Mtendaji wa Kijiji aliyedaiwa kupanga wizi wa kura za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa adaiwa kuhama chini ya Ulinzi wa Polisi

Mtendaji wa Kijiji aliyedaiwa kupanga wizi wa kura za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa adaiwa kuhama chini ya Ulinzi wa Polisi

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
213
Reaction score
671
Mtendaji wa kijiji cha Sakawa wilayani Rorya #Tanzania Fredrick Nyobumbo amelazimika kuhama chini ya ulinzi wa polisi baada ya vitisho kutoka kwa jamii!

Fredrick anatuhumiwa kupanga wizi wa kura katika kijiji hicho na hadi leo hakuna aliyetangazwa mshindi! Yaani @ccm_tanzania ijiandae kwa yanayowakuta Frelimo! Mmechokwa

 
Jamaa anajutia sana!

Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri kama simba.

Mithali 28:1
 
Mtu mwenyewe anamaisha magumu lakini Bado anapindisha haki ili kuiwezesha ccm ishinde.
 
Yaani ana hama kana kwamba hajawasaidia ccm kuiba kura yaani ana hama na tractor wenzake wanakula viyoyozi kwenye V8😂😂
 
Back
Top Bottom