Dar nielekeze ulipo nije nichukue tafadhali! Kutoa ni moyo.
 
Mkuu nikufuate pm nashida na hiyo kitu.
 
amina nikiwa dar ntakuelekeza nilipo uje utoe kopi vya kale haviozi

Nilikisoma nikiwa shule ya msingi, ni maajabu sana. Mwanamalundi, mtu maarufu katika historia ya Usukuma. Hivi Mwanamalundi ali-exist kweli Usukumani ama ni hadithi za kutunga tu. Nifafanulieni tafadhali
 
nimekisoma tena jana ila ni hadithi tu sema meaneo yalitajwa katika kitabu hicho ni ya kweli,hadithi hii ilikuwa nzuri na ya kutisha enzi hizo
 
Inavyosemekana alikuwepo kweli na wala si mda mrefu sana uliopita ni generation 3 nyuma kipidi babu zetu vijana wadogo
 
nimekisoma tena jana ila ni hadithi tu sema meaneo yalitajwa katika kitabu hicho ni ya kweli,hadithi hii ilikuwa nzuri na ya kutisha enzi hizo

Kabisa. Yale matukio yake ya kunyooshea watu vidole kisha wanakufa au miti inakauka kwa kunyooshewa kidole, ndio yalinitisha sana.
 
Hii si hadithi...mwanamalundi amepata kuexist....isipokuwa baadhi ya sifa anaongezewa..
 
Back
Top Bottom